Kama DR Mwakyembe ishamuingia sasa si siku zake zinahesabika? hii biashara si kapelekwa Dar kwa uchunguzi tutasikia anapelekwa South Africa alafu yanakuja mengine. Huyu Andrea vijisenti kachukua na roho za baba wa watoto watuOf course, naomba kuwasisitiza wana JF kufikiria mbali zaidi. Hakuna uchawi, kuna kitu inatumiwa na inaua taratibu na mwisho mlengwa anakuwa ndio hivyo tena.
Tatizo kubwa ni kuwa sidhani kama kuna wataalam wa kuigundua hii kitu ikitokea imetumiwa na watumiaji wa kitu hii kutekeleza azma zao naamini wanajulikana japo yawezekana wanalindwa. Ni watu hatari kwa taifa letu na wa kuepukwa kwa nguvu zote. Wale wanaodhani hilo halipo Bongo basi niwahakikishie LIPO na tena wanajitahidi kuhakikisha watu mnaamini kuwa ni uchawi tu na ikiwezekana kukatokea lolote msahaulishwe na walengwa wawe wanaishia taratibu tu.
Beware!
Of course, naomba kuwasisitiza wana JF kufikiria mbali zaidi. Hakuna uchawi, kuna kitu inatumiwa na inaua taratibu na mwisho mlengwa anakuwa ndio hivyo tena.
Tatizo kubwa ni kuwa sidhani kama kuna wataalam wa kuigundua hii kitu ikitokea imetumiwa na watumiaji wa kitu hii kutekeleza azma zao naamini wanajulikana japo yawezekana wanalindwa. Ni watu hatari kwa taifa letu na wa kuepukwa kwa nguvu zote. Wale wanaodhani hilo halipo Bongo basi niwahakikishie LIPO na tena wanajitahidi kuhakikisha watu mnaamini kuwa ni uchawi tu na ikiwezekana kukatokea lolote msahaulishwe na walengwa wawe wanaishia taratibu tu.
Beware!
Sawa uchawi upo maana hata biblia inakiri hivyo. Lakini kwa jina la Yesu Kristo wa Nazareti tunavunja nguvu ya matunguli au kila aina ya madawa ya uovu ili kuendeleza mtandao wa ufisadi. Tunaamini Mungu yupo upande wetu na mwisho tuta rise tukiwa washindi.
Shukrani Mkuu FMES kwa datazz na yaliyojiri huko Dodoma. Swali....hivi ni kwanini tunawaachia kikundi cha maharamia wachache...RA, AC, EL, YM na wengineo wasio na mapenzi ya dhati na nchi yetu...kuendelea kufanya 'madudu' ya ajabu na nchi yetu tukufu....kama viongozi na serikali yao....hawatawadhibiti...then sitashangaa...'wenyenchi' wakichukua sheria mkononi!
Dah,Mkuu Heshima mbele, according to the dataz kuna mengi yaliyojiri na yanayoendelea kujiri:-
1. Wahusika wote wa Richimonduli wameitwa tena kwenda kujibu maswali kwa Taukukuru, ikiwa ni part ya uchunguzi wa kamati ya Pinda, kabla ya kurudi kwa bunge on ile miezi mitatu.
2. The dataz ni kwamba Hosea kutemwa, lakini AG kubaki, behind the scene kuna ambao kamati inataka wafikishwe mahakamani, lakini el na kundi lake wanamwaga hela sana ili hayo yasifanyike, lakini muamuzi ni Pinda, ambaye wabunge wameshamuonya kuwa asipokuja na majibu sahihi huenda na yeye akaondolewa kwa muswaaada maalum.
3. el alionywa mapema sana na tinga2 kuwa hili soo la Richimonduli halitaisha hivi hivi, akaambiwa aunde kamati yake itakayosema ukweli wazi na ahusishe wabunge, lakini mkulu akagoma na kwenda kwa muuungwana kumshitaki kuwa ndiye anayeleta choko choko za hiii ishu, el alipotoka tu muungwana akambonyeza mukulu kila kitu el alichosema, ndipo moto ulipoanzia lakini according to the dataz the whole thing ya Richimonduli comes down to mtoto wa el anayeitwa Federick na Msomali anayeitwa Gire, nasikia kamati haielewi cha kufanya na huyu mtoto ambaye sio kiongozi wa taifa!
4. According to the dataz ni kwamba muungwana aliambiwa mapema kuwa hii deal ni bomu, lakini akawakabidhi uwt ambako ag wa sasa na mstaafu wa idara, ambao wote ni wa huko idara, ndio waloukuwa wakimchezea muungwana na kumpa info za uongo, sasa deal likaja kubumburuka kwa vile Mwakyembe naye ni idara pia, na hasa kushindwa kwa Richimonduli ku-deliver!
