Kutoka Zanzibar, CHADEMA yaanza kazi rasmi

Nafasi ya CDM zenji ni ndogo sana kwa sasa kutokana na kusingiziwa udini. hata hivyo, hali inaweza kubadilika mwaka 2020 hasa kama CDM watashika dola (Tanganyilka) mwaka 2015

kamanda 30/01/2012 kwa 8:29 um · Ingia kujibu hao wana waraka wao
wamepewa na kanisa
ndio muongozo wao ,
na watu wa uzini
muwe makini ,
hao ni watu wabaya kuliko mnavofikiria,
ndio hao waliokasirika
na serikali ya
umoja .ndio hao
waliosema bungeni
serikali iwe moja , majambazi hao,
tena hata hapo
mkutanoni wekeni
simu zenu vizuri
hawaaminiki ,
na angalieni huyo mmoja kwa wake za
watu ni balaaa,
musiruhusu wake zenu
kwenda mkutano ni
hatari huyo,
.serikali zote wachukue wao sie watuachie hiyo
zanzibar yetu tu
wasituzngue hapa, miaka yote tunapigania
katiba, daftari,serikali
3,wao walikua wapi.
tunapigwa virungu
hapo peke yetu mbona
hawakutuletea hizo serikali tatu ?
Wanafiki hao ,
hawana lolote
wameona choyo sasa
hivi kuna amani na
umoja , washapata wasiwasi
kua kwa umoja huu
twaweza kupiga hatua
hapo baade ,
sasa linawauma hao
wala nguruwe.
 
Wakuu naona kuna watu tayari wameanza kufanya propaganda za kitoto hapa jukwaani. Mnawajua. Hatuja haja ya kupoteza muda nao, unless kama wanaleta kitu arguable. Msafara wa magari kadhaa na pikipiki kibao ndo unatoka airport kwenda mjini. Msafara unatoka kumpokea Kamanda Freeman Mbowe ambaye ametua muda mfupi uliopita hapo Abeid Aman Karume Inter. Airport. Msafara uko kamili, Kamanda wa anga, Mbowe, Dkt. Slaa, Naibu Katibu Mkuu Zenj, Hamad, wakurugenzi kama Msafiri, Benson, Lwakatare, maaofisa, kadhaa, makamanda wengine. Sasa tunapita mitaani na watu wanashangilia. Nitazidi kuwajuza kadri inavyotakikana. Tuwe pamoja

Watu mitaani wanasema "CHADEMA hiyoooo"

Leo kazi ya kampeni inaanza rasmi. Ingawa tayari underground work, ilishafanywa kitambo tu na advance team, muda mrefu. Hii ni nafasi na fursa muhimu ya kuingiza nguvu ya siasa za upinzani kudai uwajibikaji wa serikali kwa wananchi. Kazi hiyo itafanywa na CHADEMA kuanzia uchaguzi huu wa Uzini.

Kweli matunda ya mnyika kuteuliwa kuongoza kitengo hivi karibuni tumeanza kuyaona hatimae,jamaa kajiunga juzi ameshafundishwa jinsi ya kupachika thread za uongo za kimagwanda magwanda matokeo yake kaingia choo cha stendi,bwana "member" habari kamili ya mapokezi ya mzee huko zenj katika picha ni hii hapa chini kijana,acha uongo tena unastahili kupigwa ban kwa kuidanganya jamii forum uongo unaoweza kuhatarisha amani,ndio maana chadema huwa mnalalamika kuibiwa kura kutoka na uongo wa mareporter sampuli hii...muwe macho sana chadema na watu hawa wanawavuruga!

mapokezi ya mbowe na wenzake katika picha huko unguja ni haya....achaneni na mavuvuzela,kelele tupu,ukweli ni huu!

Maeneo ya uwanja wa ndege

Mjini Zanzibar kutokea uwanja wa ndege

Uzini hapa.Tawi hili huitwa Umoja wa Mataifa.Bendera za vyama vyote zipo

kweli tumewaona watu wanaoshangilia msafara,tena wengi kweli wamejipanga kando kando ya barabara na kuacha shughuli zao

Jimboni Uzini

Picha na Mdau wa Mjengwablog
 
kamanda 30/01/2012 kwa 8:29 um · Ingia kujibu hao wana waraka wao wamepewa na kanisa ndio muongozo wao ,na watu wa uzini muwe makini ,hao ni watu wabaya kuliko mnavofikiria,ndio hao waliokasirika na serikali ya umoja .ndio hao waliosema bungeni serikali iwe moja , majambazi hao, tena hata hapo mkutanoni wekeni simu zenu vizuri hawaaminiki ,na angalieni huyo mmoja kwa wake zawatu ni balaaa, musiruhusu wake zenu kwenda mkutano ni hatari huyo, .serikali zote wachukue wao sie watuachie hiyo zanzibar yetu tu wasituzngue hapa, miaka yote tunapigania katiba, daftari,serikali 3,wao walikua wapi. tunapigwa virungu hapo peke yetu mbona hawakutuletea hizo serikali tatu ?Wanafiki hao ,hawana lolote wameona choyo sasa hivi kuna amani na umoja , washapata wasiwasi kua kwa umoja huu twaweza kupiga hatua hapo baade ,sasa linawauma hao wala nguruwe.
Hakuna Mzanzibar mwenye uwezo wa kuamini upuzi huu kaa nao mwenyewe Nakuhakikishia hii sumu itakumaliza
 
Kweli matunda ya mnyika kuteuliwa kuongoza kitengo hivi karibuni tumeanza kuyaona hatimae,jamaa kajiunga juzi ameshafundishwa jinsi ya kupachika thread za uongo za kimagwanda magwanda matokeo yake kaingia choo cha stendi,bwana "member" habari kamili ya mapokezi ya mzee huko zenj katika picha ni hii hapa chini kijana,acha uongo tena unastahili kupigwa ban kwa kuidanganya jamii forum uongo unaoweza kuhatarisha amani,ndio maana chadema huwa mnalalamika kuibiwa kura kutoka na uongo wa mareporter sampuli hii...muwe macho sana chadema na watu hawa wanawavuruga!

mapokezi ya mbowe na wenzake katika picha huko unguja ni haya....achaneni na mavuvuzela,kelele tupu,ukweli ni huu!

Maeneo ya uwanja wa ndege

Mjini Zanzibar kutokea uwanja wa ndege

Uzini hapa.Tawi hili huitwa Umoja wa Mataifa.Bendera za vyama vyote zipo

kweli tumewaona watu wanaoshangilia msafara,tena wengi kweli wamejipanga kando kando ya barabara na kuacha shughuli zao

Jimboni Uzini

Picha na Mdau wa Mjengwablog

Vyovyote itakavyokuwa, ukweli ni kwamba chadema imezindua kampeni jimbo la uzini, na mapambano yanaendelea.

Hakuna aliyedhani chadema ingekuwa hapo ilipo miaka mitano hadi kumi iliyopita lakini imewezekana, kwahiyo hata huko uzini huo ni mwanzo tu lakini kazi itafanyika na matunda yake yataonekana. Na si ajabu tunawaona ccm na ccmB mnavyoshirikiana kuwajaza wazanzibari propaganda za hovyo hovyo.

btw, Naona unaendelea kujituma sana kufanya kazi uliyotumwa, bila shaka utapata tuzo mwisho wa kazi.
 
Kinachowasumbua CHADEMA ni siasa za ki-JF!! Yaani Tundu anawatukana wazanzibar kulingana na upuuzi alioupata hapa JF kisha leo mnaenda kuomba kura kwao! Hii ni kejeli! Likewise, matoto ya Chadema yako mstari wa mbele kuwatukana Waislamu,halafu mnataka waislamu hao hao wamchague Slaa!!!!! Huu ni ujasiri wa kijinga!
 
Huu ni ujasiri wa uendawazimu kujikomba kwa watawala kama wewe
 
du siamini kama kulikuwa hamna watu waliokuja kumpokea kamanda naamini CDM itashinda UZINI kwa kishindo
 
Vyovyote itakavyokuwa, ukweli ni kwamba chadema imezindua kampeni jimbo la uzini, na mapambano yanaendelea.

Hakuna aliyedhani chadema ingekuwa hapo ilipo miaka mitano hadi kumi iliyopita lakini imewezekana, kwahiyo hata huko uzini huo ni mwanzo tu lakini kazi itafanyika na matunda yake yataonekana. Na si ajabu tunawaona ccm na ccmB mnavyoshirikiana kuwajaza wazanzibari propaganda za hovyo hovyo.

btw, Naona unaendelea kujituma sana kufanya kazi uliyotumwa, bila shaka utapata tuzo mwisho wa kazi.

Bwana mwita kuna kitu kimoja yaelekea utachukua muda mrefu sana kukielewa na kunielewa pia,ukweli ni kwamba kama nilivyopata kusema mara kadhaa huko nyuma,mimi nasimama katika principle yangu ileile ya kusema vile vitu ambavyo vipo lakini watu hwapendi kuvisikia na wengine sasa kwa uoga wa kuwaudhi watu wanaamua kuendelea kuchekeshana kwa kutosema ukweli,ukitizama kwenye issue hii kwa mfano,mleta mada alikua anawadanganya huku akijua fika kwamba anawadanganya ili tu mcheke,anaogopa kuwaudhi,kama kweli alikua kwenye eneo la tukio zenj siku hiyo asingeanzisha thread ya kipuuzi kama hii ambayo mpaka leo nashangaa kuona bado ipo,ni thread ya uongo,uzushi iliyojaa ulaghai na uchochezi wa hali ya juu ili chadema ikifanya vibaya kama kawaida ionekane imeibiwa kura!uzushi wa dizaini hii hauisaidii chadema kujipanga na kujua weakness zake,badala yake ku base kwenye sababu ya uongo ya kutofanya vizuri "kuibiwa kura",tukiuliza kura zinaibiwaje mnaku wakali,mnataka tuamini tu kama mnavyoaminishwa nyie na watu wa aina ya mleta thread ambao ni wachumia tumbo walioko kazini.Shtuka mwita hata kama usingizi ni mtamu kiasi gani unatakiwa kuamka sasa...sio kushambulia tu yeyote anaeleta challenge wakati mwingine ndio anaewasaidia zaidi.

