FMES,
Tangu nisome makala yako jana imenipa kutafakari mambo mengi sana. Nafikiri tusikate tamaa kiasi hicho. Tegemeo letu limebaki moja yaani KARATA ya Mwisho. Hii nafikiri anayo Kikwete. Sasa inategemea Kikwete ataicheza wakati gani. Hii imenikumbusha ile story ya THE GODFATHER. Mzee Don Carleon alikuwa kaishiwakabisa nguvu. Hata jamaa zake wengine walikuwa wamenunuliwa na wapinzani wake. Siku ya MAZISHI ya SANTINO mwanae au SONNY ndipo alipofanya maajabu (Samahani kama ntakuwa nimechanganya). Wakati mazishi yakifanyika, watu wake walikuwa BUSSY waki-eliminate adui zake wote. Mazishi yanaenda, baba yuko KAZINI kwa sana!! Sasa inategemea Kikwete ana akili kiasi gani. Kama HANA AKILI basi kweli TUMEKWISHA. Kama kama wanamu-underestimate basi inabidi tuseme SOON UFISADI UTAISHA maana wameshajiweka wao wote kwenye KAPU MOJA. Nasema hivi kwa sababu moja kubwa sana. Mlisema kuwa yule BOSS Othman nani sijui ni Mpelelezi na ni RAFIKI WA KIKWETE. Hosea kapanda na hivyo aliyekuja ni mtu wa Kikwete na atakuwa kazini kukusanya DATAs. Riport zote za uchunguzi wa UFISADI ziko kwake. Wauza unga ziko kwake nk nk. Anaweza subiri LAST MINUTE akacheza ule mchezo walimfanyia Boss wa Fat yaani RAGE kule Tabora. Walimuweka ndani na sasa imeonekana HANA HATIA ila ubunge hana wala KITI hana. Nafikiri Muungwana kwa kutumia hizo riport zote anaweza KIHAKI na KISHERIA kuwakamata na kuwafungulia mashitaka Mamvi, ANBEN, Dialo. Mramba, Msabaha, R Azziz, Chenge, Mwanyika, Mamvi Son, nk nk.
KIKWETE KAZI KWAKO. UKIFANYA MCHEZO JAMAA WATAKUMALIZA. Siye tuko na wewe maana BETTER THE DEVIL YOU KNOW, ingawa huyu shetani FISADI, mhhh hadi unasema labda nijaribu mwingine...
Mkuu wangu pamoja na yote yanayoendelea, hii habari kwangu ni kichefuchefu, can u imagine badala ya kuwa-wean out watu kama kina Kingunge,Msekwa, kutoka kwenye siasa na kuleta kina Kilango wapya bado tunawang'ang'ania tu kina Msekwa. What can we get out of them.
Hii ndiyo tunataka iwe plan B!FMES,
Tangu nisome makala yako jana imenipa kutafakari mambo mengi sana. Nafikiri tusikate tamaa kiasi hicho. Tegemeo letu limebaki moja yaani KARATA ya Mwisho. Hii nafikiri anayo Kikwete. Sasa inategemea Kikwete ataicheza wakati gani. Hii imenikumbusha ile story ya THE GODFATHER. Mzee Don Carleon alikuwa kaishiwakabisa nguvu. Hata jamaa zake wengine walikuwa wamenunuliwa na wapinzani wake. Siku ya MAZISHI ya SANTINO mwanae au SONNY ndipo alipofanya maajabu (Samahani kama ntakuwa nimechanganya). Wakati mazishi yakifanyika, watu wake walikuwa BUSSY waki-eliminate adui zake wote. Mazishi yanaenda, baba yuko KAZINI kwa sana!! Sasa inategemea Kikwete ana akili kiasi gani. Kama HANA AKILI basi kweli TUMEKWISHA. Kama kama wanamu-underestimate basi inabidi tuseme SOON UFISADI UTAISHA maana wameshajiweka wao wote kwenye KAPU MOJA. Nasema hivi kwa sababu moja kubwa sana. Mlisema kuwa yule BOSS Othman nani sijui ni Mpelelezi na ni RAFIKI WA KIKWETE. Hosea kapanda na hivyo aliyekuja ni mtu wa Kikwete na atakuwa kazini kukusanya DATAs. Riport zote za uchunguzi wa UFISADI ziko kwake. Wauza unga ziko kwake nk nk. Anaweza subiri LAST MINUTE akacheza ule mchezo walimfanyia Boss wa Fat yaani RAGE kule Tabora. Walimuweka ndani na sasa imeonekana HANA HATIA ila ubunge hana wala KITI hana. Nafikiri Muungwana kwa kutumia hizo riport zote anaweza KIHAKI na KISHERIA kuwakamata na kuwafungulia mashitaka Mamvi, ANBEN, Dialo. Mramba, Msabaha, R Azziz, Chenge, Mwanyika, Mamvi Son, nk nk.
