Crashwise
JF-Expert Member
- Oct 23, 2007
- 22,227
- 8,760
Sitakitumia cheo changu wala cha mwenzangu kwa faida yangu.
Hili misukule hawalijuwi wao wanafikiria vyeo tu, hawafikirii utumishi kwa wananchi.
kumbe nacho kipo waambie majambazi wakifate...
Sitakitumia cheo changu wala cha mwenzangu kwa faida yangu.
Hili misukule hawalijuwi wao wanafikiria vyeo tu, hawafikirii utumishi kwa wananchi.
Tanzania kuna mambo hatupo makini, kwenye uchaguzi uliyopita wa serikali za mitaa Naibu waziri wa Biashara Janet Mbene alienda kutetea nafasi yake ya uwenyekiti wa serikali ya mtaa!bahati mbaya kwenye kura za maoni akashindwa
Katika teuzi zoote madudu zilizowahi kufanyika hii ndio BABA LAO
Nadhani ni uteuzi wa Nape siamini kama mzee anajua
Sitakitumia cheo changu wala cha mwenzangu kwa faida yangu.
Hili misukule hawalijuwi wao wanafikiria vyeo tu, hawafikirii utumishi kwa wananchi.
Ivi huwezi Kuchangia bila kutukana mh.Malaya?? Kwa nn unawaitwa wanajf wenzio misukule ? Unaboa tahi.ra we!!
Haaa haaaa haaaaa teh teh teh te ..... hii kali. Mama huyu angekuwa na vyeo na wasifu mrefu; mke wa ( ), mama wa ( ), mwenyekiti wa serikali ya mtaa, mbunge na naibu waziri. Halafu anaweza kuwa mjumbe wa bodi fulani au lamati fulani bungeni. Duh!!!! Atakuwa yuko busy sana.
Kwani wewe ikikuingia inakuuma? Sasa kwa nini huachi ili usipate hayo maumivu?
sawa bullet aka stratoneJenerari Ulimwengu aliwahi kusema kuwa uDC hauna qualification inayoeleweka. Mi mapenzi tu ya anayeteua. Si ajabu kukuta DC aliyeishia darasa la saba au kidato cha nne(uliza elimu ya Rugimbana) na wingine ana Phd. Unaweza kumpata DC kopro na mwingine Major General(kuna kipindi Major General Ndomba alikuwa DC Ngara kabla ya kurejea jeshini). Ni cheo cha ajabu sana.
sawa bullet aka stratone
Natumia udongo wa Aunt Zainab's Natural Super Clay. Kuna kuuma hapo? Lainiii. Bofya hapa.
nikuunge mkono na nimkumbushe Judgement kuwa Zelothe Steven alistaafu akiwa RPC hapa Dodoma na kurudi kwao Manyara. kazi aliyoifanya hapa watu wa siasa na hasa vyama vya upinzani wanamkumbuka hata majambazi walitulia.ni sawa tu kwa maafisa wa polisi kukumbukwa maana tumezoea JW kati uteuzi ninaoupongeza ni huu tu wengine naona hauna maana sana pia ikumbukwe Zelothe Stephen alipelekwa mtwara kipindi cha vurugu za gesi hadi mkoa ukatulia hivyo ni miongoni mwa maafisa wa polisi makini sana katima crisis pia katika historia yake ni mtu anayepinga rushwa na uzembe kazini refer uzi wa yule askari wa mtwara nadhani mwaka juzi akilalamika hapa jukwaani kuwa zelothe anatreat sana na kazi hakuna laize faire