Kazi kwelikweli, kwahio unadhani tunaweza tegemea mgombea urais atoke nje ya CDM? Haya bwana ila wazalendo hawafi moyo na kusambaza uzalendo
Ukawa ni chadema,unategemea mgombea atoke CUF?
vip AYATWALAAH zana za kilimo anaetaka kuungana na ukawa? wakat anasema wao wana uelekeo ya ujamaa? why asiungane na ccm wote wna sera za kijamaa wakat UKAWA wote wana sera za kibepari?
Ndugu ukawa hakuwa Jana NCCR wametoa kauli ya kuomba kijiondoa kwenye ukawa, Cuf wakaleta vigezo kuwa chama kitakacho pata majimbo Mengi kisitoe mgombea urais wala waziri mkuu, kigezo hiki kinalenga kuizuia Chadema ambayo ndiyo
Mkuu sina sababu ya kupiga kampeni za Udini ni mfano niliutumia tu kukufahamisha wewe mwenye Udini pengine itakuingia vizuri maana ulikuwa na sababu zako za kumwita Zitto Ayatola.
hivyo mngetumia akili japo kidogo tu .
Kwa hiyo lengo la UKAWA kusema UZANZIBAR, UTANGANYIKA na UTANZANIA wana maana gani maana nilichosema mnakikataa sasa wewe nambie mlikuwa na maana gani?
Maswala ya mimi kumpenda Zitto hadi nikalale naye unayaona mazuri sana na matamu, wengine wasiseme lolote juu yako wewe. Alaa unapofungua milango anaruhusu mambo haya na wala mimi siandiki kitu kama hujaelekea kuacha hoja unanifuata mimi. Hakuna hoja yako hata moja umezingatia Hoja iliyopo isipokuwa Mkandara na Zittto mbona miye sisemei Freeland na Slaa au Mbowe!Unajua wewe umekuwa unaongea tuuu bila kujielewa unasema nini....Siasa za Zito umeziiingiza hapa wewe...alafu leo unauliza umeyasema wapi hayo....nikakushauri kama unampenda sana huyo jamaa nenda ukalale nae
Eti "mngetumia akili japo kidogo tu"....man who are you? who are you? kujiona wewe ndie una akili kuliko watu wote? do u think kwa dharau zako hizi za kipuuuzi ni kitu kipi cha ziada unachoweza kusema watu wakakuelewa.
Wewe kwa calliber yako you belong to that class.....And wewe ni mtu wa kubishaaa tu
Nimekuuliza swali...hujajibu...Umekomaa tuna tuna,nimekuuliza UKAWA wametoa kauli yoyote formal ya hayo mambo? au ni thread ya yericko ndio wewe umejumuisha kila kitu.
yaani kitanuka tu,subirini
Maswala ya mimi kumpenda Zitto hadi nikalale naye unayaona mazuri sana na matamu, wengine wasiseme lolote juu yako wewe. Alaa unapofungua milango anaruhusu mambo haya na wala mimi siandiki kitu kama hujaelekea kuacha hoja unanifuata mimi. Hakuna hoja yako hata moja umezingatia Hoja iliyopo isipokuwa Mkandara na Zittto mbona miye sisemei Freeland na Slaa au Mbowe!
Bila shaka nilichoandika ndicho nilichokisoma ni hoja yangu kwamba mngetumia akili japo kidogo msingeendeleza hizi siasa za Utengano ambazo sisi wengine zimetutoa Chadema na UKAWA sitoiunga mkono hata kwa nini na nipo hapa kuipiga vita. Naamini na nitaendelea kuamini Chadema niloijua mimi baada ya 2010 ingeweza kabisa kuchukua majimbo mengi kuliko UKAWA na ingeweza kuwa chama pinzani kuua vyama vyote vingnevyo kama chama kingekubali mabadiliko ( Changes) kutenganisha Uongozi wa chama na Serikali na kutumikia sheria na kanuni walozweka ili kuonyesha mfano bora.
Udini umewaingia kiasi kwamba mmesahau kuwa Chadema haikuanza hivi mnakuwa kama CUF ya kabla ya uchaguzi wa 2010 mnajitangaza na Ukristu wenu sana halafu mkiambiwa mnakataa, sisi wengine sio mazuzu kiasi hicho. Siasa za separation athari zake ndio hizi na inawabidi muwe tayari kuzipokea..
mtu mzima ujinga umekujaaMaswala ya mimi kumpenda Zitto hadi nikalale naye unayaona mazuri sana na matamu, wengine wasiseme lolote juu yako wewe. Alaa unapofungua milango anaruhusu mambo haya na wala mimi siandiki kitu kama hujaelekea kuacha hoja unanifuata mimi. Hakuna hoja yako hata moja umezingatia Hoja iliyopo isipokuwa Mkandara na Zittto mbona miye sisemei Freeland na Slaa au Mbowe!
Bila shaka nilichoandika ndicho nilichokisoma ni hoja yangu kwamba mngetumia akili japo kidogo msingeendeleza hizi siasa za Utengano ambazo sisi wengine zimetutoa Chadema na UKAWA sitoiunga mkono hata kwa nini na nipo hapa kuipiga vita. Naamini na nitaendelea kuamini Chadema niloijua mimi baada ya 2010 ingeweza kabisa kuchukua majimbo mengi kuliko UKAWA na ingeweza kuwa chama pinzani kuua vyama vyote vingnevyo kama chama kingekubali mabadiliko ( Changes) kutenganisha Uongozi wa chama na Serikali na kutumikia sheria na kanuni walozweka ili kuonyesha mfano bora.
Udini umewaingia kiasi kwamba mmesahau kuwa Chadema haikuanza hivi mnakuwa kama CUF ya kabla ya uchaguzi wa 2010 mnajitangaza na Ukristu wenu sana halafu mkiambiwa mnakataa, sisi wengine sio mazuzu kiasi hicho. Siasa za separation athari zake ndio hizi na inawabidi muwe tayari kuzipokea..
Ficha ujinga wako Mbatia hana chembe ya damu chama cha majizi.Mbatia ni CCM damu damu mpaka Ubunge kazawadiwa na CCM. Hawezi kukubali ujuha wa Ukawa
Kuna mahala nimesema hayo uloandika? vipi mkuu mbona mzushi kiasi hiki. Nilichosema hiyo slogan ya UZANZIBAR, UTANGANYIKA na UTANZANIA ndio hasa lengo la UKAWA na nimeshukuru na kuelezea maana yake. sasa tena mnataka kuikataa wakati nazijua zsiasa zenu zimekaa kujenga uadui na makundi - huku wanasema SEPARATION rather tha INTEGRATION..na hizi ni hatari sana katika kujenga UMOJA wa aina yoyote. Chadema niloijua mimi haikuwa na mtazamo huu hata kidogo, na pengine mimi ndio sikutazama kwa undani zaidi..
Ya Udini umeyaanzisha wewe nami nimekujibu kwamba nilichoandika mimi ni mfano tu kwa sababu nakujua wewe mdini haijalishi uko Institution gani..huwezi kumwita mtu Ayatola hukutanguliwa na sababu za kiimani..Kuna mahala mtu kamwita Mbowe jina lolote linalokwenda na imani yake tena kwa ubaya?
yaani kitanuka tu,subirini
CUF ni walibelari....siasa zao ni mrengo wa kati....CDM ni mrengo wa kati kulia (Mabepari wenye msimamo usio Mkali) ACT-wazalendo ni demokrasia wajamaa na siasa zao ni mrengo wa kati kushoto.....CCM wao ni wajamaa hasa wa mrengo wa kushoto kinadharia ( mioyoni mwao ni mabepari kabisa mrengo wa kulia kabisa). Itikadi ya NCCR na NLD sizifahamu. Nawauliza mashabiki wa vyama wanapenda vyama vyao kwa misingi ipi? Itikadi au watu?