Wewe si umesema wakati wa utawala wa kenyata?Sasa ushindi wa Obama unahusiana kivipi na sisi?itakuwa tu kama ilivyo kwa bush sasa hivi!Nikuulize wewe unayesema ushindi wa Obama hauhusiani na siasa za Afrika!
Sidhani kama huyu atarudi nyumbani. Makelele tu ndio anajua kupiga, aliahidi hapa kufuatilia suala la Ballali akaishia kuleta habari za uongo na udaku za mtandaoni.
Amesema kuwa wengine wote hapa kina FMES, Mkjj na Zitto ni mafisadi lakini yeye mwenyewe haonyeshi amefanya nini kwa ajili ya Tanzania. Huyu ataishia tu kupiga makelele hapa na baadaye kupotelea kama wengine waliomtangulia.
We mpambe kaa kushoto!
Utaweza vipi kuwashabikia BOTH Kikwete na Zitto?
Are they the same?
Wewe uko upande upi..?!
Wa Kikwete,Zitto ama BOTH?
Kikwete si fisadi na wewe ni nani?
Asante kwa wosia!Sasa hivi CCM ina kazi ya kushughulikia mafisadi ndani ya chama!Nilshatoa wosia wangu kwa CCM kuwa wakae mkao wa ki uhuru uhuru!
Wewe inaonekana una chuki binafsi na Kikwete. Hakuna cha ufisadi wala nini ila wewe ndio fisadi unakaa tu nje ya nchi bila kulipa kodi au kuchangia kwenye maendeleo ya Tanzania.
Ona sasa hadi unaanza kupambana na mtu kama zitto ambaye angalau yuko msitari wa mbele kupiga makelele, wewe zaidi ya kuandika hapa mtandaoni umefanya nini kusaidia nchi yako?
Hata hivyo, yale maneno yote uliyosema kwenye thread ya Ballali kuwa una ushahidi yamefikia wapi, FBI wako uliosema una contact zao wameishia wapi?
Acha makelele kijana, kupondea wakuu hapa kama FMES na wengine sio njia ya kukupatia umaarufu unautaka kwa udi na uvumba.
labda nikuulize wewe kuwa uko upande wa nani? maana kwako kila mtu kuanzia Kikwete hadi Zitto ni fisadi. Kwanza hujajibu swali hapa kuwa makelele yote uliyotoa hapa kuhusu Ballali yameishia wapi
Hivi unajua historia ya baba yake Obama na alivyokufa kwenye ajali yenye utatanishi wakati wa utawala wa Kenyatta?
Ngoja nianze na red highlights...Umesema hakuna ufisadi na pia kuwa mimi silipi kodi...Sasa pesa za EPA si kodi wanazotoa watanzania wenzangu wawe ndugu wa damu ama la?
Ndio wasitetewe?
Wewe unayesema UMPE KIKWETE...! UMPE mara ngapi?
Na doggy style na makelele ni ya nani?
Unasikitisha kweli!
Halafu haiwezekani eti uwe shabiki wa BOTH ZITTO NA KIKWETE kwasababu kwa maoni yangu..Kikwete tayari ni FISADI...Sasa kama umelala na wewe unataka umuambukizie Zitto huo usingizi wako wa PONO then subiri waendelee kuuana!
NAOMBA KUTOA MAREKEBISHO HAPO...MZEE OBAMA ..ambaye alikwenda marekani kwa scholarship ya serikali ya marekani na akabahatika kupendana na binti mrembo wa kimarekani aliyekuja kuwa mama yake BARRACK..aliiingia kwenye wimbi la ULEVI...na baada ya kutalikiana na mama yake barrack aliamua kurudi kenya akiwa moja ya engeneers wa kwanza kenya wazalendo..aliporudi kenya hakuweza kutumika ipasavyo kwani aliendelea kuwa mlevi sana...hadi bahati mbaya akaja kugongwa na gari...inasadikiwa aligongwa akiwa amelewa....." soma kitabu cha BARRACK OBAMA kinaitwa MEMORIES OF MY FATHER.
Huyu mtu si wa kutengwa ni wa kukamatwa!
Sasa Kakindo ndiye anayedai wasimsogelee..Kwanini Rama mchawi aliyekutwa na kichwa cha binadamu asogelewe na kutiwa nguvuni halafu Chenge aachwe?
Chenge toka ajianzishie rumours za kufa kabla hajajitokeza kwenye radio ya MKJJ kukanusha huku na yeye mwenyewe akiwa hapa akipigana kiume kweli kunaonyesha ni jinsi gani yeye na Kikwete wanavyopeana time za kujisafi huku wakionekana kupata tumafanikio flani flani kwa kupenyeza rupia ama kwa kutumia ugaidi na style nyingine za kutisha za kimafioso!
Theories ziko nyingi!
Nani asiyejua mambo ya Kambona nayo ni spin kama spin nyingine tu?
Wewe huji ni kwa kiasi gani mwalimu alishirikiana sana na serikali nyingine za EA kuwakandamiza wapinzani kwa udi na uvumba!?
Kuna mlevi kama MKAPA?
Haya yote bila kuleta uthibitisho wa habari ya Ballali yanakufanya wewe kuwa fisadi namba moja aliyejaa mambo ya udaku tu na ushirikina wa kutafuta wale waliokufa.
Leta uthibitisho wa habari zako za kishirikina kuwa Ballali yuko hai na usianzishe mambo yasiyohusiana na topic inayoendelea hapa.
Nilioposema Anna Muganda Ballali abanwe ili atoe habari...JASUSI alinitukana matusi ya nguoni!
MWK alishabikia isipokuwa baadhi ya watu kama kina Mtanzania...MKJJ naye ilimchukua muda!
Field Marshall bado nampa respect kwasababu yeye ndiye kama mzee wangu aliyenipokea kwa mikono miwili hapa JF...Yeye pia hupenda kuwa upande wa haki!
Wewe ni mpambe tu na ndiye unayetaka umaarufu!
Mbona unadandia dandia kwa mbele!
Huoni kuwa nilikuwa nikijibu hoja ya kifo cha Baba yake Obama na conspiracies za wazalendo kama kina Kambona waliokufa ama kuuwawa?
Watu ambao tuliaminishwa kuwa ni ma JASUSI AMA SIMPLY "WALEVI"?
Theories ziko nyingi!
Nani asiyejua mambo ya Kambona nayo ni spin kama spin nyingine tu?
Wewe huji ni kwa kiasi gani mwalimu alishirikiana sana na serikali nyingine za EA kuwakandamiza wapinzani kwa udi na uvumba!?
Kuna mlevi kama MKAPA?
..KWENYE HICHO KITABU.."MEMORIES OF MY FATHER:" by barrack obama...yeye mwenyewe ndio anaelezea namna baba yake alivyoingia kwenye lindi la ulevi...SASA SIDHANI KAMA MTOTO WA KUMZAA MWENYEWE angekuwa na haja ya kuficha kama kenyatta alimuuwa babake...
anyway mimi i just wanted to clarify this informatio!!!...kata ishu!!!
Nilioposema Anna Muganda Ballali abanwe ili atoe habari...JASUSI alinitukana matusi ya nguoni!
MWK alishabikia isipokuwa baadhi ya watu kama kina Mtanzania...MKJJ naye ilimchukua muda!
Field Marshall bado nampa respect kwasababu yeye ndiye kama mzee wangu aliyenipokea kwa mikono miwili hapa JF...Yeye pia hupenda kuwa upande wa haki!
Wewe ni mpambe tu na ndiye unayetaka umaarufu!