Kutoka Kikao cha UKAWA

Kazi kwelikweli, kwahio unadhani tunaweza tegemea mgombea urais atoke nje ya CDM? Haya bwana ila wazalendo hawafi moyo na kusambaza uzalendo

uzalendo wenyewe ni pamoja na kumuomba FISADI Lowasa ajiunge na chama chenu.
 
Reactions: BAK

wataficha wapi sura zao? poor ccm!!
 
Kazi kwelikweli, kwahio unadhani tunaweza tegemea mgombea urais atoke nje ya CDM? Haya bwana ila wazalendo hawafi moyo na kusambaza uzalendo

Kwani CHADEMA sio sehemu ya UKAWA ?
Kuna shida gani kama Mgombe akitokea huko ?
Mwaka huu hata Waume zenu wakiwapa Mimba bado Mtasema ni CHADEMA ndio imewapa Mimba
 
Nashukuru sana kwa kutupa taarifa hii na nafurahi sana kwa Ufafanuo wako wa Slogan ya UKAWA kuwa ni UZANZIBAR, UTANGANYIKA na UTANZANIA, Kesho itakuwa Uislaam, Ukristu na Utanzania kwani kila utengano huanza na cheche...

Mkuu Mkandara

Udini utakuua Mkuu wangu.
Wewe kila kitu utataka kuki convert katika Mrengo wa udini.
Hata sijui huko Ughaibuni,France unaishi vp kwa Upofu kama uliokuwa nao
 
Last edited by a moderator:
CCM na ACT wameharisha sana leo asubuhi. Bora umewajibu. CCM wamekaa wanasubiri mkono udondoke wale. kwa kuwa vya kuchinja hawaviwezi. Na hiyo ndo tabia ya fisi

Mkuu Mkandara

Udini utakuua Mkuu wangu.
Wewe kila kitu utataka kuki convert katika Mrengo wa udini.
Hata sijui huko Ughaibuni,France unaishi vp kwa Upofu kama uliokuwa nao
Kwa sababu nawajua nyie mna Udini na ndio maana najua mtakako elekea kesho kwani kuna kilichojificha hapa. Tumewasoma katika Mahakama ya kadhi, serikali 3 toka lile kundi zima la G55 mnafahamika hamkuyaanza leo.
 
Siku za mwanzo nilidhani una undugu na Mwalimu Nyerere (hivyo utasema ukweli daima bila woga), Lakini sasa hivi nikfungua post yako huwa ni kama napitia katuni za sani
kwa mwandishi wa mtanzania anaonekana kukosa maadili ya uandishi,anaandika habari zisizo na utafiti hii ni aina hatari sana ya waandishi kama hawa katika jamii ,jamii haijifunzi lolote kwake anatakiwa atulie ajifunze zaidi mbinu za uandishi wenye ueledi sio kwa manufaa yake tu hata kwa taifa kwa jumla
 
Nashukuru sana kwa kutupa taarifa hii na nafurahi sana kwa Ufafanuo wako wa Slogan ya UKAWA kuwa ni UZANZIBAR, UTANGANYIKA na UTANZANIA, Kesho itakuwa Uislaam, Ukristu na Utanzania kwani kila utengano huanza na cheche...
Mkandara utengano umekuwapo siku zote na umeendelea kuwa mkubwa baada ya Mwalimu kufariki. Mapendekezo ya iliyokuwa tume ya kabadiliko ya katiba yalikuwa kurasimisha utangano huo. Muungano wa kweli utapatikana ktk serikali tatu na si vinyinevyo kwa mujibu wa maoni ya wananchi.

Ukawa utasimamia serikali tatu na yeyote atakayetaka kujiunga awe tayari kukubaliana na hilo.
 
Hili neno UKAWA! UKAWA linatunyima sana usingizi sisi jaamani!
Tumeileta ACT-Wasaliti lakini bado mijitu mipuuzi inabaki kusema UKAWA! UKAWA! Sijui tumununue nani saizi ili kuzima kabisa hiyo UKAWA! UKAWA! kwa kweli mnakera sana!
 
Pongezi UKAWA, pongezi mkuu YERIKO NYERERE kwa kutupatia habari correctly & timely. Baraka za Mungu ziwe nanyi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…