Kutokujua Sheria sio kinga ya kuvunja sheria

Kutokujua Sheria sio kinga ya kuvunja sheria

Internal Sikujua kuwa Neno Nafasi likikaka kwenye nafasi ya kwanza kureply ni kosa.

Sijwazaga kula ban Jf ila ikishatokea unakubaliana tu na matokeo.
Mshana Jr Kumbe ulikuwa unamaanisha kabsa kuniambia vile?
Nimeshindwa kukaa nje ya Jf na kusoma tu bila kureply ukizingatia Musiba sijajua hatima yake, Jamii inteligence sijasoma nyuzi mpya bado.

Ban ikiisha nitarudi na Id yangu ya mwanzo, now natumia hii kwa muda.
Internal
Pole sana mdau hii mada sijui ilifichwa wapi...vipi kifungo kiliisha?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom