Kutoka Ofisini kwa Mzeebaba

Kutoka Ofisini kwa Mzeebaba

Nime

Nimependa namna Rais anavyoweka hiyo ofisi yake; ngoja nikwambie ofisi SENSITIVE kama hiyo, haihitaji mpangilio rahisi rahisi wa documents na mafaili, kiasi ambacho kinaweza kumpa "adui" urahisi wa kupata document au faili analotaka humo ndani. Ndiyo maana unaweza kukuta hata the so called file registry au file register inakuwa na machanganyiko ili kuzuia wizi wa taarifa nyeti. Hicho ndicho kinacho onekana humo ofisi kwa Rais wetu. In fact kwenye ofisi nyingine sensitive kama hiyo, unaweza usikute CHOCHOTE kwenye meza yake ila mwenye ofisi anajua nini kiko wapi na anaweza kukipata bila ku - hustle! Keep it up Rais wetu, kwani office management is a tricky science!
Kwahiyo mafaili yako randomly kwa ajili hiyo au ni maoni yako tu.
 
Kwahiyo mafaili yako randomly kwa ajili hiyo au ni maoni yako tu.
Kwenye ofisi nyingi nyeti, mafaili yanawekwa hivyo, randomly, kwa ajili ya usalama zaidi kwani yatampa mhujumu yoyote taabu ya kupata faili analotafuta. Hii ni Office Management Security Skill au OMSS lakini huko inatamkwa OMASISI! Utasikia mtu anakuambia "leo omasisi imechafuka", wanaelewana wao! Kwa hiyo siyo maoni yangu tu bali hiyo ndiyo hali halisi kwenye ulimwengu wa "usalama".
 
Back
Top Bottom