Mtumieni Camera basi mnataka picha wakati mwenzetu anatumia simu kutoka kwa Hu Jintao.
tunawaambia kwamba ccm walimpa mwakyembe sumu,na mkapa alimuua nyerere,uliza swali jingine
jamani picha ni muhimu tuwakate ngebe magamba
Ukute picha zenyewe ziko hivi:
Huyo mwandishi ndo ataenda ku upload picha? MungiMkuu Mtwara huna haja ya kuhitaji picha, ni taarifa kutoka kwa makamanda zinasema Mkutano ulikuwa nyomi tofauti na matarajio, ukizingatia jiografia na historia za wenzetu wa kule. kwa kweli watanzania wameamka siyo siri. Mkutano umeisha!
Tunasubiri Makamanda waka upload picha. Nimeongea na mwandishi wa Channel ten, ngoja nikawahi kwenye king'amuzi changu!
Asante mkuu, wasiokubali, na wanaotaka kupotosha ukweli nawapa pole sana.Kibali cha mkutano kitaisha saa 12 jioni, sehemu ya tukio ni mita chache toka kituo kikuu cha Polisi Mtwara, LEO mazingira ya mkutano hayaruhusu picha za LIVE; mtaletewa baada ya saa 2 usiku; KUWENI NA SUBIRA
Mkuu Mungi,
Hivi huyu Marehemu Ndugu yetu 'Malaria Sugu' hapo chini kwenye picha ALIFARIKI DUNIA mwaka gani vile kabla hajazaaliwa upya na kupewa jina Ritz hivi??
Kiukweli, kujua najua kwamba ni mwishoni mwa miaka ya '70 kule ila mwaka wenyewe ndio siukumbuki kwa usahihi sana.
Mkuu usiandikekitu usichokijua. CUF huku kusini inanguvu katika wilaya moja tu, Tandahimba, labda na Tunduru kidogo. Na hii inatokana na taizo la elimu tu. Makamanda watakuwepo ukanda huu kwa siku 17 ambazo ninahakika kwa moto walioanza nao leo, msasa utakaopigwa hautakuwa na ubishi.watatupia picha za cuf kwani walikwenda kwa matumaini. Kila wakipita cuf imechimba mizizi na ccm