Kutoka kwa Membe Kwenda kwa Kigwangala: Kimemo kinachomhusu Bashe Chaokotwa Kizota

Membe hajui matumizi ya herufi kubwa na ndogo kama ni kweli yeye ndio alioandika?
 
Hata mimi siamini kihivyo maana Membe ni shushushu liliokubuhu, sasa iwaje anase katika mtego wa kifala namna hiyo????

Kuwa shushushu lililokubuhu hapa Tz na kuwa Mkuu wa CIA pale kwa Obama, ni kipi kikubwa? kama huyu kibosile wa CIA kanaswa kwenye mtego mdogo tu, sembuse huyu Membe?

Isitoshe ujue kwamba kuwa shushushu ama sijui nani haijalishi coz sometimes kuna kujisahau na si sahihi kusema eti Membe hawezi kutupa kimemo hicho ukumbini, lazima ujue kwamba kimemo hicho chawezakuwa kimedondoka bila hata yeye kujua, ama katika mazingira ambayo yapo nje ya uwezo wake.

Si kila mtu anafanya kosa anakua anajua ila huja kushtuka baadaye. And so ndivyo inavyokuwa kwa watu wengi. Ni hayo tu kwa leo.
 
wewe umenena vyema,si rahisi hata kidogo kuandika kimemo,kina jina la mtumaji,mtumiwa na wanayemzungumzia,katika ukumbi wa watu zaidi ya elfu mbili!next to impossible!
Sio kimepikwa hicho? Membe ni mnafki kwel bt sidhan yeye na kigwa wanaweza kuwa wazembe kiasi cha kutupa ukumbini kimemo hicho....napata shaka
 
Kundiu lolote la ccm likichukua nchi sidhani km kuna kiongozi anayeweza kuwafikiria watz zaidi ya kufikiria namna ya makundi yaliyomweka madarakani.
KAZI KWENU WATZ,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,CCM NI MFU
 
hamna mbaya hapo; hao ni Waswahili wa Pemba ambao ufahamiana kwa Vilemba vyao
Hussein Bashe = Julius Malema of Magamba. Atawamaliza ngojeni tu!! Dogo ni moto wa kuotea mbali huwezi mtumia tu na kumtupa kama dodoki!! Ole ole ole!! CC MAGAMBA challiiiiiiiii!!
 
Nilimuona Dr.Vitumbua anakata mauno wakati taarabu ikipigwa baada ya membe kushinda.

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
Kuna majitu yanapenda siasa za Maji taka.Kama hata askofu walimlisha maneno ije kuwa kimemo kukimake.
 
eeh haya nilishazoea kuona ccm ikiwaburuza mahakamani cdm sasa hivi wanashtakiana wao kwa wao
 
Uzuri wa siasa huwa hakuna adui au rafiki wa kudumu,
msije mkashangaa Bashe akawa mpiga debe wa Membe...
 
Kwanza why to Kigwangallah and not others?

Pili hata kama Membe ni shushushu, but ujumbe ulienda kwa Kigwa ambae baada ya kusoma akakitupa chini, so madai kwamba kimepikwa na sio cha kweli kwa vile tu Membe ni shushushu hayana maana.

Tatu huu ni mlolongo tu wa matukio na muendelezo wa vita ya Membe na EL.
 
ccm itakuwa na hali mbaya sana haswa kwenye safu maana hawa wanachama wavunia matumbo ni kazi kweli kweli.
 
Back
Top Bottom