Kutokulala Nyumbani

Kutokulala Nyumbani

Mara Chache sana huwa nalala Nyumbani,
Kama Leo, hii nipo nyumbani ila nawaza niondoke nikalale Sehemu ingine.
kwa Wajuzi wa mambo hii Tabia inatokana na ninini. Sipendi hii hali,Natamani kuiacha lakini nashindwa.
Sasa hivi nipo nyumbani ila Natamani niondoke.
Una pepo kutoka Saudi Arabia
 
Nilichokiandika Hapa ni kweli ila wewe umewaza, Ujinga jirani yangu alishawai niuliza hivi umehama hapa, maana nakuja na kuondoka au nakaa kwa masaa tu
Wewe ni homeless, hacha kujitetea !
 
PIMBI...naomba picha ya huyo mnyama tafadhali
images (29).jpeg
 
Back
Top Bottom