Kutoka Mahakama Kuu kanda ya Dar: Usikilizwaji wa uamuzi wa pingamizi la Zitto

Status
Not open for further replies.
Kwaushahidi gani unaomtia hatiani bw Zitto kua katumwa kukivuruga chama? Ni akina nani walio mtuma? Mbona ktk yale makosa 11 anayo shtamuwa nayo hilo la kutumwa kukivuruga chama halipo? Acheni kumezeshwa mambo kama watoto wa ndege nyie.

JK ameithibitishia dunia kwa kitendo chake cha kumlilia Zitto hadharani...Alimpigia JK kampeni, Alitumia resource za chama kumpigia debe kafulila, Alishirikiana na Rostam kumtumia marehemu Wangwe ingawa Chacha baadae alikuja kukiri kuwa walikuwa wanamtumia na alipoanza kuishughulikia Mgodi wa Nyamongo akina Makamba Sr wakammada kisha wakalamba laptop na kuleta taarifa kupotosha! Alipoulizwa aliipate hiyo laptop ndani ya 15min baada ya ajali akafyata mkia... Zitto amehusika kwa 100% kuandaa na kuratibu movie ile ya Lwakatare yeye na Nchemba, Zoka na Nchimbi... Zitto alipewa docs za kulipua uwizi wa EPA, badala yake akaishia kwenda kwa Ballali kuvuta mkwanja, ilibidi Dr Slaa amwage data mwenyewe hadharani... Buzwagi saga? Kodi kwenye Makampuni ya Simu kimyaa baada ya kupewa uwakala wa kanda ya magharibi! ...Zitto ni FISADI kama waliomtuma kuihujumu CDM...Leo ndo mwisho wake rasmi ndan ta Chama...
 
Wakati akiingia mahakamani akifuatana na mabaunsa sita na mmoja ikisemekana kuwa ni kijana wa usalama wa taifa alikutana na dhoruba ya kuzomewa na vijana wa cdm waliofika mahakamani leo mapesa. Ilikua ivi wakati anaingia akawasalimu vijana habari zenu......wakajibu toka huko wee ccm, huku wakiendelea kusema ccm

habari kama hizi peleka katika magazeti ya udaku. Mods kuna watu wanashusha hadhi ya jf. Habari kama hizi ni za kuzifuta, watu kama hawa ndio wanaoharibu maana ya Great thinkers, hili sio jukwaa la udaku. Habari hizi zikiendelea kuruhusiwa kuna siku watu kama hawa wata post habari ya fulani kapigwa na mkewe. Kama mtu huna cha posta kaa kimya mbula wewe. Kila siku zito tumechoka na habari za zito mnampa sana umaarufu wa kijinga.
 
Zito aondoke zake atuachie chama!watu tumepoza nguvu,jasho na damu kwa ajili ya Chadema kama ana ona ana grupu kubwa linalo muunga mkono ndani ya Chadema aondoke nao aka anzishe chama au aendao uko kwa magamba.tume jilea kufa ajili ya Chadema'zito asijidanganye ata baki salama.
 
Niwalewale walevi wa gongo wakilasiku ambao washazoeleka kwa kutoa lugha chafu kwa viongozi wao. Lakini Pia hiyo ndio Kazi yao inayo waweka hapa mjini hivyo hatuwashangai.

Swali ni kweli kazomewa?,mbona unajibu usichnulizwa mkuu
 
Zito alimfuata nani hio sas 12 asubui
Na mahakama inaanza saa 3asubui au
Walikuwa na kikao na Maccm ?
Wajue Mpango Wa Mungu hauzuiwi kihuni
Kihuni hivi Kama zito anavyo fikiri na Maccm yake
 
Hapo sasa umejibu mada kiuwanamume sio mara kale ugali mara nani kakupa cm wengine sio fani zetu hizo!

Na ndo maana nilisema hivi viongozi wamechemka hakuna haliyemsafi ndani ya chadema kuna mabaya mengi ndani ya chama ambayo ni mabaya ni kuyafunika tu ili tusonge mbele tukiwa wamoja ZZK anamapungufu, Slaa anamapungufu, Mbowe anamapungufu, Lissu anamapungufu ndio binadamu wote tukitaka kusafishana hakuna hatakaye baki labda kwa udidecta kuvumiliana na si huruma Na hata yeye ZZK amesema ipo michango yake mizuri ndani ya Chadema na ye ni binadamu na mi pia naungana mkono si kumuhukumu na kumdhihaki wakati huu.
Titi likiwa na cancer hakuna namna zaidi ya kuikata ili isilete madhara mwilimzima... Zitto must GO...
 
Update na yericko mdandia nasaba aka tapeli wa mji? Hapa hakuna jipya zaidi ya umbea mtupu.
 
Na hilo nalo ni la kuripoti?Hao wapuuzi si watakuwa wamepewa script na HANDLERS wao ya nini wafanye mara wakimuona Zitto?Am not pro Zitto anyway,am just a somebody who is dying to see justice done to anyone regardless who they are.In this case Zitto,Mbowe and Dr Slaa who are all facing accusations they should be judged & punished equally!Am for justice.

My Brother, You are very wrong. It's only Zitto who is facing the music here!!
 
OLESAIDIMU

View attachment 129929

===>Makosa unayaangalia vipi?ukishaanza kuwa msaliti kwa wenzako huwezi kukaa nao tena.

Kutaka uchunguzi na anayechunguzwa aachie uhuru sasa tabu nini hapo mbona ni utaratibu tu wa kufikia ukweli??!!!
KK si ndio ilichokifanya kwake pia???!!!Weka na barua ya chama iliyoanzisha kadhia hii pia mkuu!!!
Narudia tena kama hana tabia safi tangu zamani wakuwajibishwa baada yake ni waliomlea hapo chamani mpaka kufikia hapa!!!!!

Tuiache mahakama ifanye yake sasa
 
Last edited by a moderator:
Hapo sasa umejibu mada kiuwanamume sio mara kale ugali mara nani kakupa cm wengine sio fani zetu hizo!

Na ndo maana nilisema hivi viongozi wamechemka hakuna haliyemsafi ndani ya chadema kuna mabaya mengi ndani ya chama ambayo ni mabaya ni kuyafunika tu ili tusonge mbele tukiwa wamoja ZZK anamapungufu, Slaa anamapungufu, Mbowe anamapungufu, Lissu anamapungufu ndio binadamu wote tukitaka kusafishana hakuna hatakaye baki labda kwa udidecta kuvumiliana na si huruma Na hata yeye ZZK amesema ipo michango yake mizuri ndani ya Chadema na ye ni binadamu na mi pia naungana mkono si kumuhukumu na kumdhihaki wakati huu.
KIGILAGILA
===>Mapungufu yana kikomo chake,kama unaharibu chama huna budi kuondolwea,kama unahujumu wenzako huna budi kuondolewa,kama unasaliti wenzako huna budi kuondolewa.
===>Usaliti kama huu wa wazi kabisa hana budi kuondolewa:

View attachment 129931

Zeddylicious : SOMA BARUA YA ZITTO KABWE INAYOMTAKA LWAKATARE ATIMULIWE CHADEMA..!!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom