mukaruka mzee
JF-Expert Member
- Jan 22, 2020
- 970
- 482
Nime
Nimependa namna Rais anavyoweka hiyo ofisi yake; ngoja nikwambie ofisi SENSITIVE kama hiyo, haihitaji mpangilio rahisi rahisi wa documents na mafaili, kiasi ambacho kinaweza kumpa "adui" urahisi wa kupata document au faili analotaka humo ndani. Ndiyo maana unaweza kukuta hata the so called file registry au file register inakuwa na machanganyiko ili kuzuia wizi wa taarifa nyeti. Hicho ndicho kinacho onekana humo ofisi kwa Rais wetu. In fact kwenye ofisi nyingine sensitive kama hiyo, unaweza usikute CHOCHOTE kwenye meza yake ila mwenye ofisi anajua nini kiko wapi na anaweza kukipata bila ku - hustle! Keep it up Rais wetu, kwani office management is a tricky science!View attachment 1651181View attachment 1651182View attachment 1651183
Harafu naona zile raba zake anazozikubali kwa mbaaaali