Kutoka Zanzibar, CHADEMA yaanza kazi rasmi

Wakuu nitapambana kadri ya uwezo wote kadri inavyowezekana kuwajibika ili mpate taarifa za uhakika. Hakuna fabrication wala propaganda. Wanasema live bila chenga. Ingawa kadri tunavyoenda ndo wigo wa mawasiliano unapungua. Nitatafuta namna, so longer as the will is there... Suala la picha pia litafanyiwa kazi inavyotakiwa wakubwa. Natambua umuhimu wake. Tayari sumu kwa watoto imeanza kupandwa huku, naona ishara ya vidole na wanashangilia kando kando ya njia. Wakuu Zanzibar itaivishwa, so longer as Wazanzibar wanaonesha utayari wa mabadiliko, kudai uwajibikaji, kupitia forum ya serious political party, CHADEMA.

Hivi wewe Makene ndio nani mbona unatisha namna hii.
 
Uchaguzi wa 2010 jimbo ambalo CHADEMA ilipata kura nyingi kwa Zanzibar yote ni Jimbo la Kiwani lililopo Wilaya ya Mkoani, Mkoa wa Kusini Pemba, Shehia ya Mwambe, kura zilikua 400. Na kura hizi zote zilitoka katika kijiji kimoja cha Kiunga ambapo mgombea wake ni mfanyabiashara, katika kupata kura hizi mgombea huyo alitumia zaidi ya mil. 8 Tsh. Na sababu iyomfanya apate kura hizi; alitaka kumtia adabu mgombea wa CUF baada ya mgombea huyo wa CUF kukumbwa na kashfa ya kutembea na (.......). Ndipo mgombea huyo wa CHADEMA akaamua kumwaga pesa kwa tamaa ya kujinyakulia jimbo na badala yake alilia kilio cha mbwa na hadi leo hii hakupata wa kumnyamazisha! Huku Zanzibar hakuna CHADEMA wala CHAMSHIPI, na fujo zote hizo wanazozifanya na huku wakipigwa na baridi (nasikia wamejenga mahema kama vibarua wa karafuu) hawatozidi kura 32, tusubirini Aibu ya mwaka!

Kiburi hiki cha wapemba ni kwa lipi walilonalo hasa?
au ndio umasikini wa akili?
 
chadema ikishinda zanzibar mim nahama nchi

wewe hama tu kwanza hauna faida yoyote kwa nchi hii zaidi ukishahama nchi utatupunguzia genge la vibaka na wanafki maana na wewe ni sehemu ya magamba tena ni vizuri ukawahi mapema tu
 
Nimesema na mapema mimi kwa vile wameanza kampeni Kanisani ni sawa wameenda kujipaka mavi; wana wa Uzini wote lazima wawakimbieeeeee! Chezea Wazenj wewe! Labda wapate Jiziki lakini sio Jimbo!

Kweli kabisa.

Hilo ni bamvua kwa watu wa uzini na viunga vyake. Lakin kila kitu siku ya kutia kura.

hapo ndio utaona mbivu na mbichi.

 
chadema kushinda znz ni ndoto za alinacha,kwanza tuongelee vitu vya muhimu tuachane na hili
 
kazeni buti,tuko pamoja.lazima wananchi wapate ukweli juu ya ufisadi na ombwe la uongozi,
 
quote_icon.png
By FaizaFoxy
Tunataka picha tuone magwanda na watu wao waliotoka nao huku na wale waliowafata kanisani kuwaomba wawasaidie.

Wanaokimbilia makanisani ni wana CCM!! Ushahidi huu hapa..................!!

Wakati serikali ya J.K ipo bize kujibu hoja za Madaktari zitokanazo na Mgomo wa madaktari ambazo zinaonekana kukosa suruhisho kutoka pande zote. Mh. Lowassa anazidi kusonga mbele na kujijenga kisiasa zaid na zaid na kuimarisha mbio zake za Ikulu 2015, Jana kaongoza harambee iliyoipatia Kanisa sh. 204 milions zaidi ya 114 milion iliyokadiliwa awali. KWELI HUYU BABA ANAROHO NGUMU!

attachment.php


attachment.php
 

Mjini Zanzibar kutokea uwanja wa ndege

Uzini hapa.Tawi hili huitwa Umoja wa Mataifa.Bendera za vyama vyote zipo



Jimboni Uzini


umati wa watu ulijitokeza kuulaki uongozi wa juu wa chadema kutoka bara wakiongozwa na chairaman mbowe na katibu wake dr slaa,ama kwa hakika ilikua ni nderemo na vifijo hiyo jama ambapo zanzibar nzima ilizizima kwa shangwe na hoi hoi..

Picha na Mdau wa Mjengwablog

 
Nafasi ya CDM zenji ni ndogo sana kwa sasa kutokana na kusingiziwa udini. hata hivyo, hali inaweza kubadilika mwaka 2020 hasa kama CDM watashika dola (Tanganyilka) mwaka 2015
 

Mjini Zanzibar kutokea uwanja wa ndege

Uzini hapa.Tawi hili huitwa Umoja wa Mataifa.Bendera za vyama vyote zipo



Jimboni Uzini


umati wa watu ulijitokeza kuulaki uongozi wa juu wa chadema kutoka bara wakiongozwa na chairaman mbowe na katibu wake dr slaa,ama kwa hakika ilikua ni nderemo na vifijo hiyo jama ambapo zanzibar nzima ilizizima kwa shangwe na hoi hoi..

Picha na Mdau wa Mjengwablog



wewe kijana kama ni malaika basi ni yule mtoa roho,una roho mbaya sana we mtu...........ushindwe na ulegee chadema isonge mbele kwa nguvu ya umma,dawa yako iko jikoni,nyama wee!
 
Back
Top Bottom