Kutoka kuwa Mkurugenzi wa TISS na kuwa IGP hii imekaaje?

Unamanisha nini hapa sijaelewa? You mean kuna civilian agencies ambazo zina uwezo wa ku-operate beyond civilian borders, muundo wake ukawa umeingia hadi ndani ya vyombo vya ulinzi na usalama, JW, PT, MT, n.k.?
Maana yangu ni Iko kiraia zaidi not pure civilian but paramilitary Tufauti na Section kama Military inteligency ambazo ziko kijeshi zaidi Tiss ndo baba yao mana Kuwa tu kiraia kunampelekea kupenya kila mahali
 
Uzi upo Pasco aliwahi kuandika hata mimi nilikuja kuusoma baadaye sana hata Rais tayari akiwa madarakani, nilishangaa sana. Pasco yuko safi namuaminia, ila naona kama siku hizi naye kuna baadhi ya vitu vimeshaanza kumpita, maana unaona anauliza swali ambalo ni dhahiri kuwa halikutakiwa kuulizwa na mtu kama yeye!
nimekuomba huo uzi wa Pasco aliomtabiria JF uweke hapa hapa km ni JF au yeye mwenyewe tusimsemee
utakuwa na ushabiki na Pasco lkn yeye alikuwa kwa Lowassa kwa mwaka huo wa 2015
Swali kwa Pasco wa JamiiForums na wapambe wenzake kuhusu mtu wao anayetaka kwenda Magogoni
 
H
Wazee hawa wa makoti bahati mbaya wakati mwingine wanalaumiwa sana, lakini ukiwaangalia walivyo fair, wako almost next to God. Wangekuwa wanafanya kazi kwa kutoa Press Release, naamini baadhi ya watu wangefanya makosa hata ya kuwaabudu! Mungu awabariki, tuko pamoja nao sana tu. Maendeleo ya Nchi nitachangia kwa namna nyingine, fomu nimeahirisha!
Mkuu tunateseka utadhani nchi ilikua vitani imeshindwa Vita na inaongozwa na jeshi la adui.Tuoneeni huruma jamani.
Hao watu unaowasifu next to God hawaoni haya mateso?
Kwa Nini wanaingiliaga matakwa ya wananchi?
Hivi hii komenti yangu tu tayari Ni kero kwa baadhi ya Watu.
 
Ndoto yangu kila siku ni kulitumikia taifa langu siku zote, ila sijawahi kubahatika pia.
Hivi watu wanabishana hivi kwa nini? Katiba imeenda wapi? Huu mjadala kwa upande mwingine unaonyesha kuwa watu tulitamani sana kuwa sehemu ya taasisi hizi ila kwa bahati mbaya hatukubahatika. Mimi mwenyewe hapa nilipo, nilitamani sana kuwa JW au Polisi lakini sikubahatika!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ndoto yangu kila siku ni kulitumikia taifa langu siku zote, ila sijawahi kubahatika pia.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna watu wamekuwekea vizuizi, au? Au unataka utumikeje? Si uko hai na unafanya kazi kila siku? Au unataka mpaka uwe Waziri ndiyo uridhike kuwa unalitumikia Taifa? As long as uko mzima na unafanya kazi kila siku, hukai vijiweni kupiga soga wakati wa saa za kazi, be comfortable, kwa jinsi hiyo hiyo unavyofanya kazi kila siku, unalitumikia Taifa!
 
H
Mkuu tunateseka utadhani nchi ilikua vitani imeshindwa Vita na inaongozwa na jeshi la adui.Tuoneeni huruma jamani.
Hao watu unaowasifu next to God hawaoni haya mateso?
Kwa Nini wanaingiliaga matakwa ya wananchi?
Hivi hii komenti yangu tu tayari Ni kero kwa baadhi ya Watu.
Vita ya silaha hatuna, ya uchumi tunayo, tena kubwa sana. Ukishagawa (maana si kuuza tu) kila kitu kwa kisingizio cha ubinafsishaji, ili uweze kurudisha mali zako inabidi upigane vita kubwa. Na wanajeshi wa majeshi utakayokuwa unapigana nayo, wengine watakuwa ni raia wako, waliomo ndani ya Nchi yako. Mifano mizuri nadhani unayo. Kumbuka kuwa mpaka muda huu, tuna kila kitu ardhini, lakini hatuna kila kitu majumbani mwetu. Ni bora mara mia maisha yawe magumu sasa kwa kipindi cheetu sisi, halafu huko mbele yaje yabadilike milele kwa kuanzia kwa watoto na wajukuu,. Uwezo wa Nchi yetu kufanya mabadiliko hayo upo, na ndiyo maana tunaonekana kuwa na vita kubwa sana katika kutekeleza haya
 
nimekuomba huo uzi wa Pasco aliomtabiria JF uweke hapa hapa km ni JF au yeye mwenyewe tusimsemee
utakuwa na ushabiki na Pasco lkn yeye alikuwa kwa Lowassa kwa mwaka huo wa 2015
Swali kwa Pasco wa JamiiForums na wapambe wenzake kuhusu mtu wao anayetaka kwenda Magogoni
Mpe kopi ya ujumbe wako Pasco halafu atakupatia. Mimi nilijaribu kuu-search sijaupata. Just PM Pasci and he will immediately setttle your need. HIki ni kitu kidogo sana wala huhitaji kushuku kuwa unadanganywa, kuonyeshwa thread tu?
 
