FraNova
Member
- Aug 23, 2022
- 38
- 207
Hii kitu ni balaa sana,
Uwe unadate na mwanamke anayehitaji kuolewa kwa muda huo, yule anayeona kama umri unamtupa mkono huwezi enjoy hayo maahusiano ni kero mwanzo mwisho,
Maswali kama, "hivi utanioa kweli?"/ "baby utanioa lini"/ "Mbona huji kujitambulisha kwetu?"/ Mbona hunitambulishi kwenu?" n.k. Hata kama ulikua kuna mambo unaweka sawa kwanza ili umuoe unaweza kughairi tu.
Kunyimwa penzi kwa kuona kama unamchezea ni jambo la kawaida. Ukipewa basi inabidi ujihadhari, usipotegeshewa mimba basi utabambikiwa ilimradi apate cha kukushikilia.
Mbaya zaidi unakuta alishatumika balaa, speedmeter inasoma kilometa za kutosha.
Kwa hili wanawake mbadilike mjue tu ukiweka presha kubwa ya kupata kitu ndio unakikosa kabisa.