Kwa Matokeo haya, Anaweza akapata chuo zanzibar? Chuo gani?

Jan 27, 2021
31
21
Nina mdogo wangu yupo zanzibar amepata matokeo ya Form four :
HISTORY D
Geography D
KISWAHILI C

Anaweza akapata chuo zanzibar?
Chuo gani?
Course gani anaweza kusoma?
 
Nina mdogo wangu yupo zanzibar amepata matokeo ya Form four :
HISTORY D
Geography D
KISWAHILI C

Anaweza akapata chuo zanzibar?
Chuo gani?
Course gani anaweza kusoma?
Akasomee ualimu wa chekechea ili akimaliza asidolole nyumbani
 
Zanzibar ndio anapata Chuo Elimu ya Madrasa pale Mkunazini Madrasa uhakika
 
Back
Top Bottom