K Kivangao New Member Joined Jul 8, 2026 Posts 2 Reaction score 0 Sep 6, 2026 #1 Watumishi wa Idara ya kilimo tulioajiriwa August 2024 Halmashauri mwaka huu hatujapata annual increament ikiwa ni haki yetu ya msingi, tunaomba utumishi watupe majibu
Watumishi wa Idara ya kilimo tulioajiriwa August 2024 Halmashauri mwaka huu hatujapata annual increament ikiwa ni haki yetu ya msingi, tunaomba utumishi watupe majibu
CHASHA FARMING JF-Expert Member Joined Jun 4, 2011 Posts 7,952 Reaction score 9,512 Thursday at 9:41 PM #2 Hii ina uhusiano gani na Kilimo?
Nsennah JF-Expert Member Joined Jan 9, 2021 Posts 2,448 Reaction score 2,244 Sunday at 12:39 PM #3 Hahaa! Nenda jukwaa la habari mchanganyiko au ajira. Humu leta madini ya kilimo tu