Mkuu Makanyaga kwa vile sio ligi, JF ni mambo mengi tunahabarishana na kuelimishana licha ya kupasha Habari huyo Pasco anaingia humu atakujibu wewe, mm ni shabiki wa Pasco sana tu
mimi najua na naamini sio yeye shabiki wa JPM kabla ya huo uchaguzi labda kwa sasa atabiri upya
labda wewe akuwekee hizo post zake
turudi kwenye Mada yetu IGP ndiye TOP
 
Mi5 - Military Intelligence Section 5 . Kwa sasa wanaitwa Security Service

Mi6 - Military Intelligence Section 6 . Kwa sasaa wanaitwa Secret Intelligence Service(SIS)

Hizo taasisi mbili zina " Military" hapo kwasababu zilianzishwa World War 1 ambapo taasisi zote za ulinzi na usalama zilikuwa chini ya jeshi. Ila kwa sasa hizo taasisi ni za kiraia
 
Jifunze kutafuta maarifa mkuu,kila kitu kipo kiganjani mwako.Hivi vyote vimetengenezwa na mwanadamu kutovijua au kuvijua ni maamuzi yako tu.
upo sahihi Mkuu hili Dudu ni kubwa na limetapakaa kote, na Ulinzi wa Viongozi ni kitengo ambacho kinabadilishwa pindi inapobidi, au kujengwa imara kikiwa na JW, TISS na POLISI kuna mahali nilisema Walinzi wa JPM sio TISS peke yao kuna inner circle JWTZ nikaambiwa na wajuzi hiyo ni chai ya rangi,
kweli humu kuna watu wanajifanya kuijua TISS kuliko ukoo wao
1583906232924.png

Ulinzi wa Rais Magufuli ni wa hali ya juu
Askari walio na silaha kali na walio tayari, askari walio na sare za Jeshi na Polisi na askari wasiovaa sare, ndio waliopamba msafara wa Rais na kuufanya ulinzi wake kuonekana si wa kawaida.
Mbali na silaha askari hao pia waliovaa vizibao vyeusi na kuonekana tofauti na ilivyo kawaida huku wakiwa wameshika silaha tayari kwa chochote kile kinachoweza kutokea.
Askari warefu weusi wenye silaha nzito, waliovalia mavazi Maalumu walionekana kuwa makini na tayari kwa hali yoyote.
1583906024742.png

Picha ya Siku: Ulinzi wa Raisi Magufuli unatisha.
 
upo sahihi Mkuu hili Dudu ni kubwa na limetapakaa kote, na Ulinzi wa Viongozi ni kitengo ambacho kinabadilishwa pindi inapobidi, au kujengwa imara kikiwa na JW, TISS na POLISI kuna mahali nilisema Walinzi wa JPM sio TISS peke yao kuna inner circle JWTZ nikaambiwa na wajuzi hiyo ni chai ya rangi,
kweli humu kuna watu wanajifanya kuijua TISS kuliko ukoo wao

View attachment 1383884
Ulinzi wa Rais Magufuli ni wa hali ya juu

View attachment 1383883
Picha ya Siku: Ulinzi wa Raisi Magufuli unatisha.
Mkuu hao wote ni TISS hakuna JWTZ hapo.. zaidi ni polisi ambao pia ni watumishi wa IDARA

Sent using Jamii Forums mobile app
 
upo sahihi Mkuu hili Dudu ni kubwa na limetapakaa kote, na Ulinzi wa Viongozi ni kitengo ambacho kinabadilishwa pindi inapobidi, au kujengwa imara kikiwa na JW, TISS na POLISI kuna mahali nilisema Walinzi wa JPM sio TISS peke yao kuna inner circle JWTZ nikaambiwa na wajuzi hiyo ni chai ya rangi,
kweli humu kuna watu wanajifanya kuijua TISS kuliko ukoo wao

View attachment 1383884
Ulinzi wa Rais Magufuli ni wa hali ya juu

View attachment 1383883
Picha ya Siku: Ulinzi wa Raisi Magufuli unatisha.
Hizo combat zisikuchanganye naomba niishie hapa kwa sasa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom