Crocodiletooth
JF-Expert Member
- Oct 28, 2012
- 22,756
- 27,481
Huyu bwana DC wa Kinondoni miaka ya 2000 enzi hizo aliitwa Daudi Bashite. Lakini ajabu alipojiunga na Chuo cha Ushiriki akaanza kuitwa Paul Makonda.Sifahamu kivipi anaitwa Makonda leo hii
Ni aibu sana nchi kuteua mtu bila vetting,it is just a minute to reveal this shit
Hapa hajadiliwi mtu bali kinajadiliwa kitendo cha mtu kubadili jina lake. Maana ya kujadili mtu badala ya kujadili hoja hapa haiswii!!UKAWA mnazidi kutia aibu. Poor mind discusses about people...watu wazima mnamfungulia kijana wa miaka 29 na kumjadili! Kweli UKAWA mmeishiwa.
Naive members ask me why we attack this Bashite after publishing fake drug dealers list.Shame on them,as u can observe we were complaining about this since 2015damn
Thanks for your concerns Mr.OKW......you are a whristleblowerHuyu bwana DC wa Kinondoni miaka ya 2000 enzi hizo aliitwa Daudi Bashite. Lakini ajabu alipojiunga na Chuo cha Ushiriki akaanza kuitwa Paul Makonda.Sifahamu kivipi anaitwa Makonda leo hii
Naive members ask me why we attack this Bashite after publishing fake drug dealers list.Shame on them,as u can observe we were complaining about this since 2015
Sana mkuu ila wale wa ndiyooooooo!wanadai ni chuki za waliotajwa issue ya unga!Khaaaa.... kumbe suala la kitambo hili
Fafanua zaidi weka na vyeti vyake
Can u now respond why this guy is Makonda and not Bashite?can u say something on trending issue of education certificateNa ndio habari hizi mliziibua tena juzi kuziendeleza sababu mwanzoni mlishindwa.
Uongo mtupu umewajaaa, baada ya Madawa mkajaribu tena na kugonga mwamba.
Makonda oyeeeee
Mkuu uliliona hili wakakudharau sasa linawatesa. Mdharau mwiba mguu huota tende.Huyu bwana DC wa Kinondoni miaka ya 2000 enzi hizo aliitwa Daudi Bashite. Lakini ajabu alipojiunga na Chuo cha Ushiriki akaanza kuitwa Paul Makonda.Sifahamu kivipi anaitwa Makonda leo hii