Kutoka kwa Membe Kwenda kwa Kigwangala: Kimemo kinachomhusu Bashe Chaokotwa Kizota

Le Grand Alexei

Senior Member
Nov 9, 2011
116
83
Siku chache baada ya mkutano mkuu wa 8 wa CCM kumalizika Dodoma kimemo kinachomhusu kada machachari wa CCM aliyeongoza kura za maoni za kuwania kusimamishwa kugombea Ubunge wa jimbo la Nzega mwaka 2010 na kukatwa jina kwa utata wa Uraia wake na badala yake kuteuliwa na NEC ya CCM Dkt Hamis Kigwangala aliyekuwa ameshika nafasi ya 3 kwenye kura hizo, na ambaye inasemekana wamepatana na kada mwenzake maarufu na Mbunge wa jimbo la Nzega Dkt Hamis Kigwangala.

Kwa namna ya kuvutia vijana hawa ambao mara kwa mara wamekuwa wakishindana wakiwa pande tofauti, na ambao inasemekana wapo kambi tofauti, Bashe akiwa kwa Lowassa na Kigwangala kwa Membe, kambi ambazo zinasigana katika kuusaka Urais wa JMT mwaka 2015.

Kimemo hicho, kinaambatanishwa hapa, kinaeleza mawasiliano yaliyokuwa yakitoka kwa Membe kwenda kwa Kigwangala, yakidai kuwa hakuna 'press conference' bali Bashe ana kesi ya kujibu na hivyo atasimamishwa kizimbani siku za usoni kwa kosa la kumtukana na kumkashifu Bernard Membe aliyekuwa anagombea Ujumbe wa NEC kupitia kundi la 'kifo' kwenye mkutano mkuu ule.

attachment.php


Hussein Bashe alitoa maneno makali ya kashfa dhidi ya membe, akidai hafai kupewa uongozi kwa kuwa ni mnafiki, muongo n.k. Badala ya Membe kujibu kwa kutumia njia ya media naona, kwa kimemo hiki, anaamua kumburuza mahakamani Hussein Bashe.

Re, Al.
 

Attachments

  • scan0001.jpg
    scan0001.jpg
    65.3 KB · Views: 3,202
hamna mbaya hapo; hao ni Waswahili wa Pemba ambao ufahamiana kwa Vilemba vyao
 
Waaache wapelekane mahakamani ili watupe faida ya kujua mengi kuhusu wao!

Membe asidhani Mwenzie Bashe atakuwa Zuzu lazima hii ngoma watacheza wote!
 
  • Thanks
Reactions: PPM
Hapo itakuwa ni kama kuigusa Israel, USA haiwezi kukaa kimya. Kumgusa Bashe boss wake Lowasa hawezi kukubali adhalilike kirahisi. Hiyo itakuwa ni vita mpya kati ya Lowassa na Membe. Yetu macho.
 
Sio kimepikwa hicho? Membe ni mnafki kwel bt sidhan yeye na kigwa wanaweza kuwa wazembe kiasi cha kutupa ukumbini kimemo hicho....napata shaka

Hata mimi siamini kihivyo maana Membe ni shushushu liliokubuhu, sasa iwaje anase katika mtego wa kifala namna hiyo????
 
Sina haja ya kusema mengi lakini hii ni TROJAN HORSE kama hamniamini sikilizieni yatakayosemwa siku Ben atakapo pandishwa kizimbani

Halafu hii ya ku leak vimemo inanikumbusha ile style ya Membe vs Hasi Kitine na lile sakata la madawa feki kule Ubalozini Canada

trojan-horse2.jpg
 
Mambo yote sasa hadharani! Tunasubiri sasa na kimemo kutoka kwa Lowassa kwenda kwa Bashe! Na cha Kikwete kwenda kwa Makinda kikimuelekeza jinsi ya kuchakachua kura Mwenyekiti!

TUMBIRI (PhD, University of HULL - UK),
tumbiri@jamiiforums.com
 
Sio kimepikwa hicho? Membe ni mnafki kwel bt sidhan yeye na kigwa wanaweza kuwa wazembe kiasi cha kutupa ukumbini kimemo hicho....napata shaka

Tuta take kuona hand writing haswa ya Membe kama ni hii au hapana so hakuwa kazi ngumu hapa Membe kanyaga mafuta twende na kama hakuna kesi ne t week au at least ndani ya mwezi then Membe atakuwa na sifa zote alizosema Bashe
 
Sina haja ya kusema mengi lakini hii ni TROJAN HORSE kama hamniamini sikilizieni yatakayosemwa siku Ben atakapo pandishwa kizimbani

Halafu hii ya ku leak vimemo inanikumbusha ile style ya Membe vs Hasi Kitine na lile sakata la madawa feki kule Ubalozini Canada

trojan-horse2.jpg

Haa umenikumbusha mbali, mambo ya achilles, du bonge filamu. Huyo horse watu wakawa wanabishana wamchome au wamwingize ndani eti atakuwa na miungu kaja kuwalinda.
 
mbaya zaidi hii vita ya ke leak vimemo hawa akina Bashe na Lowassa watamweza kweli membe?

lakini mu kama ukiangalia ki intelijensia atakayeshinda ni yule mwenye pesa zaidi.

Membe atakuwa anazo means lakini sidhani anaweza kuja na kipya kuhusu Lowassa ambacho hatujakijua. Japo anajua mengi lakini pia TEAM MEMBE ina njaa sana hivyo ni rahisi kununulika na TEAM MEMBE ambayo inasemekana wako fresh mpaka hao ma foot soldiers.

Sasa competitive adavantage aliyonayo Lowassa ni kuwa kama team yake wanaweza kufukua makaburi ya madudu ya Lowassa itaweza kumteteresha Membe lakini hii nayo itategemea kama akiunganisha team na akina Kitine au Mudhihiri na mahasimu wengine wa Membe.

Lakini lazima iwe kitu yenye ushahidi solid na juicier.

Aliyeanzisha hii vita ya leaked memos anaweza kuwa kaanzisha balaa

funny-little-mouse-trap-helmet.jpg
 
Mbona mnacomplicate kuvuja kwa hiyo memo ? Mbona habari hiyo iko hewani tangu juzi ? Hivi kumpeleka mtu mahakamani kwa nini iwe siri ?
 
mh, sasa amshtaki kwa lipi, huyo ndo rais mtarajiwa? mwenyekuweweseka na virasharasha vya maneno ya Bashe, je atauweza muziki wa watanzania kwenye safari ya caaanan, aaache kulialia hizo ni mvua za rasharasha labda kama imemuuuuuma kubwagwa na dogo shighela hivyo anaona jinamizi mbele yake hivyo amtwishe zigo bashe ,
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom