Kutoka Kigoma kaskazini

Kutoka Kigoma kaskazini

Wewe unaishi Kigoma ya Arusha! Kwa taarifa yako Zitto kwa Kigoma ni shujaa! Anauhakika wa kuupata ubunge akigombea kwa chama chochote kile na kwa jimbo lolote lile!
Wewe endelea kuota ndoto za kujifariji tu! Subirini reactions za wapiga kura ndio mtautambua umuhimu wa Zitto ndani ya hicho chama cha waarusha na wachaga!
Mbona kweye uchaguzi wa mwisho alipata kura kiduchu, nakuzidiwa na kura za Dr Slaa wapiga kura wako macho.
 
Baada ya kustukia Njama za Kumuua na kuomba Ulinzi,Baada ya kustukia Njama za kutafuna Ruzuku na kuomba Ukaguzi, Baada ya kustukia njama za kumchafua kwenye Mtandao na kuomba Ufafanuzi kwa Katibu Mkuu,Baada ya kuanza kujipanga kwa Uchaguzi Mkuu wa Chama ili afichue kipengele kilichong'olewa cha ukomo wa Uongozi,Baada ya kustukia njama za kutaka kumfanyia Fujo ndani ya Mkutano Wa Baraza kuu na kuamua Kuingia na Walinzi binafsi wannehatimae Chadema Tawi la Freeman Mbowe limeamua kumfukuza na kumvua Nyadhifa zote Zitto Zubeir Kabwe
hakuna lolote,Zitto alikua kirusi kibaya sana ndani ya CDM.Sasa tunasubiri Wasira na Mwigulu wapandikize virusi vingine ndani ya CDM..
 
Chadema hawajapoteza mtu muhimu wala maarufu,imeondoa wasaliti wa Umma,haiwezekani kuishi na aina ya watu kama Zito halafu ukategemea kuwa salama.Zito ameshafukuzwa mwenye uchungu nae huu ndiyo wakati wake wa kumchukua.Bora tukose kura za wafuasi wake kuliko kuwa nae.
 
wapiga kura wa ZZK tunamshukuru Mungu kwa yote yaliyotokea kwa Mbunge wetu na haya yote tunasema yamekuja kwa wakati kwan huyu jamaa ana ndimi nyingi zinazomfanya kutoaminika mbele ya jamii.Jamaa ana mchango mdogo mdogo sana ktk chama na ndio maana jimbo lake mpaka leo lina diwan mmoja tu wa CDM.kwa majanga anayoyafanya mtu huyu cc tunakaribisha uchaguzi mpya na kamwe z hatumtaki kwanza ameshamuachia Mr Piter serukamba jimbo na ameshaanza kujinadi.NB:Ungewajari wapiga kura wako hakika leo hii tungekupokea kama Mfalme ila kwa kuwa ulijifanya mbunge wa Taifa, basi Taifa likupokee(RIP ZZK)

Bonge la ujumbe mzuri sana. Kama ogre, ukweli ni kwamba huyu bwana sikuwahi kumkubali hata siku moja pamoja na kuibua hoja nzito na za msingi kwa taifa, lakini bado ni kumuona kama mtu anayependa sifa binafsi na si kwa Chama chake. Tu rudi kwenye Jimbo, amefanya nini kwa wananchi wake zaidi ya kutafuta sifa kwenye majukwaa.... Huu ni upumbavu mkubwa sana na kwangu mimi I wish azikwe kabisa kabisa kisiasa na apotee. Haiingii akilini mtu ujione bora kuliko Chama chenyewe ambacho kimsingi kimekupa platform ku exercise hizo siasa zako binafsi na zi kizushi. Go to hell Zitto I will never regret for what is happening, will happen and etc..... Walikuja wengi sana hatunao tena, ilikuwaje ukose hekima kiasi hicho kuweza kujifunza toka kwa mifano hiyo? Mbaya zaidi ni kwamba mnajenga picha mbovu kwa vijana wanaotaka ku fanya siasa hasa kutoka mkoa huu..... Usaliti, viburi na unyan'au wa kisiasa. ------- zenu sana wasaliti na wanafiki wa kisiasa.... Mnapoteza matumaini ya wana Mapinduzi wa kweli walio na kiu ya kweli ya madirirko kwa tamaa zenu. Historia itakuhukumu mpaka mwisho wako, and am sure you will never survive kwenye siasa tena na tutakusahau kabisa... Ushauri wa bure: nenda shule soma Ph D ukafindishe uchumi ambao ndiyo eneo lako kitaaluna.
 