Sasa hivi kuna juhudi kubwa sana za kujaribu kui-divert ishu ya EPA na Kiwira, lakini wabunge wetu wanajaribu kuwa makini sana ili wasipoteze focus!
Wakuu tunaendelea kuzifuatilia, zikipatikana tutahabarishana kama kawa, JF mbele alyways one step ahead!
Ahsante Wakuu Ngoja Nirudi Kwenye Post ya kuzi-monitor huko Dodoma!
Na DR MWAKYEMBE ASIICHULIII HII ISSUE KIMZAHA.
Ni suala la kuchukulia makini zaidi na tena usalama wao kuimarishwa. Wabunge wakiumizwa kwa namna moja ama nyingine itabidi watanzania tufanye kila liwezekanalo kuwaepusha na mabalaa haya.Mpaka jana jioni mjini Dodoma, hii ishu kwa ujumla ilikuwa ni mzaha na kichekesho, lakini sio leo hakuna mbunge wala kiongozi hata mmoja huko leo anayecheka tena.
Mkuu Wangu Invisible,ES hizi umezinyaka pia? Basi nimekukubali. I had em by me. Ni kweli uliyoandika. Just to comment on! Sasa wakishasoma JF watabadilisha maamuzi...?
Dk Mwakyembe ana afya njema na kwamba jana alizungumza naye akiwa na pamoja Spika wa Bunge Samuel Sitta ambaye aliwaaga jana kwenda safarini Dar es Salaam
Such a good comment either. Leo naona uko fit ile mbaya. Uzuri hii issue naona umeifuatilia vema na kwa karibu kabisa........... Ndugu zangu ni lazima tuwe macho, nasikia jamaa wanapiga hela kushoto na kulia ili hii ishu isije fika kwenye sheria, sasa ni wajibu wetu wote wananchi kujaribu anything kuwapa wabunge wetu nguvu ili wasimame imara!
Ashante Wakuuu!
Unaweza kutuhabarisha wengine viroho viko juuBinafsi kwakuwa najua nini kinaendelea siwezi kuchukulia mzaha suala kama hili.
Field Marshall ES said:el alionywa mapema sana na tinga2kuwa hili soo la Richimonduli halitaisha hivi hivi, akaambiwa aunde kamati yake itakayosema ukweli wazi na ahusishe wabunge, lakini mkulu akagoma na kwenda kwa muuungwana kumshitaki kuwa ndiye anayeleta choko choko za hiii ishu, el alipotoka tu muungwana akambonyeza mukulu kila kitu el alichosema, ndipo moto ulipoanzia lakini according to the dataz the whole thing ya Richimonduli comes down to mtoto wa el anayeitwa Federick na Msomali anayeitwa Gire, nasikia kamati haielewi cha kufanya na huyu mtoto ambaye sio kiongozi wa taifa!
Mzee mwenzangu.. siyo usangoma....na kilichohusishwa siyo ulozi wa kiafrika mzee.. hakuna uchawi wa kiafrika hapo isipokuwa wa kizungu. Tangu nimeandika na kusema futeni ushirikina... na jaribu kuweka ushirikina wa kisayansi.... mtaelewa jambo hili na uzito wake. Kuna mtu atavuliwa uanachama muda si mrefu.....!
FMES,
..EL na Tingax2 wamekosana lini tena? ninavyoelewa mimi Tingax2 ndiye aliyemuibuka EL toka AICC na kumpa uwaziri wa nchi ofisini kwa Tingax2.
..vijisenti alikuwa ana-handle vipi hivyo vimbwanga alivyokuwa akinyunyiza? manaake vitu hivyo ni hatari sana inabidi ujue jinsi ya kuvi-handle.
..usalama wa taifa, ama serikali nzima, wako ktk usingizi mzito sana. haiwezekani hivyo vimbwanga vikaingizwa nchini na kusafirishwa mpaka ktk jengo la bunge bila ya usalama wa taifa kuwa na habari.
..kama hili suala ni la kweli, na limegunduliwa na camera men waliokuwa eneo la tukio kwa bahati mbaya tu, basi ni aibu kubwa mno kwa taifa letu. upuuzi kama huu ulikuwa hautokei miaka ile ya Mzee Mzena na Afande Sawaya.
NB:
..hilo tukio lilikuwa recorded anywhere? manaake camera huwa zinapeleka images kwenye studio. kule kwenye studio ndipo RECORDING inapofanyika. sasa kuna yeyote aliye-press "record."