Kutoka Mahakama Kuu kanda ya Dar: Usikilizwaji wa uamuzi wa pingamizi la Zitto

Status
Not open for further replies.
jinsi unavyo report unaonyesha tu kuwa unaongozwa na ushabiki.ila la msingi ni kwamba,tuache sheria ichukue nafasi yake,maamuzi ya mahakama ni vyema yaka heshimiwa kwa nyie nyote mlioko ktk eneo la tukio,awe zitto ama wapinzani wake

Na sisi ni wapinzani wake.....kama Zitto ameweza kukisaliti chama chake bas hiyo dhambi inamtafuna na hatabaki salama
 
Na hilo nalo ni la kuripoti?Hao wapuuzi si watakuwa wamepewa script ya nini wafanye wakimuona Zitto?Am not pro Zitto anyway,am just a somebody who is dying to see justice done to anyone regardless who you are.In this case Zitto,Mbowe and Dr Slaa are all facing accusations and they should be judged & punished equally!Am for justice.

And who u to judge?
 
assadsyria3
Mod mkowapi

wapo nyumbani kwao kwani vp ww kilaza!
 
Kumbe anayetupa update ni huyu mvuta bangi?
silvestri_lingua2.jpg
 
Kwa umri wake na aliyoyafanya mbona ni success story tayari???!!!
Au una maanisha nini kusema hana ataloweza??!!!!

Kama ana makosa yawekwe wazi aadhibiwe lakini kusema hawezi kitu ni chuki za wazi kabisa zisizo na maegemezi asilani!!!!!

Wewe ni mtu makini usizolewe na siasa maji taka kirahisi mkuu!!!!!
OLESAIDIMU

View attachment 129929

===>Makosa unayaangalia vipi?ukishaanza kuwa msaliti kwa wenzako huwezi kukaa nao tena.
 
Last edited by a moderator:
Watu wa type hii Chadema wako wengi, walianzia kutumika kama dodoki, kasha kama dekio, then kama tp, sasa wanatumika kama hiyo kwenye bold, mwisho watatumika kama pe..!, wote hao mwisho wao ni kwenye bin tuu!.Pasco

This is to Low from you Pasco
Au kuna mtu ame temper na ID yako?
 
Last edited by a moderator:
Amevumiliwa sana!
Mbowe amemheshimu sana
Slaa amemvumilia sana.
Just imagine, jitu linaasisi kikundi cha UASI cha Masalia
Ameuza majimbo matatu,
Amekihujumu chama miaka yote hiyo,
watu wamemvumilia na wakamchukulia jinsi alivyo...

Sasa IMETOSHA

View attachment 129930

Huyu ni ndumila kuwili kabisa,mwache aondoke hafai hata kidogo.
 
Kwa wale mnaonekana kununa na update za Yericko haitoshi kwenu kuja kubenua midomo na kufura fura kama waja wazito.
Anzishen thread yenu kama vp mpeane update mzipendazo kama jana.

Linalotokea hapo ni mustakabali wa mambo mengi ujue huyo ni mbunge wa watu kumbuka na chama pia watu wame invest feelings na matarajio kwa hiyo habari lazima iandikwe kwa staha na malengo mapana sio utani na dhihaka anaofanya mtoa habari!!!!!!!

Humu tunasoma watu wengi na.tunataka habari iwe habari na propaganda mtaufuteni mwingine aweke utani kejeli na fedheha kwa uzi mwingine then mashabiki waende huko wakavuane nguo hutosikia watu makini wakisema NO!!!!!!

Kwa lugha uliyotumia hapa unajieleza pia kuwa wewe ni mtu wa aina gani na hili linachafua sana chama!!!!
 
CDM hatumtaki msaliti, mpeni uwaziri labda atawasaidia.... Ngoja tuone Mahakama itakavyomsaidia kulinda vyeo vyake ndani ya CDM isiyomuhitaji msaliti huyu...

