Kutoka Mahakama Kuu kanda ya Dar: Usikilizwaji wa uamuzi wa pingamizi la Zitto

Status
Not open for further replies.
sa tatu ndio hii, mawakili wa chama wamesha fika ama bado, isije fanyika njama ya kuwawekwamisha njiani.
 
Kama unaona kuna ushabiki,si uende na wewe mahakamani au uachane na hii thread? umelazimishwa kuifungua? inakuwaje gamba anatolea mimacho jambo lisilomuhusu? atapigwa chini soon jiandaeni kumpokea mamluki wenu tu!

Kama umeona si halali kwa uongozi wa CCM / SERIKALI si uende ambako hakuna SERIKALI / CCM,

Acha ujinga wa mawazo, au muda wa kufungua Shule bado haujafika?
 
Hii ndio shida kubwa ya JF , badala mtupe Updates ,mnaanza kutukanana na Kusodoana kama mpo kwnye ukumbi wa Taarabu na wengine wanataja Mahusiano yao humu.
Mm nilifurahi kuona Mtu kajitolea kutuUpdate nikasema nifuatilie lakini yanayoendelea ni tofauti na Matarajio.
Kama mnataka kufanya utani ,ipo forum Maalamu Jokes ..na sio huku ..

It verry difficult to trust somebody in Bongo land ..nnyienyie mnajiita wanaharakati wa Mabadiliko , mnaandika na kufanya ujinga kwenye page humu. . Napata wasiwasi kuamini Mabadiliko.
 
Watu wa type hii Chadema wako wengi, walianzia kutumika kama dodoki, kasha kama dekio, then kama tp, sasa wanatumika kama hiyo kwenye bold, mwisho watatumika kama pe..!, wote hao mwisho wao ni kwenye bin tuu!.Pasco
Pasco unafurahisha eti wanatumika ina maana wewe hujitambui kama unatumika,

ninachojua mimi ni misukule tu inayotumika bila kujitambua.
 
Ili utoe taarifa za maana, you need to be neutral. Kwa picha hii huwezi kuleta taatifa za maana hata kidogo
 
"look at you"
kwa hisani ya ncheemba.

Binaadamu ni mnyama wa hovyo sana jua,na huyu mtu hana nguvu wala influence kiasi hicho sasa mtieni ujinga tu na kumshangilia wakati anavuka mipaka ya kuvumiliwa!!!!!

Wewe hutojitolea kukaa upande wake itapokuja kila mwanaume kukumbuka uchungu wa jando yake!!!!! Kama ni rafiki yako mshauri afanye siasa tu kuchezea nerve za mwanaume mwenzio kiasi cha kutaka kuikata sio sawa sana!!!!!
 
taarifa zisizo rasmi zaeleza kuwa mwenyekiti wa tume ya katiba alisomeshwa kwa fedha za mauzo ya gongo. sina uhakika kama wasira anapona kwenye hili.
Hata IGP mpya, mama yake alimsomesha kwa hela za gongo. Mama yake mzazi alitoboa hiyo siri. Baba yake(IGP) alikuwa na wake sita,kila mwanamke alikuwa anahangaika na wanawe. Hii kitu imesaidia/inasaidia watu wengi, iboreshwe ili iwe halali.
 
Wakati akiingia mahakamani akifuatana na mabaunsa sita na mmoja ikisemekana kuwa ni kijana wa usalama wa taifa alikutana na dhoruba ya kuzomewa na vijana wa cdm waliofika mahakamani leo mapesa. Ilikua ivi wakati anaingia akawasalimu vijana habari zenu......wakajibu toka huko wee ccm, huku wakiendelea kusema ccm
 
Cheche Mtungi, zitto nilisoma naye Tosamaganga. Alikuwa mbele yangu.
Tabia mojawapo ya Zitto ni kujiamini kupita kiasi hata kama analoamini ni upuuzi
Tabia nyingine ni UBISHI WA ASILI.
Tabia ya Tatu ni KUSHINDANA NA MAMLAKA YOYOTE ILIYO JUU YAKE
Tabia ya nne ni KIBURI na DHARAU za KILIMBUKENI.
Sasa ukichanganya tabia zote nne na ukaongeza hii ya KUWA NA WASHAURI WAPUMB.AVU kama kina Omarilyasi ndio unaona maamuzi na mwenendo wa Zitto kwenye sakata lake vimekaa KILEVI-LEVI tu.

Huyu dogo sidhani hata kama ndoa ataiweza! Ni mjinga sana
ndumyana
===>Kwa ubishi,ubinafsi na dharau za kiasi kile unafikiri kuna atakachoweza,muache afukuzwe tu hana nidhamu hata kidogo.
 
Last edited by a moderator:
Wakuu, kama mahakama kuu ikitupilia mbali pingamizi hili. Je hatima ya Zito kuendelea kuwa mwanachama wa CDM upo?na kama atashinda je CDM inaweza kuendelea na kikao na kumchukulia hatua kama ilivyokuwa kwa Hamad Rashid ( CUF)? Kwa hili la pili je CDM itaathilika au kunufaika vipi?
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom