Kutoka Maktaba: Unakumbuka nini?

Kutoka Maktaba: Unakumbuka nini?

Mbona hamtaji ni mwaka gani bana???. Kuna maeneo nilikatiza juz kati nikakuta tangazo la show ya 'Gangwe Mob'. Na ilikuwa ndiyo top story ya kijiji.
Nadhani mmenielewa.
 
Aisee umenikumbusha mkuu ngoja nikazi download kabisa!
 
Hiyo kitu ya Solo wacha kabisa..nakumbuka miaka ya 1996-1997 imetafuna sana shilingi hamsini zangu pale kwa Mrefuu daraja mbili! Dah hatari sanaaa
 
Kwa mponzi makunguru
Ha ha ha umenikumbusha nyimbo ya Diblo Dibala iliwekwa kama trailer hapo Makunguru jamaa (Diblo) alipiga gitaa la solo kwa ustadi mkubwa mpaka watu wakasema once more mara kumi.
 
Back
Top Bottom