Kijukuu cha ngoyayi
JF-Expert Member
- Oct 27, 2018
- 2,916
- 5,517
😄 😄 nilijua tu kuna tu manzi twingine tuna midomo km chuchunge ukiwa km kazi zako zinahusisha ruti za kusafiri unakasusia nyumba aseila man hii point sana dem wangu mwenyewe ana mdomo balaaa yaani ni anaongea anauliza mpaka vitu vya kijinga ***** siku hizi mpaka najifanya navuta bangi akiongea sana jibu ni hapana au ndio na maelekezo tu