Raia Fulani
JF-Expert Member
- Mar 12, 2009
- 10,893
- 2,777
dah! Mtwara mbali
Mdini umeingia hata kwenye thread hiiMnawambia nini sasa watu wa kusini wakati mnataka kujitenga kuanzisha Taifa lenu la Kaskazini...
Huyu mtu ni MWONGO...! Mambo ni mazuri sana wanaJF Msihofu wakuu. Nitakuja na hitimisho..!Mpaka hivi sasa viongozi wa kitaifa bado hawajaingia wameingia watatu tu na jua linazama. Idadi ya watu ni ndogo na wengi wakiwa ni watoto wadogo ambao walikuwa wakikimbiza gari la P.A ambalo lilikuwa linazunguka mitaani tangu asubuhi. Picha HIZi Hapa.
Ban imetembea sana kwenye jukwaa hili. ngoja niwe mpole.
CHADEMA kuna utaratibu. Kauli ya mwenyekiti siku zote ndiyo tamko rasmi. hayo ni maneno yako, na utaendelea kupoteza muda wako kuwapotosha watu ambao hawapotosheki.
Watanzania wanaelewa kuwa CHADEMA ni chama cha wananchi wote, kwa ngazi zote.
Kauli yako hiyo na ilaaniwe na watu wote waseme Amen!!!!!
Ukute picha zenyewe ziko hivi:Daaaah asieee kama zilivyochakachuliwa Jangwani siyo? Jangwani kulikuwa na watu wachache kweli lakini Chadema ni mabigwa wa kuchakachua wakaonyesha watu wamejaa sana!!!!!
Itabidi wawauzie CCM teknolojia hiyo ili nayo ipendwe pendwe tehe tehe.
Nimefurahi leo,nimepeana Mkono na LEMA na nimechangia chama mchango wangu.
Mie pia naangana na wewe kulaani aliyesema haya meneno alaaniwe tuseme ameen!!!
Nimefurahi leo,nimepeana Mkono na LEMA na nimechangia chama mchango wangu.
Mpaka hivi sasa viongozi wa kitaifa bado hawajaingia wameingia watatu tu na jua linazama. Idadi ya watu ni ndogo na wengi wakiwa ni watoto wadogo ambao walikuwa wakikimbiza gari la P.A ambalo lilikuwa linazunguka mitaani tangu asubuhi. Picha HIZi Hapa.
Mbona sijakuona kwenye thread zinazohusu UAMSHO aka Boko Haramu? Mnachoma makanisa wadini wakubwa Pambaf!Mie pia naungana na wewe kulaani aliyesema haya meneno alaaniwe tuseme ameen!!!