Bujibuji wa Juzi! Haaaa Olofea kwa wacheza Guruguru...uwanja wa kupokelea Mwenge!
Enzi hizo Mengi katuletea ITV pale Community Center (OLOFEA) jamaa mbavu yule (SONERO) alikuwa kama Mungu fulani hivi alipo kuwa analiwasha lile Dude!
Enzi za Tamthilia za Egoli, the Bold and the Beautiful, Isidingo the need wakati huo hata Rajesh ajaingia mzigoni, akina Nandipha ndio mastar wetu[emoji4] .... Mieleka na akina Hulk Hogan
Haaah Bujibuji nilikuwa nauza ndizi na vinyama choma mlangoni pale kabla hujaingia ndani.. Baadaye tuka hamia Octopus Club (Casino) jirani na Mbeya Peak Hotel