zito ni nembo ya kigoma kama mao kuwa nembo ya china jipange cdm imekurupuka kwa kumtimua.

nataman zzk arud kgm nami nkiwa nmerud kgm,zto kwa kgm n kama mandela na sa au george washington na amerika,wingereza na king henry,vatican na pope.. Zto,kwel daima,
 
Zito ni nembo ya Kigoma kama Mao kuwa nembo ya China jipange CDM Imekurupuka kwa kumtimua.

huijui Kigoma wewe, kule Mwandiga hawampendi Zitto. Ni virahisi Zitto kushinda jimbo la Kigoma mjini kuliko jimbo lake. Kigoma hawaitaki CCM na wana spirit ya mabadiliko. Wanafiki na mashetani wachache ndo wanatuaibisha. 'Ikinyangara kilasaze'
 
nataman zzk arud kgm nami nkiwa nmerud kgm,zto kwa kgm n kama mandela na sa au george washington na amerika,wingereza na king henry,vatican na pope.. Zto,kwel daima,

Kigoma mjini sawa ila siyo kule Mwandiga
 
Zitto jinsi anavyojipambanua kwa kutaka urais ndiyo huyu huyu aliyeshindwa hata kupata 50% vote kwenye jimbo lake?

[TD="class: xl64, colspan: 4"]KIGOMA[/TD]

[TD="class: xl64, width: 608, colspan: 4"]WILAYA YA KIGOMA[/TD]

[TD="class: xl64, width: 608, colspan: 4"]KIGOMA KASKAZINI[/TD]

[TD="class: xl64, width: 253"]Candidate[/TD]
[TD="class: xl65, width: 129"]Political Party[/TD]
[TD="class: xl66, width: 106"]Number of Votes[/TD]
[TD="class: xl66, width: 120"]Percentage Votes[/TD]

[TD="class: xl67, width: 253"] ZITTO KABWE ZUBERI [/TD]
[TD="class: xl68, width: 129"]CHADEMA[/TD]
[TD="class: xl69, width: 106"]23,366[/TD]
[TD="class: xl70, width: 120"]48.57[/TD]

[TD="class: xl67, width: 253"] LEMBO ROBINSON FULGENCE [/TD]
[TD="class: xl68, width: 129"]CCM[/TD]
[TD="class: xl69, width: 106"]18,352[/TD]
[TD="class: xl70, width: 120"]38.15[/TD]

[TD="class: xl67, width: 253"] OMARY MUSSA NKWARULO [/TD]
[TD="class: xl68, width: 129"]CUF[/TD]
[TD="class: xl69, width: 106"]4,839[/TD]
[TD="class: xl70, width: 120"]10.06[/TD]

[TD="class: xl67, width: 253"] CHONGERA HARUNA CHONGERA [/TD]
[TD="class: xl68, width: 129"]CHAUSTA[/TD]
[TD="class: xl70, width: 106"]264[/TD]
[TD="class: xl70, width: 120"]0.55[/TD]

[TD="class: xl67, width: 253"] MFAUME HAMISI MFAUME [/TD]
[TD="class: xl68, width: 129"]APPT - MAENDELEO[/TD]
[TD="class: xl70, width: 106"]108[/TD]
[TD="class: xl70, width: 120"]0.22[/TD]

[TD="class: xl67, width: 253"] AUGUSTINO PETER MBOLEGWA [/TD]
[TD="class: xl68, width: 129"]SAU[/TD]
[TD="class: xl70, width: 106"]88[/TD]
[TD="class: xl70, width: 120"]0.18[/TD]

[TD="class: xl67, width: 253"] GERMANI MAULIDI MLETE [/TD]
[TD="class: xl68, width: 129"]DP[/TD]
[TD="class: xl70, width: 106"]87[/TD]
[TD="class: xl70, width: 120"]0.18[/TD]

[TD="class: xl67, width: 253"] HAMISI FADHILI KISWAGA [/TD]
[TD="class: xl68, width: 129"]NRA[/TD]
[TD="class: xl70, width: 106"]47[/TD]
[TD="class: xl70, width: 120"]0.1[/TD]

[TD="class: xl67, width: 253"] MAUWA SHAURI KAMANA [/TD]
[TD="class: xl68, width: 129"]JAHAZI ASILIA[/TD]
[TD="class: xl70, width: 106"]19[/TD]
[TD="class: xl70, width: 120"]0.04[/TD]

