Kutoka Kakonko - Kigoma: Yanayojiri katika ziara ya Dr. Slaa

Status
Not open for further replies.
Bango lenyewe limelazwa chini kwenye majani na mpiga picha amelikanyaga kwa mguu wa kushoto, tazama utaona dole gumba la mpiga picha akiwa amevaa sandosi , ni aibu sana kwa Tuntemeke na Lumumba ....

Kweli kabisa Mkuu hebu chunguza kwa juu kushoto kuna kidole gumba kinaonekana
 
Hili bango linaweza kuandikwa hata Tokyo na kupigwa picha na kuwekwa mtandaoni.

Bango hili lingepigwa picha pamoja na aliyelishika na kwenye huo mkusanyiko lingeweza kukubalika.

Samahani hii haitoshi kabisa TUNTEMEKE.

Ila kwa mbali naona kama bongo limeandikiwa Kigoma..wala sio Dar. Ukicheki kwa nyuma na vumbi la juu ya karatasi naweza amini hii ngoma ilikuwa Kigoma. Ila najaribu kufikiria mleta mada kama picha aliyoweka inaendana na maelezo yake..
 
Kama kumbukumbu zangu ni nzuri juzi hii karatasi ilikuwa kwa Michuzi na mkasema lilikuwa la wana Kahama... Sasa sijui ili bango/karatasi limefika fikaje Kigoma.. Tuntemeke wewe umeisha tufanya sisi ni bibi/babu zako, maana una utani kweli.
 
Huu ni Upande mmoja wa Watoto waliohudhuria kwenye Mkutano wa Dr.slaa jana hapa Kokonko Kigoma,Dr.slaa alifanya Mkutano wakee hapa Kokonko Kigoma,Mkutano uliojwa na wasiwasi wa kuvunjika Muda wowote kutokana na asilimia kubwa ya Vijana waliokuwepo kwenye Mkutano huo kung'ang'ania waoneshwe Mkazi,Mbunge wao Zitto yupo wapi.
Katika hatua Nyinge Dr.slaa aliomba Polisi kuwatuliza wananchi na kukamata wale wote watakao leta Vurugu.

Mods kama inawezekana naomba Post yangu ya jana irejeee hapa Jukwaani.
Y2UMVdjA0d1GMCDrtd_wg1YykCOh5g5vOxskAjFaGqBrsnXJ6matrScGgO2MeddLr2Bgj6aJrVWDFKCG8q0Rd9rqV7KJeTG5WI0n94_lEXVjtbtVbfqKGYuu9mxIywFaAFNfz-E_YfEukGmd0woebD3rusLT3pgMSiTdo1idUyEu03US1krnie8fBqa6WuxSsIK1-LSwrE_YU_f5R5i_932UA7tTHghw5DrYmO1BdemY-KsAIXzZoC_IFMFVHdCfL8FTx69bOo0AEtbdvbUOYjuX9g7W63fLVWZqZ7GcAkOHXworoYdlWhbE3ucepxbaJP9AqQ4FgkNRYJF3KrTcReW8unXfg81Iuz_bJhH6gyy8prrwcWaiIPZV2d0ptXtPJgv6-bITaKqodwco4RLycCa7pH0_QvNEDeQ2hTK541fUxv5KVVb2XMiec1vCqWam4aLlRaYdTJBajekdYd8LrFA3wNz0MYEWHHbSV5bMxSZ1yR6O-dC-aol8nfJoSMIK34B8O0_IdLPVO3iJQf8-XhtUjdvo-4XUKIY=w1293-h558-l75
ZZZ.jpg

Kumbe TUNTEMEKE(team buku7) unavyohangaika hapa muda woote kumbe ni uwongo ??
Kumbe hata kigoma yenyewe haupo.
Huwezi kusema uko eneo la tukio then ukaja na picha kama hizi.
Hii inaonyesha ni jinsi gani CCM iko taabani, mmbebakia na propaganda za kwenye mitandao tu.
Subirini kujiandikisha ktk daftari la kudumu la kupiga kura ndiyo mtapata picha halisi, msipojinyonga wenyewe mtajichimbia wenyewe
 
Last edited by a moderator:

Duh Kweli "AKILI NI NYWELE"
 
Kumbe TUNTEMEKE(team buku7) unavyohangaika hapa muda woote kumbe ni uwongo ??
Kumbe hata kigoma yenyewe haupo.
Huwezi kusema uko eneo la tukio then ukaja na picha kama hizi.
Hii inaonyesha ni jinsi gani CCM iko taabani, mmbebakia na propaganda za kwenye mitandao tu.
Subirini kujiandikisha ktk daftari la kudumu la kupiga kura ndiyo mtapata picha halisi, msipojinyonga wenyewe mtajichimbia wenyewe
Juzi Bango hili lilikuwa Michuzi blog na wala sema ni la Kahama ......sasa leo ni la Kakonko ...moods Mmelala? Mpenzi haki yake huyu ache kukichafua jukwaa.....
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom