Kutoka Kibanda Maiti - Zanzibar

Kutoka Kibanda Maiti - Zanzibar

Mzee Mwanakijiji alishawasaidia sana hapa Jf mkaishia kutoa povu,Muungano utadumu milele.
 
Mafuta ndio yanayowatia kiburi kwanza tumeshawachoka na mikelele yenu
 
Zanzibar ni nchi huru toka walipomtoa mwarabu.
Labda wadai kujitoa ktk muungano.
 
Na mkishindwa leo ndio mjue basi tena, Shein yuko China akiangalia maeneo ya kihistoria, JK anajimwaya Japan kuinadi nchi; nchi nyeupeeeeeeee!
 
bora mpate uhuru wenu mtuondolee nuksi ya ushoga! mi nilikua najiulizaga sana kwa nin wazenji wengi wanapenda kula vitu vya ngano ngano alaah kumbe ni uliberal si unajua ngano inafunga haja kubwa! Samahani Lakini.
 
Huu si uhaini?Kupita mitaani kuhubiri uasi?Si wana Bunge kwa nini wasipitie huko.

Juzi nilisikia wakililia gesi ya mtwara eti ni ya watanzania,ina maana kuwa muungano wanautaka.Hawa jamaa kelele zao zote ni ili kuitisha serikali iwape rushwa kwa kuwapa share halafu watangaze maridhiano kwa mgongo wa wazenj.
 
Ili Zanzibar ipate Support kutoka kwa Wengi ni Lazima kwanza ijikubali kwamba 'SI NCHI".Baada ya hapo ndio wenye akili tutaanza kuitetea baada ya kuridhika na sababu zao za kutaka kujitenga.Lakini wakiendelea na propaganda zao kwamba "ZANZIBAR NI NCHI",Watapiga kelele Milele.
 
CCM waliweza kwa malima,kombe waliweza kwa kolimba wanashindwa kwa maaalim?Wamempa sana muda..huyu haramia.
 
Wajinga hawa jamaa..Kama ni NChi wanataka tena nchi ipi?
 
"Ukome ukome tena ukome mara mia" mbunge wa CUF alipokuwa anamtukana Wenje.

Mwanaume gani anaongea kama shoga.
Mimi nilimsikia mwingine akisema "Atolewe nnjee huyu Jambazi mkubwa!
 
Nipo hapa viwanja vya Kibandamait nasikiliza na kuangalia mipasho ya maalim Seif, ila jamaa ana kipawa cha kusema ujinga kisha kuonekana mwamba wao; anasema Zanzibar haikutawalia/haikuwa kolono lakini imepata uhuru desemba 1963-sasa najiuliza zanzibar haikutawaliwa, huo uhuru ulikuwa uhuru wa nini?
 
Hawa jamaa kwa shule bila elimu wamejaaliwa.Wana abuse sana watu wao,wanaabuse hata sehemu za ibada...seif utumwa utamfikisha wapi?Nae si muda ataumbuka kwa waume zake wa Oman km Lipumba na ya JK..sasa Oman naona wameuja bwagamoyo kwa matumaini kuwa watachukua pwani ya bara+zenj+mombasa.


Brain ya hawa jamaa imejaa ushetani haswa.Ila laana ya wazanzibar kunajisi makanisa yaliyowanunua ktk utumwa na kuwaweka huru.Hawakuwahi weka nadhiri kwa watoto wao na wengine kulienzi hilo.Matokeo yake wamekubali danganya wenzao ktk historia na kurudi ktk utumwa.

Makanisa ya Zanzibara yalianzishwa kwa kuwa na waumini wa kwanza watumwa huru waliokombolewa kwa sadaka za wakristu...baadaye wakaligeuzia kanisa kichogo.
 
Wasisahau mkataba wa chama rafiki mambo yetu yaleeeeeeeeee ya 0713.....wameambiwa ukweli wanataka kurusha ngumi sas hv ukimwaita mtu cuf mnakamatana ni tu....c kubwa sana
 
Mungu awasaidie wapate Nchi yao. Naona hapa wanawake wa kipemba walipo bara wanasubiri nchi yao ya ahadi. Hawataki kuolewa na wabara eti wanasubiri kurudi kwao waolewe na wapemba wenzao. utafikiri wapo ukimbizini. Nawatakia kila la heri. mia
 
"Ukome ukome tena ukome mara mia" mbunge wa CUF alipokuwa anamtukana Wenje.

Mwanaume gani anaongea kama shoga.
Kashika hadi kiuno na mkono mmoja uku mkono mwingine ukionyesha kwa vitendo wakati anatamka hayo maneno hadi kasonya,sipati picha angekuwa na msuli angemsuta mbaya..,pana chezea liberals
 
Maalim Seif anawauza Zanzibar, waache tu; atajua pa kuwapeleka wapemba wenzie walioko Bara huko
 
Pia wasisahau kumuuliza kuhusu uliberali..wasipomuuliza wazenj watakuwa watu wa hovyo sana.Na watastahili tawaliwa maisha yao yote.

NIwajuavyo hawa jamaa hawana shida ya kutawaliwa,ila nani anawatawala.Sso si salama sana tanganyika ikiwaacha hau watu wenyewe.Uhuru wanauogopa,wataanza lia kutaka misaada hadi kw awlaiberali wenzao,na mwisho watataka na bara iwe liberal.Hawafai kwa ulinzi wa nchi.
 
Back
Top Bottom