Ili chama kibaki salama huyu mtu mtoeni haraka sana ni kipindupindu.....
 
Zitto ajue kwamba akimaliza kazi aliyotumwa na CCM lazima watamu assassinate. Asifikiri kwamba akihamia Germany CCM watamuacha akaishi kwa raha mustarehe lazima watamtafuta tu. Akumbuke Prof. Kighoma Malima na Daud Balali walivyowafanya. Zitto amemeza ndoano ambayo sasa hawezi kuitema.

Kazi aliyotumwa lazima aifanye kulingana na makubaliano. Asipoifanya "analo" akiifanya pia "analo".

Zitto ni msomaji mzuri wa vitabu, namkumbusha asome vitabu vya DOUBLE AGENTS enzi za Cold war btwn Russia and USA, wote mwisho wao ilikuwa KUUWAWA. Sio namtisha Zitto this is a fact.

Yangu macho, maadamu CDM wamemsitukia Zitto huo mpango wake wa kuuza viti vya UBUNGE na URAIS kama Fahmu Dovutwa 2010, hautafanikiwa! Pole sana Zitto You're now on catch 22
 
.....Nimesikia zitto amezomewa na vijana ni kweli??
Niwalewale walevi wa gongo wakilasiku ambao washazoeleka kwa kutoa lugha chafu kwa viongozi wao. Lakini Pia hiyo ndio Kazi yao inayo waweka hapa mjini hivyo hatuwashangai.
 
ahahaaaaaaaaaaaaaaa Yeriko unawakilisha kwa mbwembwe !!!!Tiririka tiririka tupe updates
 
Na hilo nalo ni la kuripoti?Hao wapuuzi si watakuwa wamepewa script na HANDLERS wao ya nini wafanye mara wakimuona Zitto?Am not pro Zitto anyway,am just a somebody who is dying to see justice done to anyone regardless who they are.In this case Zitto,Mbowe and Dr Slaa who are all facing accusations they should be judged & punished equally!Am for justice.

Kama unaona ni sawa kuzomewa kwa mwanasiasa "kipenzi" cha watu kiasi cha kutokuwa na umuhimu wa kuwa reported basi huna sababu ya ku-argue kuwa waliomzomea wamepewa script! Nyie watu sijui mtaamka lini ili mjue kuwa ccm imechokwa na watu!
 
Kwenye bandiko lako la awali uliandika umeonyesha dalili za kutambua kuwa upo uwezekano zito amekosea mahali fulani, ukatushauri tupime mazuri dhidi ya mabaya yake kabla ya kutoa hukumu, ukatuomba huruma yetu kwamba tuyakodolee macho mazuri yake pekee ili kwamba mabaya yasitushughulishe. hebu niambie unataka yale mabaya ya zito nani ayashughulikie.

Hapo sasa umejibu mada kiuwanamume sio mara kale ugali mara nani kakupa cm wengine sio fani zetu hizo!

Na ndo maana nilisema hivi viongozi wamechemka hakuna haliyemsafi ndani ya chadema kuna mabaya mengi ndani ya chama ambayo ni mabaya ni kuyafunika tu ili tusonge mbele tukiwa wamoja ZZK anamapungufu, Slaa anamapungufu, Mbowe anamapungufu, Lissu anamapungufu ndio binadamu wote tukitaka kusafishana hakuna hatakaye baki labda kwa udidecta kuvumiliana na si huruma Na hata yeye ZZK amesema ipo michango yake mizuri ndani ya Chadema na ye ni binadamu na mi pia naungana mkono si kumuhukumu na kumdhihaki wakati huu.
 
MUNGU ibariki CHADEMA,
Uwabariki viongozi wake wakuu&waandamizi,
Ibariki CC ya chama,
Uwakumbuke wanachama&wafuasi waaminifu&watiifu wa CHADEMA,
Katika jina la YESU KRISTO WA NAZARETI,AAMEN!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom