Ubumuntu
JF-Expert Member
- Oct 21, 2010
- 14,316
- 10,782
Exactly. WB na IMF ni 'gentleman clubs' za Marekani na washikaji zake wa Ulaya. Na wana 'a gentleman agreement' kwamba boss wa WB atoke Marekani na boss wa IMF atoke Ulaya.Hivi wewe unaelewa hiyo bank ni ya nani? Kiuhalisia WB ni mali ya Marekani na marafiki zake wachache. Marekani ndiye aliyeianzisha kwa dhumuni la kuzisaidi nchi za Ulaya baada ya vita ya Dunia.
Yeye ndiye mwenye hisa nyingi kuliko nchi yeyote, na ndiye pekee mwenye kura ya veto ndani ya WB. Akitaka tusipewe, hatupewi. Sisi hatuna hata dola moja kwenye hiyo WB.
Msiwe mnapayuka tu bila kujua chochote. Kama tunataka hiyo pesa, tunayetakiwa kumbembeleza ni Mmarekani, ndiye aliyeshikilia mpini kwenye hiyo bank.