Ahami atasema ni photoshopMara baada ya Liverpool kupangwa na Barcelona kwenye hatua ya nusu fainali Afisa habari wa Simba Haji Manara akatamka kwa mdomo wake na bila kulazimishwa kuwa endapo Liverpool wataitoa Barcelona kwenye hatua hiyo na kuingia fainali atahamia Yanga pamoja na kuwa mstari wa mbele kuchangisha fedha kwa ajili ya Yanga.
Sasa Barcelona wametolewa rasmi na Liverpool na kuingia fainali,Je Manara atakamilisha ahadi aliyotoa mbele ya hadhara??
Tusubiri...
Hahahah! Ahame bwanaAhami atasema ni photoshop
Yanga tulikuwa na Manara wawili seniors, tena wachezaji achana na huyu msema hovyo . Wala hahitajikiMara baada ya Liverpool kupangwa na Barcelona kwenye hatua ya nusu fainali Afisa habari wa Simba Haji Manara akatamka kwa mdomo wake na bila kulazimishwa kuwa endapo Liverpool wataitoa Barcelona kwenye hatua hiyo na kuingia fainali atahamia Yanga pamoja na kuwa mstari wa mbele kuchangisha fedha kwa ajili ya Yanga.
Sasa Barcelona wametolewa rasmi na Liverpool na kuingia fainali,Je Manara atakamilisha ahadi aliyotoa mbele ya hadhara??
Tusubiri...