Kutoka Kakonko - Kigoma: Yanayojiri katika ziara ya Dr. Slaa

Status
Not open for further replies.
picha mbili za eneo moja wakati mmoja lakini moja imepauka nyingine ni ya kijani kibichi. yaone vile

Lol mjini shule! hizo ni picha za Tuntemeke.. ameamua kushika akili zako.. muulize Tuntemeke amezitoa wapi?
 
Prophets of doom like you and your small mind will fail. Dwell on ideas not trivia! Akili ndogo kama ya kwako and others of your ilk; katu haiwezi kubomoa movement kubwa; nzito na yenye maono na malengo mapana kama CDM;
Unaweza kumpenda na kumshabikia Zitto hata ukamlamba miguu; CDM will move on. Zitto's sell by date is long gone!
 
Weweeeee niko kigoma hapa uwanja umefurika balaa na nyimbo mbali mbali hapendwi mtu anapendwa chadema na mabango mbali mbali karibu doctor slaaaaaaaa shangwe mbaya kabisa
 
Kwani hiyo Picha imetumwa na chama? au mwanakikundi mwenzenu (kama siyo wewe) ameituma ili mpate kitu cha kuongea siku ipite?
Nyie saccos chadema pigeni kelele weee! ushahidi utakuja kwenye masanduku ya kura! Hamna chenu kanda yote ya ziwa na magharibi! mnajitekenya na kucheka wenyewe! kibabu kimeaibika! na kishukuru mapolisi,ambao mnawaita eti policcm!
 
kaituma molemo ,the guy is right,chadema wanajichanganya halafu yeye kasema katumia na Tumaini makene

Picha zile za uongo ziliwekwa hapa na mtu anayejiita qq.com mods naombeni mumlime ban zuuri ili akome kupotosha watu, hiyo picha ya kwanza ilipigwa tarehe 20/04/2012 huko musoma vijijini, ninazo nyingi tu za siku hiyo,
Reliable source ni Tumaini Makene tu,hizi nyingine zaweza toka lumumba kwa ajili ya kuchafua tu,tuwe makini.
 
Last edited by a moderator:
Nyie saccos chadema pigeni kelele weee! ushahidi utakuja kwenye masanduku ya kura! Hamna chenu kanda yote ya ziwa na magharibi! mnajitekenya na kucheka wenyewe! kibabu kimeaibika! na kishukuru mapolisi,ambao mnawaita eti policcm!
Bwana mdogo , nakudokeza kwa mara ya mwisho kwamba cdm ni sawa na mbuyu , si wewe , wala yoyote , , mwenye uwezo wa kumfanyia fujo DR SLAA , usifuate mkumbo , mama yako atakusahau , YA MAANA CHUKUA , YA KIJINGA YAACHE .
 
Ukisikia ujinga wa boku saba ndo huu. Si uweke ushahidi wa picha za kwako au unatumia simu ya tochi?
 
kweli kabisa hakuna uhalisia kwenye picha izo mbili,LAKINI weka zako wewe uliopo kwenye huo mkutano
 
Mbona ni kama picha moja kakunjua mikono ya shati na naya pili kakunja....Nenda kajipange upya wewe gamba..
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom