Le Grand Alexei
Senior Member
- Nov 9, 2011
- 116
- 83
Sio kimepikwa hicho? Membe ni mnafki kwel bt sidhan yeye na kigwa wanaweza kuwa wazembe kiasi cha kutupa ukumbini kimemo hicho....napata shaka
Sio kimepikwa hicho? Membe ni mnafki kwel bt sidhan yeye na kigwa wanaweza kuwa wazembe kiasi cha kutupa ukumbini kimemo hicho....napata shaka
Sina haja ya kusema mengi lakini hii ni TROJAN HORSE kama hamniamini sikilizieni yatakayosemwa siku Ben atakapo pandishwa kizimbani
Halafu hii ya ku leak vimemo inanikumbusha ile style ya Membe vs Hasi Kitine na lile sakata la madawa feki kule Ubalozini Canada