Kutoka Kigoma kaskazini

Kutoka Kigoma kaskazini

Chadema msijidanganye mmepoteza mtu muhimu kuliko mnavyodhania.wacheni ubaguzi mnauwa chama kwamtindo huo wananchi tunaondoka imani na nyinyi afadhali ya ccm kwa mtindo huo

Mmhh mkuu ckubaliani na wewe Lisu kuwa afadhari kwa Lukuvi??
 
Baada ya kustukia Njama za Kumuua na kuomba Ulinzi,
Baada ya kustukia Njama za kutafuna Ruzuku na kuomba Ukaguzi,
Baada ya kustukia njama za kumchafua kwenye Mtandao na kuomba Ufafanuzi kwa Katibu Mkuu,
Baada ya kuanza kujipanga kwa Uchaguzi Mkuu wa Chama ili afichue kipengele kilichong'olewa cha ukomo wa Uongozi,
Baada ya kustukia njama za kutaka kumfanyia Fujo ndani ya Mkutano Wa Baraza kuu na kuamua Kuingia na Walinzi binafsi wanne
hatimae Chadema Tawi la Freeman Mbowe limeamua kumfukuza na kumvua Nyadhifa zote Zitto Zubeir Kabwe

Umenena vyema.
 
Kati ya mwaka 2005 na 2010 kipindi gani alipata kura nyingi zaidi

Ningelichukua swali lako kwa uzito kama ungeuliza alipata asilimia ngapi ya kura zilizopigwa!
Sasa unaulizia uwingi tu wa kura??? Then what??? Hiyo sio analysis ya data mkuu haitoi picha yoyote, sorry lakini!
 
CDM tushafulia sasa, inauma
 
tatizo la siasa za kibongo uksimamia katika ukweli wanakuona msaliti ndo kilichompata huyu jamaa.kauliza mapato na matumizi ya pesa za ruzuku bana wewe dah ........
 
wapiga kura wa ZZK tunamshukuru Mungu kwa yote yaliyotokea kwa Mbunge wetu na haya yote tunasema yamekuja kwa wakati kwan huyu jamaa ana ndimi nyingi zinazomfanya kutoaminika mbele ya jamii.Jamaa ana mchango mdogo mdogo sana ktk chama na ndio maana jimbo lake mpaka leo lina diwan mmoja tu wa CDM.kwa majanga anayoyafanya mtu huyu cc tunakaribisha uchaguzi mpya na kamwe z hatumtaki kwanza ameshamuachia Mr Piter serukamba jimbo na ameshaanza kujinadi.NB:Ungewajari wapiga kura wako hakika leo hii tungekupokea kama Mfalme ila kwa kuwa ulijifanya mbunge wa Taifa, basi Taifa likupokee(RIP ZZK)
Bye bye Zitto chadema and BYE BYE chadema KIGOMA. hiyo ndo habari ya mujini sasa hivi na sio hizo propaganda zako unazoandika kutoka arusha/kilimanjaro.
labda kama wewe ni sikio la kufa na huwezi hata kujifunza kutoka kwa sisimizi KAFULILA na tembo slaa!
 
wapiga kura wa zzk tunamshukuru mungu kwa yote yaliyotokea kwa mbunge wetu na haya yote tunasema yamekuja kwa wakati kwan huyu jamaa ana ndimi nyingi zinazomfanya kutoaminika mbele ya jamii.jamaa ana mchango mdogo mdogo sana ktk chama na ndio maana jimbo lake mpaka leo lina diwan mmoja tu wa cdm.kwa majanga anayoyafanya mtu huyu cc tunakaribisha uchaguzi mpya na kamwe z hatumtaki kwanza ameshamuachia mr piter serukamba jimbo na ameshaanza kujinadi.nb:ungewajari wapiga kura wako hakika leo hii tungekupokea kama mfalme ila kwa kuwa ulijifanya mbunge wa taifa, basi taifa likupokee(rip zzk)

sjawah kuchukia ila nmelazmika,hv ------ unatoka kgm ip,ukiacha kwenda,mama yako,ataenda tu,hv umebahatka kwenda shule?watu wa kgm nliosoma huwa co vlaza kama ww,zto amechakngia kuitangaza kgm
 
wapiga kura wa zzk tunamshukuru mungu kwa yote yaliyotokea kwa mbunge wetu na haya yote tunasema yamekuja kwa wakati kwan huyu jamaa ana ndimi nyingi zinazomfanya kutoaminika mbele ya jamii.jamaa ana mchango mdogo mdogo sana ktk chama na ndio maana jimbo lake mpaka leo lina diwan mmoja tu wa cdm.kwa majanga anayoyafanya mtu huyu cc tunakaribisha uchaguzi mpya na kamwe z hatumtaki kwanza ameshamuachia mr piter serukamba jimbo na ameshaanza kujinadi.nb:ungewajari wapiga kura wako hakika leo hii tungekupokea kama mfalme ila kwa kuwa ulijifanya mbunge wa taifa, basi taifa likupokee(rip zzk)

sjawah kuchukia ila nmelazmika,hv ------ unatoka kgm ip,ukiacha kwenda,mama yako,ataenda tu,hv umebahatka kwenda shule?watu wa kgm nliosoma huwa co vlaza kama ww,zto amechakngia kuitangaza kgm
 
wapiga kura wa ZZK tunamshukuru Mungu kwa yote yaliyotokea kwa Mbunge wetu na haya yote tunasema yamekuja kwa wakati kwan huyu jamaa ana ndimi nyingi zinazomfanya kutoaminika mbele ya jamii.Jamaa ana mchango mdogo mdogo sana ktk chama na ndio maana jimbo lake mpaka leo lina diwan mmoja tu wa CDM.kwa majanga anayoyafanya mtu huyu cc tunakaribisha uchaguzi mpya na kamwe z hatumtaki kwanza ameshamuachia Mr Piter serukamba jimbo na ameshaanza kujinadi.NB:Ungewajari wapiga kura wako hakika leo hii tungekupokea kama Mfalme ila kwa kuwa ulijifanya mbunge wa Taifa, basi Taifa likupokee(RIP ZZK)
wewe umetengenezwa kwa hizi posts zako 3 inadhihirisha wazi umetumwa na wala si wa kwetu kigoma.
 
Chadema msijidanganye mmepoteza mtu muhimu kuliko mnavyodhania.wacheni ubaguzi mnauwa chama kwamtindo huo wananchi tunaondoka imani na nyinyi afadhali ya ccm kwa mtindo huo

Nimeshasema kwenye thread moja kuwa siyo vizuri kipuuza mawazo kinzani. Kwa hali hii sioni mbadala wa magamba, kheli shetani unayemjua kuliko malaika usiyemjua
 
Zito ni nembo ya Kigoma kama Mao kuwa nembo ya China jipange CDM Imekurupuka kwa kumtimua.
 
2010 jumla ya kura zote zilizopigwa Tanzania nzima zilikuwa chache
 
inauma sana mnapokuwa kwenye mapambano ya aina moja harafu anaibuka msaliti.....kwa zamani lazima unyongwe...
 
Kwan zzk ni mungu mtu awezi kuguswa achen kufikil kwa kutumia ------ mlikuwepo ktk kikao
 
Zitto ni mnafiki sna tangu akiwa udsm,alikuwa msaliti sna.Hta kigoma alihijumu Ally Mlei asishinde kigoma mjini mwaka 2010 ili abaki peke yke km mb wa cdm. He is traitor tangu zamani.
 
Back
Top Bottom