Wengi wanaamini Lipumba ana uwezo,lakini chadema hawezzi ruhusu hiyo.
Mtasubiri sana nyie mapakashume ya lumumba
Yericko Nyerere ni muongo, hata akisema saa hizi nje kuna mvua ingawa nnaisikia lakini mpaka nikatazame.
Anajidai kuandika kama vile yumo ndani ya hicho kikao. Na misukule inashangilia.
UKAWA imefanya waweweseke kupita kiasi. Badala ya kujenga hoja na mikakati ya kuelekea uchaguzi ujao wako busy usiku na mchana kufanya mikakati ya kuisambaratisha CHADEMA na UKAWA. Hili linaonyesha jinsi walivyo mufilisi katika kujenga hoja zenye nguvu na mashiko.
Yericko Nyerere ni muongo, hata akisema saa hizi nje kuna mvua ingawa nnaisikia lakini mpaka nikatazame.
Anajidai kuandika kama vile yumo ndani ya hicho kikao. Na misukule inashangilia.
Wewe unataka ukweli upi zaidi?
Tuambie wewe basi nini kinacho endelea , ilitukuone wewe mkweli?
Wewe hujaona mgongano wa taarifa!
Yericko Nyerere ni muongo, hata akisema saa hizi nje kuna mvua ingawa nnaisikia lakini mpaka nikatazame.
Anajidai kuandika kama vile yumo ndani ya hicho kikao. Na misukule inashangilia.
Sio muongo tu, ni tapeli pia, ametapeli laki mbili toka mwaka jana mpaka leo bado anadaiwa
Yericko hata kwenye vikao vya Chadema haruhusiwi kuingia sababu kuu ni UMBEA,UNAFIKI, UONGO NA UZANDIKI
Mkuu sina sababu ya kupiga kampeni za Udini ni mfano niliutumia tu kukufahamisha wewe mwenye Udini pengine itakuingia vizuri maana ulikuwa na sababu zako za kumwita Zitto Ayatola.Ukweli ni huo alioweka Yeriko ,hapa wamekuja Lumumba Buku 7 kina Mkandara wameanza kupiga kampeni zao za udini....they are better in nothing than that