ilboru1995
JF-Expert Member
- Oct 4, 2007
- 2,329
- 268
Kumbe Uko Upande Wa Mbowe Sitarajii Taarifa Bali Mapovu Tupu
Leo Zitto ndo mwisho wake kwenye siasa za CHADEMA...
Kumbe Uko Upande Wa Mbowe Sitarajii Taarifa Bali Mapovu Tupu
Acha uongo, kwani ulikuwepo peke yako mbon mzushi sana
Wakuu kumepambazuka vema,
Viunga vya mahakama kuu vimetulia, watu wakiendelea kuwasili tayari kwa usikilizwaji wa pingamizi la Zitto Kabwe kutaka kamati kuu ya chadema isijadili utetezi wake,
Tumejiandaa vema kuwaletea kinachojiri na kuzuia upotoshaji mkubwa uliofanywa jana na kundi la wasaliti hawa wa mageuzi,
NB
Kamati kuu ya chadema inaanza kikao chake kama kawaida hivi punde na Zitto ataanza kutajwa ndani ya vikao hivyo baada ya saa tatu kamili asubuhi hii,
Pipoooooz!!!!!!!
UPDATES
Bado ukumbi wa kusikiliziwa shauri husika haujapangwa, nimeelezwa na mapokezi kuwa hivi punde watapanga na shauri litaanza kusomwa saa tatu,
Makamanda wengi wamashawasili, pikipiki zenye bendera za chadema zimetanda mahakamani,
Hali ya hewa ni nzuri ambapo nyuzi joto linakadiriwa kuwa 26 tu hivyo makamanda waliovalia suti wapo salama kabisa,
Tunaendelea .....
APDATES
Zitto yupo hapa mahakamani tangu saa 12 asubuhi, amejificha kwenye gari aina ya Carina no T564 CAS, anawalinzi wa nne wenye miili dhaifu (fizikali), kwakumuonyesha kuwa nimemuona, nimeenda kuengemea gari hiyo hiyo na huku napost updates,
Naaaam
Tumeruhusiwa kuingia ukumbini na kila mtu ametakiwa kuandika jina lale kwenye kitabu cha wageni wa mahakama,
Haya Zitto nae ameshushwa kwenye gari na wapambe wake wanne, anaingia sasa nae mahakamani,
Jambo lakufurahisha leo nikuwa Zitto amevaa mavazi ya SANDA,
Yaani meupe kama .....!
Wooooooooiiiiii Zitto anazomewaaaaaa CCMmmmmmmmmm, duuuuuh hii hatari ukumbi mzima umelipuka kwakumzomea, alianza kuwambia watu pipoziii, hahaa watu wakamjibu kwa kumzomea sana,
naaam watu wametulia wakimsubili jaji Utamwa aje akate mzizi wa fitina
UPDATES,
Wakili wa Zitto Bwana Msando ameshawasili, hahaa kaja moja kwa moja kunishika mkono, sijasita, nimemsalimia tena kwakicheko huku nikimwambia leo mnapigwa chini rasmi,
Bado mawakili wa Chadema bado hawajafika, tunawasubiri
UPDATES,
Mwanasheria mashuhuri katika ardhi ya Tanzania ndugu Tundu Lissu ndio anawasili, wapi pipooooooz!!!!
Watu wanashangilia hamna mfanoooooooo!
Heheeee kweli nguvu ya umma ni balaaa
UPDATES,
Wakili Kibatala ameingia, watu wanaendelea kushangilia,
Saaa tunamsubiri jaji Utamwa tu
Kwa umri wake na aliyoyafanya mbona ni success story tayari???!!!
Au una maanisha nini kusema hana ataloweza??!!!!
Kama ana makosa yawekwe wazi aadhibiwe lakini kusema hawezi kitu ni chuki za wazi kabisa zisizo na maegemezi asilani!!!!!
Wewe ni mtu makini usizolewe na siasa maji taka kirahisi mkuu!!!!!
Zitto atawasumbua sana..jana hapa pro chadema walisema Zitto kabwagwa leo magazeti yoooote yameandika. Zitto aibwaga chadema
Kazi gani tena? Unachoongea unakijua/ uhakika nacho au umemezeshwa na akina Mbowe?
Wakati akiingia mahakamani akifuatana na mabaunsa sita na mmoja ikisemekana kuwa ni kijana wa usalama wa taifa alikutana na dhoruba ya kuzomewa na vijana wa cdm waliofika mahakamani leo mapesa. Ilikua ivi wakati anaingia akawasalimu vijana habari zenu......wakajibu toka huko wee ccm, huku wakiendelea kusema ccm
Watu wa type hii Chadema wako wengi, walianzia kutumika kama dodoki, kasha kama dekio, then kama tp, sasa wanatumika kama hiyo kwenye bold, mwisho watatumika kama pe..!, wote hao mwisho wao ni kwenye bin tuu!.Pasco
Wewe mwenye kujua ndie yakupasa unijuze na mimi, nikazi gani aliyo tumwa Zitto? Na akina nani walio mtuma?
Kwaushahidi gani unaomtia hatiani bw Zitto kua katumwa kukivuruga chama? Ni akina nani walio mtuma? Mbona ktk yale makosa 11 anayo shtamuwa nayo hilo la kutumwa kukivuruga chama halipo? Acheni kumezeshwa mambo kama watoto wa ndege nyie.Ni MwanaCDM gani asiyetambua lengo lake kwa chama hadi sasa? kazi aliyotumwa kuvuruga chama imeshamshinda na anawaogopa waliomtuma hasa akifikiria pesa nyingi walizompa!
Mod ck iz cjui mnagida gongo
CDM hatumtaki msaliti, mpeni uwaziri labda atawasaidia.... Ngoja tuone Mahakama itakavyomsaidia kulinda vyeo vyake ndani ya CDM isiyomuhitaji msaliti huyu...Kazi gani tena? Unachoongea unakijua/ uhakika nacho au umemezeshwa na akina Mbowe?