KIKWETE KAZI KWAKO. UKIFANYA MCHEZO JAMAA WATAKUMALIZA. Siye tuko na wewe maana BETTER THE DEVIL YOU KNOW, ingawa huyu shetani FISADI, mhhh hadi unasema labda nijaribu mwingine...
Mkuu maneno ni mazito, lakini ukweli ni kwamba hawa jama kina lowassa na wenziwe, wanatumia dhana moja tu, nayo ni ujinga wetu wananchi, na ukitizama kwa makini events za wiki jana na leo unauona ver clear ujinga wetu wananchi,
Ni mpaka jana baada ya wananchi wengi kupiga kelele sana against maneno ya mama Anna Abdallah, na hasa our media, ndio message imefika huko kwa kundi la lowassa kuwa okay wawanchi wameshituka, ndo maana wamemuambia asigombee tena UWT, ukweli ni kwamba hawa kina lowassa na wenziwe wanategemea sana ujinga wetu wananchi, period!
Wakuu wangu heshima mbele kama kawa, ninaomba kuweka mpya kutoka Dodoma:-
1. Leo asubuhi Mbunge Chenge, alichukuliwa na polisi na kuepelekwa kituo cha polisi Dodoma mjini, kwa mahojiano ya muda wa karibu masaaa matatu kuhusiana na kitendo alichokifanya majuzi cha kujaribu kuweka "Uchawi" kwa baadhi ya wabunge wenziwe ndani ya bunge, kitendo ambacho kilikamatwa na vinasa picha vya jengo vilivyomo ndani ya jengo la bunge, Dodoma.
2. Mheshimiwa Mkapa, kwa mara ya kwanza leo amehudhuria kikao cha siri cha NEC, kinachoendelea toka jana usiku, mjini Dodoma, ameonekana akiwa hoi na amechoka sana, wachunguzi wa siasa hawaelewi ni kwa nini baada ya Mkapa kukataa kwa makusudi kuhudhuria vikao mbali mbali vya cc na NEC vilivyopita, safari hii ametokea bila ya taaarifa kuhudhuria kikao hiki, ambacho kimeitwa ghafla sana.
3. Gavana wa Benki kuuu Bwana Ndulu, kwa mara nyingine aliiitwa mbele ya kikao hiki kutoa maelezo mazito sana, kuhusiana na ishu za EPA, na zingine za ufisadi, according to the dataz ni kwamba alishambuliwa sana kwa maswali ya wajumbe huko ndani.
4. Hali ya Mbunge Shujaaa Mwakyembe, sio mbaya sana lakini sio nzuri pia, sasa hvii ninapooandika yumo njiani kuepelekwa Dar, kwenda kuangaliwa zaidi kiafya na wataaalamu wa juu wa afya nchini, inasemekana kuwa chanzo ni sangoma ya Chenge.
5. Kwa niaba ya wananchi wengi hapa, tumewasiliana na Mbunge Kimaro, ili aweze kuja na kutupa yanayojiri kulingana na haitma yake kiuongozi na all the ishus za siasa za taifa kwa ujumla, tunategmea kupata jibu rasmi baadaye kuhusu kupatikana kwake na siku, then tutawasilaina na wakulu wengine hapa na hasa mkulu MMMJ.
Ahsante Wakuu, na Mods naomba ikisha expire iepelekwe popote, ni kuhabarishana tu kinachoendelea kwenye siasa za taifa letu!!
Hawa polisi waliomhoji Chenge kwa uchawi wako tayari sasa kutoa report?
Hawa polisi waliomhoji Chenge kwa uchawi wako tayari sasa kutoa report?
Spika aliwapa masaa 72 kumpa ripoti ya uchunguzi wao, masaa yaliyokaribia kuisha wakasema kuwa wanapeleka unga kwenye maabara ya serikali, sasa sijui vipi kama ulisharudishwa kule ule unga, au?
hii issue imetoweka kama ilivyotokea.
..haitorudi,na ikirudi itakuwa haina uhai.
[
Sio kosa letu JF, sisi ni kuripoti yanayojiri tu, uamuzi ni wa wananchi.
Tanzania tumetoka mbali kweli