Kutokana na ahadi yake: Haji Manara kesho rasmi anahamia Yanga kuitumikia

Na kweli mkuu haswa huyu Shadeeya alikimbia hapa jukwaani toka siku ile ya Kamwenee, sasa naona leo kaibukia kwenye ishu ya Manara.

Hahahaaa. Nilikuwa busy na mambo ya kujenga nchi Mtania na leo kuja nikaona si vyema kufukua kaburi. πŸ˜€

Shadeeya unakwama wapi? 😜😜😜😜
Hahahaaaa. Lol.

Leo ni Manara hapa na kauli zake Mtani yale ya Lipuli ni ndwele. πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Akaaaaaa. Abakie tu huko Mtani sababu nyie ndio mmezowea kupewa kauli tamu za uwongo ambazo huwa zinawafariji wenyewe.

Kama ile eti Simba saizi yake ni Barca. πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Yeye kasema Liverpool ikimtoa Barca anahama automatically.

Sisi tuna chukulia kwamba ameshahama.
 
Ndio nimefika jana usiku Mtani.
Nauliza tu hivi yule Manara wenu aliwaza nini au ndio alikuwa anaitamania Yanga na hakuwa na jinsi ya kuelezea hisia zake?
Kilichomponza ni kuwa alifikiri mpira unachezwa mdomoni ni hilo tu Mtani.
Sasa vipi mko tayari kumpokea na kumpa kadi ya uanachama? 😜😜
 
Kilichomponza ni kuwa alifikiri mpira unachezwa mdomoni ni hilo tu Mtani.
Hasara kwake. Ila iko siku atamtoa na mkewe.
Sasa vipi mko tayari kumpokea na kumpa kadi ya uanachama? 😜😜
Hatumuhitaji hata ye abakie huko huko kwa wana nguvu moja.

Sisi wazungu kama umuonavyo dissmass ten. 😎😎😎
 
Hatumhitaj kwa sasa hatuna nafasi yake.Ajifunze tu kulinda domo lake asidhan Ile ni TPL wanayonunua Marefa.
 
Hahaaaa. Itakuwa sikusikia Mtani. 😎😎

Naona mulifurahi mpaka basi yaani. Ila waswahili wana msemo wao "HAKUNA MAREFU YASIYO NA NCHA"

Kwa hiyo ncha yenu ni kwa kina Kamwene!

Halafu eti Zahera anasema Yanga haikuwa na lengo la kuchukua kombe lolote, isipokuwa mlijiwekea malengo ya kutovuka namba 10! Kweli Mtani?
 
Yah kama nyie ilivyoishia kwa Mashujaa Mtani. πŸ˜€πŸ˜€


Ni kweli Mtani hali haikuwa hali msimu huu.


Basi tunaomba muwe mnatuambia mapema mipango yenu, kama sisi tulivyosema kwamba malengo ni ubingwa wa ligi na kufika makundi.
 
Back
Top Bottom