hoja ya kifo cha baba yake Obama umeileta wewe hapa ingawa bado haionekani kama inahusiana vipi na kinachoendelea hapa. Kwa vile mpaka sasa hujaleta uthibitisho wa habari ya Ballali, nitakuhesabu wewe kama fisadi, mzushi, na mshirikina.
Hivi ndugu yangu Philemon...Unafikiri Historia ikiandikwa upya Tanzania yetu haita muenzi Kambona kwa namna moja ama nyingine?
Nani asiyekumbuka tulivyokuwa tukiimba kuwa ameolewa huko Uingereza...Sasa si afadhali yeye kuolewa kuliko huu uchangudoa wa hawa Viongozi wetu wa sasa?!
Nimeipata copy ya debate kati yako na Jasusi na nimekuwekea link hapa. Hayo matusi ya nguoni uliyotukanwa na Jasusi yako wapi?
https://www.jamiiforums.com/showthread.php?t=13873&page=41
Jamani tuzungumzieni Taifa letu!Come down Jmushi!vipi tena mbona unasahau kukata issue?Originally Posted by Jasusi
As far as I know personal relationships are untouchable in JF. Stick to the issues you moron!
Mtusi yako hayatanitisha hata iweje!
Kama mnataka nifungieni!
Mpambano nitau hamishia kwingine!
Na hii ni mara ya mwisho...Sitavumilia matusi!
Nitajibu mapigo!
Hapa si tulishaambiwa ni kijiweni?
Sasa nini unaanza jazba?
Hizi kashfa zilikuwa personal before lakini siyo sasa!
Jamani tuzungumzieni Taifa letu!Come down Jmushi!vipi tena mbona unasahau kukata issue?
Masaka wewe ndo unamchanganya!unamkumbusha yaliyopita ya nini sasa?si muendelee na wakati uliopo na ujao jamani?Ameishiwa huyu anaanza kuzunguka kote kuanzia kwa obama na sasa ameanza kuongelea Kambona.
Masaka wewe ndo unamchanganya!unamkumbusha yaliyopita ya nini sasa?si muendelee na wakati uliopo na ujao jamani?
Asante.
Hollo
isayamwita
JF Senior Expert Member
Join Date: Sun Mar 2008
Posts: 315
Rep Power: 21
Thanks: 3
Thanked 53 Times in 42 Posts
Credits: 11,020
Re: Ninazikataa rasmi habari za kifo cha Ballali !
Nawashangaa sana wadogo zangu.
Mnataka tuamini balali kafa, sawa amekufa,
Ila mbona mnatumia nguvu nyingi kutuaminisha?
Mmemfukuza jmushi1 kwa matusi, eti kwa kuwa anatujuza
Nimegundua ninyi mnaotetea kuwa baba yetu kafa mnalo la ziada.
Mkutane na mkono wa bwana wetu.
Haya endeleeni Bwana!Anahitaji shule kidogo maana amezidi kujichanganya huyu. hajua anachotaka ila maneno kibao na longolongo kibao kuwa Kikwete fisadi kumbe yeye ndiye fisadi wa kupindukia kwa udaku na uzushi.
Haya endeleeni Bwana!
Ukimaliza kucopy na kupaste posts za watu, urudi na jibu la ulikofikia kuhusu kifo cha Ballali na hayo unayoita matusi hapa jamvini.
Rekodi ziko hapa Masaka...Halafu kwa kumalizia na hii...
Wewe ndio nasikia ni kinara wa CCM uliyekuwa ukileta mbwembwe..Kumbe kazi yako ni kubwabwaja ukifikiri kuwa tunaagalia kima usoni!
Umekosea!
mimi nitamsubiria akimaliza kucopy na kupaste posts za watu ili nimfunue ufisadi wake.
Huwezi kuharibu hoja kuwa Kikwete ni FISADI...Ameshaharibu wapinzani wengine kama alivyofanya MKAPA!
Na wewe ni NYAPARA TU Kwasababu ni mtumwa mwenye ngazi ya juu kwenye kifungo cha kifikra kilichopelekea UTUMWA WA AKILI NA ndio maana UKAMPA Mwanamme mwenzako!
Na sasa unataka tena umpe 2010...We shoga kaa kando!
Mkapa alifanya ufisadi kwa sababu ya wimbi la ulevi?
Hivi unajua ni kwanini hata Kibaki anamwogopa vibaya sana?
Kwanini hata Kikwete mwenyewe na kina Andrew Young na kina Sinclair hawataki ashinde?
Hivi hujui kuwa nyakati zile za zamani ulikuwa ukitoka kusoma nje ya nchi halafu una mawazo ya tofauti ya kuwatetea wanyonge unauwawa?
Unajua ni mara ngapi serikali hizo zilishirikiana kwenye hili la kuwadhibiti watu wenye mawazo ya tofauti?
Nimeshakwambia ACHA USHOGA!Ulicholeta ni nini? Habari za Obama, Kenyata, Kambona? je umefikia wapi kwenye contacts zako na FBI kuhusu kifo cha Ballali?