Kutoka kuwa Mkurugenzi wa TISS na kuwa IGP hii imekaaje?

Acheni umbulula usalama ni kaidara kadooogo tu usione watu wanajitutumuuuua unawezaje kuifananisha na polisi, by the way sio jeshi wao ni idara ,uelewe ni kama uhamiaji tu ni idara ndiomaana juzi wakaleta muswada Bungeni zimamoto na uhamiaji watambulike kama majeshi yanayojitegemea , kwahiyo idara na Jeshi ni vitu viwili tofauti kabisaaa
Kabisa
 
Ila kwa mishahara Po. Po b. Po.
 
IGP Sirro mkubwa kuliko Diwani, Na kicheo bado anapiga Salute.
Chunguza wakikutana wanakaaje!! Nani anaanza nani wa mwisho.

Kuanza kikaa sio shida, hata kama Sirro ana endesha Jeshi ila DIWANI na Idara ya Usalama bado ni mkubwa usiangalie tu formation…
 
Kuanza kikaa sio shida, hata kama Sirro ana endesha Jeshi ila DIWANI na Idara ya Usalama bado ni mkubwa usiangalie tu formation…
Mkuu Askari Wakikutana wanakaa kiseniority, pia hata ukuu wa taasisi ndio maana katika mkao Anaanza Mkuu wa Majeshi anafuata IGP kisha wengineo.
Hilo la Usalama kuwa taasisi liko wazi tu kwa kuwa Usalama wa Taifa ilikuwa kitengo ndani ya Polisi.
 
Pascal Mayalla,
Aisee wewe mzee,naona umechachawa baada ya membe kulimwa umeme.maana unasema kaonewa.

Toka lini IGP akaripoti kwa waziri wa mambo ya ndani???nenda hata getini ikulu hesabu nani anaingia pale kila siku asubuhi,jiulize kama kuna haja ya kufanya hivyo ikiwa wanakunywa chai wote na waziri wake hapo wizara ya mambo ya ndani.ndio maana hata huyo waziri kichaa akatolewa sababu alisahau mipaka yake.

TISS au DGTISS hakuna mahali anatoa amri,hata sheria inawaagiza watoe taarifa na kushauri tu,kama taarifa ina uzito sana itazunguka iende juu(kwa rais),kisha irudi kama amri.hawana uwezo wa kupeleka amri moja kwa moja polisi,hawana uwezo huo kisheria wala kikatiba.
Hiyo Katiba si mlete vifungu wakuu tu-prove nipe basi hata vifungu maana Nina jarida la Katiba ya 1977 toleo la 2005 nisome sio mnasema kikatiba halafu hamsemi vifungu
 
Ukiangalia Protokali ya ukaaji wao katika hafla mbalimbali huwa anaanza CDF, IGP ndo anafata DG TISS.
Kwa mtiririko huo Inawezekana IGP akawa yupo juu ya DG.
upo sahihi, DG wa TISS hasimamii jeshi so hayupo juu ya IGP, yeye ni kama CEO wa TTcl tu,huu ndio ukweli ila kwa sababu humu tuna watu wanajidai wataalamu wa haya mambo watabisha
 
Asilimia 80 ya watu wanaochanganganuwa taarifa nyeti za nchi na kumshauri rais namna Bora ya kufikia maamuzi ni tiss
Kabisa shida hapa bongo hatujui kazi halisi za Hawa watu. hiyo Katiba haitaji kila kitu kuhusu kazi za Hawa jamaa wa TISS Ila Hawa wanaweza mpk kuua magaidi au watu hatari kwa taifa lakini ukienda kwenye Katiba haiandiki Kama wanaruhusa ya kuua,unaweza ni idea mdogo mno lkn inafanya kazi kubwa na ngumu ambayo mwanajeshi au polisi wa kawaida hawezi fanya
 
Na wakwetu wa TANAPA anaingia wapi jamani?
Sheria ya majeshi mengine haiwatambui TANAPA kwahiyo huyo mkuu wenu hata akipishana na warder wa magereza hapigiwi salute.Kiufupi TANAPA ni idara kama idara nyingine.
 
Sheria ya majeshi mengine haiwatambui TANAPA kwahiyo huyo mkuu wenu hata akipishana na warder wa magereza hapigiwi salute.Kiufupi TANAPA ni idara kama idara nyingine.
Sawa ila tunamafunzo ya kijeshi, tunatumia zana na protocal za kijeshi.
 
17 Reactions
Reply
Back
Top Bottom