Kutokana na matokeo haya, naweza kuapply chuo gani?

Habarin wanajf Mimi ni muitim wa kidato Cha sita kwa combination ya HGL baada ya matokeo kutoka nimepata division 3 ya 13 yaani

History-D
Geography-D
E language-E
GS-S

Je, kutokana na ufaulu wangu naweza kuapply chuo gan? Na coz ipi?

Naomben msaada wenu tafadhari
Cheki www.tcu.go.tz download Undergraduate Admission Guidebook ina orodha ya kozi zote na sifa za kujiunga ktk kila kozi..
 
Chuo kikuu unapata,hiyo three yako ya kwanza baada ya two. Japo unaonekana ulikuwa mzembe sana darasani kwenu. Mtu akifel sana HKL huwa anapata division two. Au ulichukulia hivi "Hakuna Kusoma Lala (HKL). Au ulikuwa Kiranja wa Msosi, kila mda unawaza kwenda kupima mchele,Unga na maharage.
Nimecheka kama mbwa 😹😹😹😹 daaah ila arts sio kombi za kupata 3 aseee
 
Back
Top Bottom