KabisaAcheni umbulula usalama ni kaidara kadooogo tu usione watu wanajitutumuuuua unawezaje kuifananisha na polisi, by the way sio jeshi wao ni idara ,uelewe ni kama uhamiaji tu ni idara ndiomaana juzi wakaleta muswada Bungeni zimamoto na uhamiaji watambulike kama majeshi yanayojitegemea , kwahiyo idara na Jeshi ni vitu viwili tofauti kabisaaa
Ila kwa mishahara Po. Po b. Po.Acheni umbulula usalama ni kaidara kadooogo tu usione watu wanajitutumuuuua unawezaje kuifananisha na polisi, by the way sio jeshi wao ni idara ,uelewe ni kama uhamiaji tu ni idara ndiomaana juzi wakaleta muswada Bungeni zimamoto na uhamiaji watambulike kama majeshi yanayojitegemea , kwahiyo idara na Jeshi ni vitu viwili tofauti kabisaaa
IGP Sirro mkubwa kuliko Diwani, Na kicheo bado anapiga Salute.Mkuu unaota..
Yani Siro awe juu ya Diwani, bado haiingii akilini...
IGP Sirro mkubwa kuliko Diwani, Na kicheo bado anapiga Salute.
Chunguza wakikutana wanakaaje!! Nani anaanza nani wa mwisho.
Nami nanusa Kuna kaupepo Fulani ka Zenji nakavutaHamduni wa PCCB ndo atakuwa IGP mda wowotw kuanzia sasa?je mnamonaje
Hamduni sio mzanzibar, n mtu wa Bara humu humu TaboraNami nanusa Kuna kaupepo Fulani ka Zenji nakavuta
Mkuu Askari Wakikutana wanakaa kiseniority, pia hata ukuu wa taasisi ndio maana katika mkao Anaanza Mkuu wa Majeshi anafuata IGP kisha wengineo.Kuanza kikaa sio shida, hata kama Sirro ana endesha Jeshi ila DIWANI na Idara ya Usalama bado ni mkubwa usiangalie tu formation…
😂 😂 😂Chini ya CCM vyeo vyote ni UCHWARA
Ushaharbu
Hiyo Katiba si mlete vifungu wakuu tu-prove nipe basi hata vifungu maana Nina jarida la Katiba ya 1977 toleo la 2005 nisome sio mnasema kikatiba halafu hamsemi vifunguPascal Mayalla,
Aisee wewe mzee,naona umechachawa baada ya membe kulimwa umeme.maana unasema kaonewa.
Toka lini IGP akaripoti kwa waziri wa mambo ya ndani???nenda hata getini ikulu hesabu nani anaingia pale kila siku asubuhi,jiulize kama kuna haja ya kufanya hivyo ikiwa wanakunywa chai wote na waziri wake hapo wizara ya mambo ya ndani.ndio maana hata huyo waziri kichaa akatolewa sababu alisahau mipaka yake.
TISS au DGTISS hakuna mahali anatoa amri,hata sheria inawaagiza watoe taarifa na kushauri tu,kama taarifa ina uzito sana itazunguka iende juu(kwa rais),kisha irudi kama amri.hawana uwezo wa kupeleka amri moja kwa moja polisi,hawana uwezo huo kisheria wala kikatiba.
Na wakwetu wa TANAPA anaingia wapi jamani?IGP ni mkubwa kuliko DG hata kiitifaki ipo hivyo.CDF, IGP, DG-TISS, CGP..
5/5
Absolutely hao jamaa wa TISS ni Kama CIA au KGB au RAW au MI6 yaani anataarifa nzito Sana na rais anawaheshimu sana Kuliko hao polisi sema tunawachukulia poa tu Ila hao wanaweza litia taifa matatizoniKiitifaki IGP anaonekana ni mkubwa lakni kwenye maamuzi ya Nchi DGIS anasikilizwa na kuogopwa vibaya mno.
Sent using Jamii Forums mobile app
upo sahihi, DG wa TISS hasimamii jeshi so hayupo juu ya IGP, yeye ni kama CEO wa TTcl tu,huu ndio ukweli ila kwa sababu humu tuna watu wanajidai wataalamu wa haya mambo watabishaUkiangalia Protokali ya ukaaji wao katika hafla mbalimbali huwa anaanza CDF, IGP ndo anafata DG TISS.
Kwa mtiririko huo Inawezekana IGP akawa yupo juu ya DG.
Kabisa shida hapa bongo hatujui kazi halisi za Hawa watu. hiyo Katiba haitaji kila kitu kuhusu kazi za Hawa jamaa wa TISS Ila Hawa wanaweza mpk kuua magaidi au watu hatari kwa taifa lakini ukienda kwenye Katiba haiandiki Kama wanaruhusa ya kuua,unaweza ni idea mdogo mno lkn inafanya kazi kubwa na ngumu ambayo mwanajeshi au polisi wa kawaida hawezi fanyaAsilimia 80 ya watu wanaochanganganuwa taarifa nyeti za nchi na kumshauri rais namna Bora ya kufikia maamuzi ni tiss
Sheria ya majeshi mengine haiwatambui TANAPA kwahiyo huyo mkuu wenu hata akipishana na warder wa magereza hapigiwi salute.Kiufupi TANAPA ni idara kama idara nyingine.Na wakwetu wa TANAPA anaingia wapi jamani?
upo sahihi, DG wa TISS hasimamii jeshi so hayupo juu ya IGP, yeye ni kama CEO wa TTcl tu,huu ndio ukweli ila kwa sababu humu tuna watu wanajidai wataalamu wa haya mambo watabisha
Sawa ila tunamafunzo ya kijeshi, tunatumia zana na protocal za kijeshi.Sheria ya majeshi mengine haiwatambui TANAPA kwahiyo huyo mkuu wenu hata akipishana na warder wa magereza hapigiwi salute.Kiufupi TANAPA ni idara kama idara nyingine.