GE2025 Kutoka kwa mjumbe: Baba Levo kamwaga pesa sio chini ya Bilion moja na nusu

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

GemMaster II

JF-Expert Member
Joined
Dec 21, 2020
Posts
3,405
Reaction score
10,600
Nipo natoka safari kutoka dom kwenda dar nimekutana na mjumbe kutoka kigoma,anasema Baba levo kwa kura alizopata baba levo tofauti ya 80+ alimwaga pesa sio chini ya bilioni moja point mbili.

Nimekubaliana na mjumbe maana kwa zile kula ukizngatia ni mgeni CCM kweli alipambana kwa kuhonga hizo pesa wajumbe maana sio kwa utata ule kwenye matokeo Ndio maana na ujenzi wa mjengo wake alisimamisha

Napata picha hata washindi waliowapiga chini watetea nafasi kama yule wa iringa na wa makambako bwana chongolo pesa zimewatoka sana.

Jamani watoto wa masikin ubunge mtausikiq kwenye redio tu,ujipange haswaa.
 
Pumbavu.

Bilioni yeye kaitoa wapi? Muwe mnaona aibu kupost ushuzi humu kwani mnaonesha uchi wa akili zenu mbele za watu.
 
1.5B unaijua hizo hela watu wanatumia kutafuta Urais na sio ubunge .

Mimi mama yangu ni mjumbe wa Ccm mwaka wa 30 hela wanazopewa ukila hela nyingi haizidi 50K

Na zamani kipindi kila mwenye kadi ya sisiemu anapiga kura kila walikuwa wakitoa 5K -10K .
 
Kumbe mna bahati mbaya hamjawai Kuwa Katika team ya kampeni..ubunge sio poa andaa million 200 kwa mtu ambaye ana focus ya kumtoa waziri jimboni

NB:sio wote wengine mazali yanawabeba
 
Kwa Hawa Hawa wajumbe wanaohongwa elf 15 na sahani ya wali nyama au?
Kuna mwamba ni mjumbe, aliitwa kwenye kikao na mtetezi wa kiti, aliniambia walipewa buku 20 baada ya kikao, nilishangaa sana.

nje ya mada, mkuu ile story kule umeimaliza?
 
Wanachukulia poa eti mdau anasema ubunge uupate kwa million 30
Yah 30 n kdg kwa mbunge, hvy nakuunga mkono kusema kwa mbunge aandae sio chini ya 200.

Kuna mbunge fulani tangu mwezi wa nne mwaka huu umesha-print t-shirt zake za kampeni ametumia zaidi ya 10M kwenye kuprint tuu hizo t-shirt achana na kuzinunua.
 
Back
Top Bottom