Kutoka Kakonko - Kigoma: Yanayojiri katika ziara ya Dr. Slaa

Status
Not open for further replies.
wewe ndo umedanganya na kurugenzi ya habari chadema fungua huu uzi hapa chini halafu utamjua muongo ni slaa au la?

mkuu kubishana na watu ambao wamejitoa ufahamu ni kazi walidhani huu uongo hautabainika hizo picha slaa kavaa shati la mikono mifupi na nyingine kavaa mikono mifupi uongo gani huu.
 
wewe dada TUNTEMEKE,

mbona wewe ni mwongo hivo yaani una chuki na cdm kweli kweli. kwan nini hasa dada angu. acha wivu au ni kwa sababu umeachika na siku hizi wanakuita nungayembe? Tuliza boli dada yangu. sawa?

Acha ujinga wa kushabikia uongo hizo picha ni za uongo kabisa ni picha za kitambo sana halafu wewe unashabikia.
 
Hizo picha zimewekwa na Tuntemeke ,,,,,kwa lengo la kupotosha jukwaa, makene ataweka picha soon

Nataka niamini hivyo! Maana hakuna sababu hata kidogo ya kudanganya! Kama Kigoma watakuwa wamemkataa Dr Slaa haina maana Chadema ni mwisho wake! Hisia na mishituko ya Maamuzi magumu ni ngeni na nisingetegemea wananchi waliomchagua Zitto kuchukua uamuzi huu kirahisi. Tena si vyema kukoroga matope, yaache yatulie ili tuweze kuondoka humo salama. Hakuna haja ya kudanganya!
 
picha mbili za eneo moja wakati mmoja lakini moja imepauka nyingine ni ya kijani kibichi. yaone vile
 
Uongo mwingine aibu. Chadema mmeishiwa.

Hivi huwa mnapata faida gani kudanganya?

Hizo picha zimewekwa na cdm au nyie wavimba macho ili mpate cha kusema? TUNASUBIRI HABARI ZA UHAKIKA KUTOKA KURUGENZI YA HABARI. Endeleeni na porojo zenu za kipumbafu hapo lumumba fc.
 
Uongo mwingine aibu. Chadema mmeishiwa.

Hivi huwa mnapata faida gani kudanganya?

Duh! Hii ni laana khum! Hata wewe bibi kizee Tumtemeke wamekuchota! Upepo wa mabadiliko hauzuiwi kwa viganja. Najua saa hizi moyoni unalia kwa mafanikio ya ziara za Dr wa ukweli kitu ambacho hamkukitegemea na pandikizi lenu. Tehe!
 
halafu ni aibu sana kwa kijana wa kitanzania unadanganywa live halafu unabaki kimya kama msukule,Je hapa wako kama chama wanadanganya hivi wakishika dola itakuaje?jitambue msukule tatzo la CDM ni babu slaa na mbowe
 
maccm acheni kupost picha za miaka 10 iliyopita.
________________________
Image properties
Name Slaa+mapokezi.jpg Access Private Camera
SONY DSC-F828 Original resolution 1434x1076 Shutter Speed 0.004 sec F-numberf/4
Picture taken 2003:04:07 01:44:34
 
Inaonesha unafiki maana kama kweli mikoa ilikuwa inaunga mikono vp leo waanze kuleta picha za uongo! Nadhani dhuluma inawaendesha na uongo na ukweli hawakai pamoja! Mie nadhani itafika wakati watu watakidharau chama!

Picha mlete nyie magamba na mamluki wenu then muanze kujadili! huu kama sio ulimbukeni ni nini? SISI TUNASUBIRI TAAQIFA SAHIHI KUTOKA KURUGENZI YA HABARI CHINI YA KAMANDA TUMAINI MAKENE.OVA
 
mwambie atume zake ambazo chadema wanafanyiwa fujo la sivyo HUYU MBWANA NI MBEA TU.

chadema mda siyo mrefu watachukua picha za mechi ya simba na yanga watasema za mapokezi ya slaa chama maruhani kweli hizi.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom