Hivi umejisoma vizuri mkuu wangu. Kama tume imerasimisha utengano ulokuwepo utasemaje tume hiyo imeunda serikali 3 za Muungano wa kweli na sio Utengano wa kweli? Mimi nawashangaa sana mnapotumia ati S3 ni kuudumisha muungano ilihali mnajua mnachokifanya ni kutenganisha kile mnachoamini kimesha kuwa na Utengano basi bora Tutengane. Na ndivyo navyowasoma miye siku zote..Mkandara utengano umekuwapo siku zote na umeendelea kuwa mkubwa baada ya Mwalimu kufariki. Mapendekezo ya iliyokuwa tume ya kabadiliko ya katiba yalikuwa kurasimisha utangano huo. Muungano wa kweli utapatikana ktk serikali tatu na si vinyinevyo kwa mujibu wa maoni ya wananchi.
Ukawa utasimamia serikali tatu na yeyote atakayetaka kujiunga awe tayari kukubaliana na hilo.
haya ngoja tuone kama wale jamaa kama wanaelewa dhana nzima ya KUJIKANA!!Hivyo kikundi chochote kinachotaka kujiunga na Ukawa ni lazima kikubali kujikana na kuyabeba malengo ya wanaukawa. Sio UKAWA ufuate matakwa ya kikundi hicho.
.
Ukawa ni chadema,unategemea mgombea atoke CUF?
Wakwetu umezipata wapi mpaka usisitize hivyo!
Hivi umejisoma vizuri mkuu wangu. Kama tume imerasimisha utengano ulokuwepo utasemaje tume hiyo imeunda serikali 3 za Muungano wa kweli na sio Utengano wa kweli? Mimi nawashangaa sana mnapotumia ati S3 ni kuudumisha muungano ilihali mnajua mnachokifanya ni kutenganisha kile mnachoamini kimesha kuwa na Utengano basi bora Tutengane. Na ndivyo navyowasoma miye siku zote..
Kwa nini UKAWA msiwe wakweli muwaambie wananchi tunagenganisha - Zanzibar Kivyao na Tanganyika Kivyao halafu tuone kama wananchi watakuwa nanyi katika mbiu hiyo badala ya kutumia lugha za ulaghai..Semeni wazi tunataka UTENGANO maana upo siku zote tunarasimisha hakuna sababu ya kukataa kilichokuwepo.
Okay tangazeni basi rasmi mnataka kuuvunja kwa nini mnajificha nyuma ya pazia na kudai mnataka kuudumisha! Ile Chadema nilikuwa nikii support haipo tena kwa nini mnataka wauzia Wadanganyika mbuzi kwenye gunia?Wananchi wa Kawaida hawajui faida za Muungano.Kwa kweli hata ukivunjika leo ni sawa tu.
Ndugu ukawa hakuwa Jana NCCR wametoa kauli ya kuomba kijiondoa kwenye ukawa, Cuf wakaleta vigezo kuwa chama kitakacho pata majimbo Mengi kisitoe mgombea urais wala waziri mkuu, kigezo hiki kinalenga kuizuia Chadema ambayo ndiyo
Ile Chadema nilikuwa nikii support haipo tena kwa nini mnataka wauzia Wadanganyika mbuzi kwenye gunia?
Wakwetu umezipata wapi mpaka usisitize hivyo!
Ukawa ni chadema,unategemea mgombea atoke CUF?
Okay tangazeni basi rasmi mnataka kuuvunja kwa nini mnajificha nyuma ya pazia na kudai mnataka kuudumisha! Ile Chadema nilikuwa nikii support haipo tena kwa nini mnataka wauzia Wadanganyika mbuzi kwenye gunia?
Kuna mahala nimesema hayo uloandika? vipi mkuu mbona mzushi kiasi hiki. Nilichosema hiyo slogan ya UZANZIBAR, UTANGANYIKA na UTANZANIA ndio hasa lengo la UKAWA na nimeshukuru na kuelezea maana yake. sasa tena mnataka kuikataa wakati nazijua zsiasa zenu zimekaa kujenga uadui na makundi - huku wanasema SEPARATION rather tha INTEGRATION..na hizi ni hatari sana katika kujenga UMOJA wa aina yoyote. Chadema niloijua mimi haikuwa na mtazamo huu hata kidogo, na pengine mimi ndio sikutazama kwa undani zaidi..Mkandara unajua hata kama una mahaba kiasi gani...jaribu kuangalia mahaba hayo unayaweka wapi....kama unampenda sana zito kiasi cha hata kukuweka ndani ...tafaadhali usidhani wote tuko hivyo...wengine sisi ni wafuasi wa misingi ya kitaasisi....hapa mjadala haukuwa U ayatola wa Zito......mjadala hapa ni kanusho la kuwa UKAWA kadri ya mtazamo wa Yericko kwamba eti wameshindwa kukubaliana na kuna wengine wanataka kujitoa.
Umesema Lugha tunayotumia hapa.... kina nani? je hao watu ndio UKAWA wenyewe? UKAWA wana njia zao za kutoa matamko....sasa wewe unapoleta ubishiiiii tuuuu...for the sake of Kubisha....U show how best you belong to that class
Ndugu ukawa hakuwa Jana NCCR wametoa kauli ya kuomba kijiondoa kwenye ukawa, Cuf wakaleta vigezo kuwa chama kitakacho pata majimbo Mengi kisitoe mgombea urais wala waziri mkuu, kigezo hiki kinalenga kuizuia Chadema ambayo ndiyo iliyopata majimbo Mengi, je unafikiri Chadema watakubali? Ndugu hizi habari ni za kweli wala hazina shaka, utakuja niambia baadae, vile vile kuna maombi ya ACT ambapo Chadema hawakitaki chama hicho, huku cuf, NCCR na NLD wakiridhia ACT kujiunga UKAWA.
Kwa hiyo lengo la UKAWA kusema UZANZIBAR, UTANGANYIKA na UTANZANIA wana maana gani maana nilichosema mnakikataa sasa wewe nambie mlikuwa na maana gani?Tangaza wewe.Usiwawekee UKAWA maneno mdomoni.Mimi nilichokwambia ni kwamba Watanzania wengi hawaoni faida ya Muungano na hata ukivunjika leo watasherehekea.Zanzibar wanalia kudhalilishwa na Bara wakati Bara nako wanaona wananyonywa na mrundikano wa wazenzi Tanganyika.