BONGE BONGE
JF-Expert Member
- Oct 19, 2011
- 3,721
- 2,110
Huyu jamaa jina lake la utotoni ni Daud paul bashite, lkn miaka ile ya 2000 akiwa chuoni wanachuo wenzake walipenda kumuita jina la baba yake yaani paul, sasa kw vile kulikuwa na akina paul wengi pale chuo walitofautishwa kwa makabila yao,
Kwa hiyo huyu tunaemuongelea hapa aliitwa paul makonde.sasa baada ya chuo akalipotezea hili jana makonde na kujiita paul makonda
(tango poli)
Mimi nina mpango wa kuhama mabibo, siwezi kukaa jimbo analoongoza na kilaza huyu. ni aibu kkubwa sana kuwa na mbunge asiyejua hata mahali pa kuanzia, hivi kubenea asili yake wapi!
Lugha gani hii Mkuu??Makonda mwenuewe alisha kili kwenye maojiano furani iv nilitaonaga STAR TV kua elimu yake maka kufika apo alipo aliungaunga sana
Usitufanye wajinga, vyeti vya shule na kuzaliwa viliandikwa daudi bashite, alafu kirahisi tu unajibalisha Jina?!
kama hakuapa mahakamani basi Paul Makonda ni najisi yeye bado ni Daudi BashiteMengine majungu tu na kutaka kumkandia mtu, kwani kubadilisha jina kuna ajabu gani? yeye kaamua kubadilisha wewe unaona nongwa kwani jina lako lake punguza ujinga.
Daudi Bashite aka Paul makonda hivi hii ni kweli wanachosema waungwana hapa kwamba darasani ulikuwa unachapia na sup kibao na disco juuMimi nina mpango wa kuhama mabibo, siwezi kukaa jimbo analoongoza na kilaza huyu. ni aibu kkubwa sana kuwa na mbunge asiyejua hata mahali pa kuanzia, hivi kubenea asili yake wapi!
ha haaa haaa.... hizo chuki binafsi tuKubenea ndio mbunge kilaza pengine kuliko wote katika bunge hili la sasa
Kubenea ndio mbunge kilaza pengine kuliko wote katika bunge hili la sasa
Daudi Bashite alinunua jina la Paul Makonda baada ya kukosa eligibility ya kupata mkopo HESLB. Ni wengi sana walipigwa chini baada ya uchunguzi makini kufanyika lakini nashangaa jamaa alipona vipi!...
Yupo kweli?
Mengine majungu tu na kutaka kumkandia mtu, kwani kubadilisha jina kuna ajabu gani? yeye kaamua kubadilisha wewe unaona nongwa kwani jina lako lake punguza ujinga.
wewe unajulikana humu kuwa mtu wa kujikomba,unajikomba mpaka kinyaa.kama wewe ni msemaji wa Makonda lete ushahidi kuwa alibadili jinaMengine majungu tu na kutaka kumkandia mtu, kwani kubadilisha jina kuna ajabu gani? yeye kaamua kubadilisha wewe unaona nongwa kwani jina lako lake punguza ujinga.
ndio maana anatabia za kiwehu wehu kupiga wazee kutukaana matusi ya nguoni wazee chozi la kumzaba kibao warioba lina jibu atang,olewa kwenye ukuu wa wilaya kinondoni kwa aibu kubwa viatu havimtoshi mwizi aliibia serikali kwa kufoji jina