Camilo Cienfuegos
JF-Expert Member
- Apr 23, 2015
- 19,385
- 68,489
Ulikuwa wapi wakati movie hizi zikitamba
Halafu kuna Hatya nayo ilikuwa nuxAisee disco dancer ilikuwaga noumer
Hatya ilikuwa shigder!Halafu kuna Hatya nayo ilikuwa nux
sisi ilikuwa kwa Bolingo Majengo. tukitoka chinji saa nne tunapiga chuma, tunaoga, saa sita tunaenda kucheki 'picha' la mchana. Good old days.} Kwa Mambo- Mbata
} Mwarabu Soko Matola Quarters
} Mama Amasha Maghorofani Soko Matola
Red Giant nikumbushe pale Machinjioni palikuwa panaitwa kwa nani?
bila kusahau sam video center majengo juu sokomatola} Kwa Mambo- Mbata
} Mwarabu Soko Matola Quarters
} Mama Amasha Maghorofani Soko Matola
Red Giant nikumbushe pale Machinjioni palikuwa panaitwa kwa nani?
Safi sana, na ITV Olofeabila kusahau sam video center majengo juu sokomatola
duuhnakumbuka by that time siku za jumapili naficha sadaka then natumia kuangalia movie,..haha
Watoto wa leo wamebweteka kwenye play stationNakumbuka mambo mengi sana.
Miaka hiyo tunaingia kuangalia Video kiingilio ilikuwa silingi 50 picha 2, kama huna unatafuta shilingi 30 unaingia picha moja.
Kama huna kabisa unawahi kufagia ukumbi unaingia free.
Ishu ilikuwa hapo kwenye kufagia ukumbi, tulikuwa tunapigania balaa, unaweza kutoroka skuli kuwahi kufagia ukumbi mida ya saa 7 mchana ukakuta mko kama 9 hivi wote mnagombea chance moja ya kufagia.
Enzi hizo tukitoka skuli mida ya saa 8 tunapitia kwenye banda la video tunaangalia trela kwanza kabla ya show kuanza saa 9 kamili.