[TD="class: xl67, width: 253"] TATU SAIDI HUSSEIN [/TD]
[TD="class: xl68, width: 129"]UMD[/TD]
[TD="class: xl70, width: 106"]8[/TD]
[TD="class: xl70, width: 120"]0.02[/TD]

[TD="class: xl67, width: 253"][/TD]
[TD="class: xl71, width: 129"][/TD]
[TD="class: xl71, width: 106"][/TD]
[TD="class: xl71, width: 120"][/TD]

[TD="class: xl72"]SPOILT VOTES[/TD]
[TD="class: xl71, width: 129"][/TD]
[TD="class: xl70, width: 106"]927[/TD]
[TD="class: xl70, width: 120"]1.93[/TD]

[TD="class: xl64, width: 253"]TOTALS[/TD]
[TD="class: xl71, width: 129"][/TD]
[TD="class: xl69, width: 106"]48,105[/TD]

Hebu aangalie hapa ya watu wanaokubalika

[TD="class: xl65, width: 608, colspan: 4"]MBEYA[/TD]

[TD="class: xl65, width: 608, colspan: 4"]JIJI LA MBEYA[/TD]

[TD="class: xl65, width: 608, colspan: 4"]MBEYA MJINI[/TD]

[TD="class: xl65, width: 253"]Candidate[/TD]
[TD="class: xl66, width: 129"]Political Party[/TD]
[TD="class: xl67, width: 106"]Number of Votes[/TD]
[TD="class: xl67, width: 120"]Percentage Votes[/TD]

[TD="class: xl68, width: 253"] MBILINYI OSMUND JOSEPH [/TD]
[TD="class: xl69, width: 129"]CHADEMA[/TD]
[TD="class: xl70, width: 106"]49,084[/TD]
[TD="class: xl71, width: 120"]63.2[/TD]

[TD="class: xl68, width: 253"] MPESYA BENSON MWAILUGULA [/TD]
[TD="class: xl69, width: 129"]CCM[/TD]
[TD="class: xl70, width: 106"]25,878[/TD]
[TD="class: xl71, width: 120"]33.32[/TD]

[TD="class: xl68, width: 253"] MWAIHOJO PRINCE GWAMAKA [/TD]
[TD="class: xl69, width: 129"]CUF[/TD]
[TD="class: xl71, width: 106"]671[/TD]
[TD="class: xl71, width: 120"]0.86[/TD]

[TD="class: xl68, width: 253"] AGGABO TWALONDAGA MWAKATOBE [/TD]
[TD="class: xl69, width: 129"]NCCR-MAGEUZI[/TD]
[TD="class: xl71, width: 106"]272[/TD]
[TD="class: xl71, width: 120"]0.35[/TD]

[TD="class: xl68, width: 253"] MWAKISOLE EMMY HUDSON [/TD]
[TD="class: xl69, width: 129"]UPDP[/TD]
[TD="class: xl71, width: 106"]162[/TD]
[TD="class: xl71, width: 120"]0.21[/TD]

[TD="class: xl68, width: 253"] ALIMU TOKOLOSI SUALI [/TD]
[TD="class: xl69, width: 129"]DP[/TD]
[TD="class: xl71, width: 106"]154[/TD]
[TD="class: xl71, width: 120"]0.2[/TD]

[TD="class: xl72, width: 253"] [/TD]
[TD="class: xl73, width: 129"] [/TD]
[TD="class: xl73, width: 106"] [/TD]
[TD="class: xl73, width: 120"] [/TD]

[TD="class: xl74"]SPOILT VOTES[/TD]
[TD="class: xl73, width: 129"] [/TD]
[TD="class: xl70, width: 106"]1,441[/TD]
[TD="class: xl71, width: 120"]1.86[/TD]

[TD="class: xl75, width: 253"]TOTALS[/TD]
[TD="class: xl73, width: 129"] [/TD]
[TD="class: xl70, width: 106"]77,662[/TD]
[TD="class: xl71, width: 120"]100[/TD]

