Inategemea kua hio shida ni of what nature.... Kuna ile kama inahusiana na chakula ndani, anaona tu aibu kusema nenda angalau kwa wazazi kaombe unga kidogo tumekwama... anaona bora akwambie kua "fanya maarifa"..... Kawaida ya mwanamke ambae ni mwerevu (walau that is what I think) ni kutambua kua sio kila siku mume wake ataweza provide - na kwamba hata kama anaweza inaweza tokea in rare cases akakwama. Daima kulinda heshima ndani ya ndoa yenu inatakiwa kua na akili ya ziada mkichwa na maarifa pia....
Hivo basi daima hata kama woote wanafanya kazi na woote wana provide, ni lazima aweke akiba pembeni popote pale ndani ya nyumba ambayo inakua ni kinga ya kutatua tatizo pale ambapo litajitokeza na woote wasiwe na pesa (yaani mume na yeye mwenyewe mke); Hio akiba sio wanaume woote hujua kua inakuwepo.... Inapotokea kua kuna siku mlikwama kabisa mara nyingi akina mama huchukua hio akiba kuokoa jahazi kwa kumshirikisha mumeo na kumwambia "mume wangu nimeazima kwenye kikundi chetu kile cha upaku" sababu ya kusema hivi sio kwamba humuamini mumeo.... No! Ila tu ni ile haitakiwi hajenge kichwani mwake kuna akiba ndani for next time akikwama he wont try harder..... Hivo baas mara nyingi wanaume husema hivo sababu wanakua weshawahi pita in jams na mke aliokoa jahazi.... Siamini kua hua wanasema hivo kwa maana kwamba nenda kwa mpango wa kando ukatafute pesa.
Kwa kweli n=nimepata darsa hapo kwenye hiyo posti ya da AshaDii na sasa nimeanza utaratibu wa kujifunza kuwek akiba mwenzangu, wanaume hawa, siku ukiambiwa fanya maarifa usijeenda kukopa kwa mpemba utaanguka naye!hilo nalo neno,vp Zinduna kwenye kibubu umefikisha Tshs ngapi au we unamalizia saloon na sare za kitchen party
Huku kwetu waume ndio waendao markiti, sie twajua kupika tu basi kwa hiyo kauli hiyo ya kufanya maarifa labda nikiolewa huko Bara, lakini huku kwetu Wanaume ndio wafanyao maarifaukiwa unaenda gengeni uwe unajitahidi kumtabasamia muuza genge ukikwama anakupa bure na nyongeza,au we ni wa supermarket kila kitu
Kutoka kinywani mwa mwanaJF itakuwa ni segment ambayo nimeianzisha itakayokuwa ikikumbusha maoni au majibu ya post mbalimbali zilizowahi kuwekwa hapa na kuwafikirisha watu.
Huku kwetu waume ndio waendao markiti, sie twajua kupika tu basi kwa hiyo kauli hiyo ya kufanya maarifa labda nikiolewa huko Bara, lakini huku kwetu Wanaume ndio wafanyao maarifa
Yalisemwa haya,pole yenu aisee kwa hiyo kitu kinachoitwa ganji hamkijui kabisa,ndo maana mko laini laini mkiachwa mnakimbilia kuolewa tena coz hamjajizoesha kutafuta na kutumia maarifa,duh hebu ngoja nikutafutie wa bara fasta.
Yalisemwa haya,
Mwanamke atazaa kwa uchungu na mwanaume atakula kwa jasho, sasa nimzalie kisha ni msaidie kula kw ajasho, hiyo ni kazi yake bibi wewe (Just Kidding)
Mila na desturi za ZNZ we ziache kama zilivyo
Ukisubiri ulishwe kwa jasho utasubiri sana..Mithal 31 Inasema mwanamke mwenye hekima huwalisha wa nyumbani kwake..
tuachane na hayo zenji hawajambo
Hayo maandishi yanajichanganya kwanza.
Hawajambo leo jioni natua Dar, kwa maandalizi ya White Party kesho, nitafikia Msasani Peninsula
PakaJimmy huo ni mwanzo tu, mpaka sasa nimeshakusanya nukuu za kina Faiza foxy, Chauro, Mrembo by Nature, cheusimangala, @Blakberry, The Finest, Kabakabana, @ETM na wengineoShida yenu( Zinduna et al ) mmekuwa monotonous mno.
Mtu kama AshaDii almost kila siku ataongea neno ambalo watu watalifurahia hapa.
Sioni sababu ya kuendelea kupaste tena kauli zake, maana zilishajipambanua tokea dahari... Tuwekeeni undergrounds na wengine ambao ni wakongwe, lakini hawapo majamvini kwa sasa.
Thats my view.
Zinduna thanks kwa acknowledgement!!kumbe kuna kauli kutoka kwangu ilishakugusa..........naisubiri nijue ni ipi hiyo.....PakaJimmy huo ni mwanzo tu, mpaka sasa nimeshakusanya nukuu za kina Faiza foxy, Chauro, Mrembo by Nature, cheusimangala, @Blakberry, The Finest, Kabakabana, @ETM na wengineo
ubunifu mzuri hongera