Kutoka Zanzibar, CHADEMA yaanza kazi rasmi

Mkuu wewe ndio umeandika kule mzalendo.net kuwa CDM wanaenda kanisani? Kweli maiogopa CDM hadi mnatunga uwongo............? Poleni sana
hee! anaandika kule kisha anakopi na kupest huku duh ! bora umemshitukia ila aibu uuuu
 
WanaJF
Karibu tunaingia Uzini. Ratiba imebadilika kidogo. Tutaenda Bambi moja kwa moja kwenye msiba ambako bahati mbaya uko kwenye center tunakozindulia kampeni. Kwa kuwa si shughuli inaweza kuahirishwa tunaenda kwenye msiba badala ya kwenda ngome
Dk Slaa kama ni mkweli unayongea tunaomba Picha.
 
Huko hakuna watu, au hakuna wapiga picha! Kweli huko wenzetu mnahitaji ukombozi. Hata kamera hakuna, na nyie CDM hamkwenda na wapiga picha huko. Manake picha nazo huongea na kubeba ujumbe mzito.
 
Jamani hivi Uzini ina wapiga kura wangapi? hawazidi 5,000 -- sasa mtalinganishaje na huku bara kutegemea nyomi kwenye mikutano? Kwa mfanio hata wana-CUF (yaani wana-CCM B) wanafahamu kabisa kwamba kura walizopata Wabunge wao wote huko Visiwani hazikufikia kura alizopata Halima Mdee jimbo la Kawe. Halina ubishi hilo.

Kuhusu akina Dr Slaa kwenda kanisani kabla ya mkutano, mbona hamsemi akina Lipumba na wenzake walipokuwa wanaenda msikitini (ule wa Mtaa wa Kipata - Kariakoo) siku ya Ijumaa kabla ya kufanya mkutano pale uwanja wa Gerezani katika kampeni za 2010?

Hebu acheni hizo, kuna wengine katika mikutano ya CUF walikuwa wanaenda na misala, ikitimia wakati wa kusali wanasali huku mkutano unaendelea!
 
Uchaguzi wa 2010 jimbo ambalo CHADEMA ilipata kura nyingi kwa Zanzibar yote ni Jimbo la Kiwani lililopo Wilaya ya Mkoani, Mkoa wa Kusini Pemba, Shehia ya Mwambe, kura zilikua 400. Na kura hizi zote zilitoka katika kijiji kimoja cha Kiunga ambapo mgombea wake ni mfanyabiashara, katika kupata kura hizi mgombea huyo alitumia zaidi ya mil. 8 Tsh. Na sababu iyomfanya apate kura hizi; alitaka kumtia adabu mgombea wa CUF baada ya mgombea huyo wa CUF kukumbwa na kashfa ya kutembea na (.......). Ndipo mgombea huyo wa CHADEMA akaamua kumwaga pesa kwa tamaa ya kujinyakulia jimbo na badala yake alilia kilio cha mbwa na hadi leo hii hakupata wa kumnyamazisha! Huku Zanzibar hakuna CHADEMA wala CHAMSHIPI, na fujo zote hizo wanazozifanya na huku wakipigwa na baridi (nasikia wamejenga mahema kama vibarua wa karafuu) hawatozidi kura 32, tusubirini Aibu ya mwaka!
 
Atakae gombea atapata kura yake tu na mkewe,ila wazanzibari hawasikii hawaoni kwa cuf na ccm.
 
Uchaguzi wa 2010 jimbo ambalo CHADEMA ilipata kura nyingi kwa Zanzibar yote ni Jimbo la Kiwani lililopo Wilaya ya Mkoani, Mkoa wa Kusini Pemba, Shehia ya Mwambe, kura zilikua 400. Na kura hizi zote zilitoka katika kijiji kimoja cha Kiunga ambapo mgombea wake ni mfanyabiashara, katika kupata kura hizi mgombea huyo alitumia zaidi ya mil. 8 Tsh. Na sababu iyomfanya apate kura hizi; alitaka kumtia adabu mgombea wa CUF baada ya mgombea huyo wa CUF kukumbwa na kashfa ya kutembea na (.......). Ndipo mgombea huyo wa CHADEMA akaamua kumwaga pesa kwa tamaa ya kujinyakulia jimbo na badala yake alilia kilio cha mbwa na hadi leo hii hakupata wa kumnyamazisha! Huku Zanzibar hakuna CHADEMA wala CHAMSHIPI, na fujo zote hizo wanazozifanya na huku wakipigwa na baridi (nasikia wamejenga mahema kama vibarua wa karafuu) hawatozidi kura 32, tusubirini Aibu ya mwaka!
Sasa huyo sio kiongozi tunae mtaka,kiongozi ni yule aliyechaguliwa na wananchi wenyewe bila la kutumia rushwa na vishawishi vyengine,sera ya mgombea na cv yake ndio itakayo mfanya wananchi wamkubali,kama ni hivyo hasara ni wananchi sio CUF.
 
Uchaguzi wa 2010 jimbo ambalo CHADEMA ilipata kura nyingi kwa Zanzibar yote ni Jimbo la Kiwani lililopo Wilaya ya Mkoani, Mkoa wa Kusini Pemba, Shehia ya Mwambe, kura zilikua 400. Na kura hizi zote zilitoka katika kijiji kimoja cha Kiunga ambapo mgombea wake ni mfanyabiashara, katika kupata kura hizi mgombea huyo alitumia zaidi ya mil. 8 Tsh. Na sababu iyomfanya apate kura hizi; alitaka kumtia adabu mgombea wa CUF baada ya mgombea huyo wa CUF kukumbwa na kashfa ya kutembea na (.......). Ndipo mgombea huyo wa CHADEMA akaamua kumwaga pesa kwa tamaa ya kujinyakulia jimbo na badala yake alilia kilio cha mbwa na hadi leo hii hakupata wa kumnyamazisha! Huku Zanzibar hakuna CHADEMA wala CHAMSHIPI, na fujo zote hizo wanazozifanya na huku wakipigwa na baridi (nasikia wamejenga mahema kama vibarua wa karafuu) hawatozidi kura 32, tusubirini Aibu ya mwaka!
una kazi ngumu sana leo naona unaandika huku na huku wewe mnyewe halfu yale yale kwenye nyuzi tofauti na blog tofauti
hivi huko ZANZIBAR hakuna PCCB
 
IMG_3962.JPG

elimu inatolewa hapa bure

hii ni kwa ajili ya wabishi wote waliomo humu
 
Ahadi yangu ipo pale pale ujamalizia baada ya kutembea najiua kwa kunywa sumu au kujipiga risasi za kichwa.

Chadema kushinda Zanzibar ni ngumu sana ni sawa useme CUF kushinda ubunge Moshi Vijijini, na kuchukuwa viti vya Udiwani Kibosho.

Ritz bwana, unanichekesha vibaya mno. halafu avatar yako kama picha ya Dgober, lakini sijui ulikoswakoswa na risasi, au ulianguka chini ukaumia vibaya sana kwa mikwaruzo ya mchanga au lami
 
Back
Top Bottom