[TD="class: xl72, width: 253"] [/TD]
[TD="class: xl73, width: 129"] [/TD]
[TD="class: xl73, width: 106"] [/TD]
[TD="class: xl73, width: 120"] [/TD]
[TABLE="class: arc90_altrows-Blue"]
[TR]
[TD="bgcolor: #B3D5E6, colspan: 4"]MWANZA
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="bgcolor: #B3D5E6, colspan: 4"]JIJI LA MWANZA[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="bgcolor: #B3D5E6, colspan: 4"]NYAMAGANA[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 30%, bgcolor: #B3D5E6"]Candidate[/TD]
[TD="width: 20%, bgcolor: #B3D5E6, align: center"]
Political Party
[/TD]
[TD="width: 20%, bgcolor: #B3D5E6, align: center"]
Number of Votes
[/TD]
[TD="width: 15%, bgcolor: #B3D5E6, align: center"]
Percentage Votes
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 30%"] WENJE DIBOGO EZEKIA [/TD]
[TD="width: 20%, align: center"]
CHADEMA
[/TD]
[TD="width: 20%, align: right"]38,171[/TD]
[TD="width: 15%, align: right"] 56.5[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 30%"] MASHA LAWRENCE KEGO [/TD]
[TD="width: 20%, align: center"]
CCM
[/TD]
[TD="width: 20%, align: right"]27,883[/TD]
[TD="width: 15%, align: right"] 41.27[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 30%"] [/TD]
[TD="width: 20%, align: center"] [/TD]
[TD="width: 5%, align: center"] [/TD]
[TD="width: 15%, align: center"] [/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 10%"]SPOILT VOTES[/TD]
[TD="width: 20%, align: center"] [/TD]
[TD="width: 20%, align: right"]1,506[/TD]
[TD="width: 15%, align: right"] 2.23 [/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 10%"]TOTALS[/TD]
[TD="width: 20%, align: center"] [/TD]
[TD="width: 20%, align: right"] 67,560[/TD]
[TD="width: 15%, align: right"] 100 [/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 30%"] [/TD]
[TD="width: 20%, align: center"] [/TD]
[TD="width: 5%, align: center"] [/TD]
[TD="width: 15%, align: center"] [/TD]
[/TR]
[/TABLE]
 
Wewe unaishi Kigoma ya Arusha! Kwa taarifa yako Zitto kwa Kigoma ni shujaa! Anauhakika wa kuupata ubunge akigombea kwa chama chochote kile na kwa jimbo lolote lile!
Wewe endelea kuota ndoto za kujifariji tu! Subirini reactions za wapiga kura ndio mtautambua umuhimu wa Zitto ndani ya hicho chama cha waarusha na wachaga!
unazungumzia kigoma hii au mtwara/lindi?
 
wapiga kura wa ZZK tunamshukuru Mungu kwa yote yaliyotokea kwa Mbunge wetu na haya yote tunasema yamekuja kwa wakati kwan huyu jamaa ana ndimi nyingi zinazomfanya kutoaminika mbele ya jamii.Jamaa ana mchango mdogo mdogo sana ktk chama na ndio maana jimbo lake mpaka leo lina diwan mmoja tu wa CDM.kwa majanga anayoyafanya mtu huyu cc tunakaribisha uchaguzi mpya na kamwe z hatumtaki kwanza ameshamuachia Mr Piter serukamba jimbo na ameshaanza kujinadi.NB:Ungewajari wapiga kura wako hakika leo hii tungekupokea kama Mfalme ila kwa kuwa ulijifanya mbunge wa Taifa, basi Taifa likupokee(RIP ZZK)

safi sana wana KIGOMA KASKAZINI Kigoma na CDM ni zaidi ya mnafiki zitto
 
Kigoma mjini siyo jimbo la Zitto, ni la Peter Serukamba. Zitto ni maarufu mjini hasa Ujiji, Buzebazeba, Gungu na siyo Mwandiga

jibu swali la msingi ni kwanini ZZK alishindwa kupata hata nusu ya kura jimboni kwake!
 
Mpango mzima ni kuwa ZZK anagombea Kigoma mjini 2015 kwa tiketi ya CCM na jimboni kwake anaenda Serukamba,mkakati ndio huo ,japo wa Kigoma wanasema NO.
 
Siasa haina permanent friend nor enemy!!!!!!!!!


Ila nyie mmezidi aisee,hiki chama msipoangalia ya Wassira yanaweza kutimia!!!!!!
 
tatizo la siasa za kibongo uksimamia katika ukweli wanakuona msaliti ndo kilichompata huyu jamaa.kauliza mapato na matumizi ya pesa za ruzuku bana wewe dah ........
Mkuu, kama kweli ni mfuatiliaji wa mambo, matatizo ya ZZK yalianza hata kabla ya mambo ya ruzuku. Mi naona amevumiliwa sana, na kama unataka kujua ZZK alianza ukorofi lini, rejea sababu za Kafulila kufukuzwa CDM
 
Back
Top Bottom