Pia niwaambie wanachadema na vyama vingine pia,jamani hivi vyama ni kama makoti tu ukiona linakubana bana na kukutia joto unalivua unavaa lingine,naambiwa kuna cck sasa hivi,baadhi wanaipinga mimi simo humo lakini naunga mkono ujio wake ili tupate makoti ya kutosha,sikuzaliwa na chama mimi,chama nimekutana nacho tu barabarani na nitaachana nacho huko huko nilikokutana nacho.
 
Ahadi yangu ipo pale pale ujamalizia baada ya kutembea najiua kwa kunywa sumu au kujipiga risasi za kichwa.

Chadema kushinda Zanzibar ni ngumu sana ni sawa useme CUF kushinda ubunge Moshi Vijijini, na kuchukuwa viti vya Udiwani Kibosho.

Tutajuaje kwamba umeshajiua kama hutaishia kubadili ID?
 
Weeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeelll l l l l l l l l l l l l l l l l l!!!!!!!!!! hii ni kazi inaanza but no turning back. Tunajua kwa uhakika hata kama tusipochukua jimbo la uzini ila mbegu zinaendelea kupandwa vichwani kwa raia na si mufukoni kwao kama hao wa chama cha kijani wanavyoiba hela za wana wa nchi na kuzipanda mifukoni wakati wa kampeni. Wakae chonjo ni kazi inasonga mbele bila kukata tamaaaaa so kwa mwendo huo up to Zenji kazi inazidi kua rahisi. CDM ni chama kubwa tuko pamoja waheshimiwaaaaaaaaaaaaa! Hi tu wana zenji tupokeeni kwa shangwe tunakuja kuwaokoa from CCM na Mkewe CUF. Ni CHADEMA HUYO MWOKOZI WA TZ from waizi kama akina Pinda na Makinda wake. Na hatuna busara za kutegemea Polisi na jeshi kama za Pinda.
 
kama hamkushiba kwenye sinia kipindi kile mlipoungana na cuf mtashiba leo kwenye bakuli?ndoto za mchana,tumewashuri mara kadhaa tatizo ubishi na ujuaji,siasa za maji taka na propaganda za ccm kwamba cdm ni chama cha kanisa na wakristo ndio unaowatafuna,fanyeni jitihada za makusudi kwenye maeneo yenye waislam wengi kama zanzibar,mikoa ya pwani n.k mjaribu kuwaelimisha waislam kwamba sio kweli ni ghilba za ccm tu,acheni dharau mnazidi kuumizwa na hilo,tena ikiwezekana hata kwenye urais wakati ujao msimamisheni muislam kazi ya kutoa elimu kwa waislam na kufuta hilo doa itakua rahisi sana,tatizo la chadema ukaidi!
 
Ahadi yangu ipo pale pale ujamalizia baada ya kutembea najiua kwa kunywa sumu au kujipiga risasi za kichwa.

Chadema kushinda Zanzibar ni ngumu sana ni sawa useme CUF kushinda ubunge Moshi Vijijini, na kuchukuwa viti vya Udiwani Kibosho.
Ritz ndugu yangu uwezi kufa mara mbili. Ukinywa sumu ukafa huwezi tena kujiua kwa kujipiga risasi. Au unataka kujigeuza Msukule??
 
kama hamkushiba kwenye sinia kipindi kile mlipoungana na cuf mtashiba leo kwenye bakuli?ndoto za mchana,tumewashuri mara kadhaa tatizo ubishi na ujuaji,siasa za maji taka na propaganda za ccm kwamba cdm ni chama cha kanisa na wakristo ndio unaowatafuna,fanyeni jitihada za makusudi kwenye maeneo yenye waislam wengi kama zanzibar,mikoa ya pwani n.k mjaribu kuwaelimisha waislam kwamba sio kweli ni ghilba za ccm tu,acheni dharau mnazidi kuumizwa na hilo,tena ikiwezekana hata kwenye urais wakati ujao msimamisheni muislam kazi ya kutoa elimu kwa waislam na kufuta hilo doa itakua rahisi sana,tatizo la chadema ukaidi!

Ze Comedy wa JF
 
Back
Top Bottom