Kutokana na ahadi yake: Haji Manara kesho rasmi anahamia Yanga kuitumikia

Haji hamia tu Yanga kwani ndio timu kongwe ya familia ya kina Manara. Baba yako Sunday, mkubwa Kitwana, na Kassim hawa wote walipitia Yanga sasa Mungu amekuonyesha njia urudi Yanga achana na ulaji huko Simba. Mungu atakupa njia nyingine ya ulaji. Usipo tekeleza saumu yako ya jana ni bure kwa kutangaza uwongo.
 
Simba tunashida na ubingwa sio Manara... Aende tu tena aanze kuonekana pale Karume-Musoma.
 
Back
Top Bottom